Wakuu kama kuna mtu wa crdb humu au mwenye taarifa kamili naomba atujuze hili suala.
Mimi ni mtumishi wa serikali nilifanya maombi ya mkopo toka jumatatu kupitia mfumo wa ess ila maombi yakawa yamekwama level ya service provider ku accept ili afisa utumishi aweze kuona na kupitisha, kesho yake...