crdb

  1. JamiiForums Tanzania Polisi: John Kohe aliingia benki na kumlazimisha mhudumu ampe fedha bila kufuata utaratibu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu picha mjongeo inayosambazwa katika mitandao ya kijamii ikionesha Askari Polisi akipambana na mtu mmoja huku akiwa na silaha ya moto. Taarifa sahihi ni kuwa, mnamo Januari 15,2026 majira ya saa nane mchana katika...
  2. L

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa CRDB tawi la Meru jijini Arusha jitahidini kutunza siri za taarifa za wateja wenu

    Hii imetokea siku ya Ijumaa tarehe 16 January 2026, Kuna jamaa aliingia kwenye hili TAWI, akiwa ameenda kupata huduma ya kuweka fedha katika akaunti zingine, lakini yule mteja Kila alichokuwa anafanya yule mteja wale wafanyakazi wa TAWI wakiwa makini sana kufuatilia baadae akatokea mfanyakazi...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi pekee ninaepata changamoto na customer care ya CRDB bank?

    Wakuu naomba msaada, hivi ni mmi pekee ninaye pata changamoto na customercare ya CRDB bank? Shida ipo wapi kwenye bank hii, Nilikjua wamebdirika, mbona malingo mengi sana. Mbona customer ya benki haina tofauti na wahudumu wa mahakani au police. Wanahitaji uwabembeleze sana ndo wakujibu, Shida...
  4. M

    JamiiForums Tanzania CRDB wamerejesha pesa yangu. walimu tuwe makini. Kuna uhuni na ujanja unafanyika

    Nimeamka na mawazo sana. Yaana wanakata pesa ambayo haihusianai na mkopo kabisa. Alafu nafika hapo wanajifanya kupigiana simu kana kwamba hawajui huo uhuni Eti labda system. System gani hiyo ya Crdb tu ndio inachukua pesa zisizo husika.
  5. P

    JamiiForums Tanzania DHULMA TUNAZOTENDEWA NA BENKI YA CRDB ILHALI BENKI KUU YA TANZANIA , INAONYESHA KUWA UPANDE WAO KWA KUSHINDWA KUJIBU "REVISION" KWA MUJIBU WA SHERIA.

    TATIZO KUBWA – WITO WA HAKI NA UWAZI KIFEDHA TANZANIA Kampuni ya Peachy Village Company Limited, yenye makao yake makuu Dodoma, Tanzania, imejikuta katika hali mbaya kifedha baada ya kufunguliwa kwa akaunti za benki zisizo halali kwa jina lake. Tukio hili limeleta hasara kubwa, likiathiri...
  6. H

    JamiiForums Tanzania CRDB nimetoa pesa kwenye ATM kwa simbanking sijarudishiwa wiki sasa

    Nawatahadharisha kuwa mtandao CRDB ni nyoko ukitoa pesa kwenye ATM kwa simbaking ikagoma wanasumbua kurudisha nilitoa 400,000/= ikakatwa kwenye akaunti ila haikutoka nikarudia tena kutoa 400,000/= ikakatwa kwenye akaunti ila haikutoka nikaambiwa wakijiamini ndani ya masaa 6 zitarudishwa ni wiki...
  7. JamiiForums Tanzania Mauzo ya hatifungani ya CRDB Al-Barakah Sukuk yaingiza shilingi bilioni 125.4

    Benki ya CRDB imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 125.4 na Dola za Marekani milioni 32.3 kupitia mauzo ya hatifungani yake ya CRDB Al-Barakah Sukuk, hatua iliyovuka malengo ya awali kwa zaidi ya asilimia 400. Uuzaji huo uliofanyika kwa siku 40 kuanzia Agosti 9 hadi Septemba 19...
  8. JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma Usiombe mkopo ESS CRDB utajuta

    Kama unataka upate pesa ndani ya lisaa limoja omba NMB, nimewaombea wengi mkopo NMB yaani kama HR wako yuko chap ndani ya dk 5 ushapata mkopo. NBC ndani ya masaa 24 uhakika, Azania ndio benki bora zaidi, makato nafuu kuliko benki zote ila kidogo wako slow. Ila haivuki wiki unapata pesa . CRDB...
  9. JamiiForums Tanzania CRDB Bank Announces 36 Jobs for Graduates, October 2025

    CRDB Bank PLC, a cornerstone of Tanzania’s financial sector and a leading bank in East Africa, is renowned for its innovative approach to banking and commitment to fostering talent. With a strong presence in Tanzania, Burundi, and the Democratic Republic of the Congo, CRDB Bank is dedicated to...
  10. JamiiForums Tanzania CRDB hii siyo haki. Ndo mambo gani haya?

    Hivi hii benki imekuwaje siku hizi? Huu sasa ni wizi na watu wana kila sababu ya kuamini mnawaibia pesa zao. Jamaa wamekwangua hela yangu yote na wakabakisha Tsh.0.01. Acheni kucheza na hela za watu bana. Rudisheni hela za wote mliowaibia. Mnachofanya ni wizi wa wazi wazi kabisa na...
  11. JamiiForums Tanzania Nataka Niwashitaki CRDB - Nimetoa fedha ATM hazijatoka naomba ushauri

    Juzi 1/10/2025 nilitoa fedha kwenye ATM, hata hivyo pamoja na fedha kutoka kwenye AC yangu fedha hiyo haijatoka kwenye mashine. Fedha hiyo nilitakiwa kulimlipa mdeni amabaye ananida, pamoja na jitihada za kuwasiliana na Branchi husika na kupiga simu kitengo hiduma kwa wateja bado fedha hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania BOT, Wadau Kimataifa waipongeza Benki ya CRDB Mageuzi ya Mfumo Mkuu

    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa mageuzi ya mfumo mkuu wa benki hiyo, hatua ya kimkakati inayolenga kuboresha huduma, kuimarisha usalama...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Gavana aipongeza CRDB Bank kwa kuthubutu kufanya mageuzi chanya ya kimataifa ktk huduma

    02 October 2025 Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa mageuzi ya mfumo mkuu wa benki hiyo, hatua ya kimkakati inayolenga kuboresha huduma...
  14. JamiiForums Tanzania CRDB yaendelea kutesa wateja, Regulator yuko kimya!

    Kuanzia tarehe 8 September bank hii ilipoanza kubadilisha system yake ya zamani mpaka leo 30 September hali ya wateja ni tete. Miamala iliyotakiwa kuingia au kutoka kwenye account haijulikani ilipo. Hakuna msaada wowote unaotolewa kwa wateja zaidi ya kuambiwa subiri, bila kupewa tarehe ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Waajiri wetu wametuambia tufungue account nyingine waingize mshahara, CRDB hovyo

    Kumbe hii CRDB ndo inaendelea kutuletea matatizo mpaka Leo , ndoa Sasa zitavunjika, wengine tarehe za kupewa mshahara zimefika, ila waajiri Kila wakijaribu kuhamisha mishahara kwenye account zetu za CRDB Zina baunce, hivyo Sasa tumeelekezwa kufungua account bank nyingine , au tulete account...
  16. JamiiForums Tanzania Kwahiyo CRDB nayo mpaka tarehe ishirini na tisa, acheni uoga nendeni ofisini

    Yeah kama wasiojulikana walivyosema comments, hashtags hazibadilishi chochote (Nimeparaphrase tu, ila ndiyo point yao ya msimu). Ni pesa zenu, ni jasho lenu,mnaogopa nini kwenda ofisi za CRDB na kuona mnarudishiwa vipi pesa zenu au miamala inasolviwa. Nimepitia comments kwenye page za CRDB...
  17. D

    JamiiForums Tanzania CRDB ni benki ya kuogopa kama ukoma

    Wakuu kesho nafunga akaunti yangu ya CRDB aisee hii benki ima wizi wa kiwango cha standard gauge. Wiki iliyopita kuna mtu alinitumia USD 206 kwenye akaunti iliongia 406000 nikaona rate ndogo lakini nikahisi labda kuna makato sikufuatilia. Leo nometumiwa $2850 wallah nimepokea msg kwenye akauti...
  18. JamiiForums Tanzania Hii Minong'ono itaathiri bei ya hisa za CRDB?

    Agosti mwaka huu, CRDB ilikuwa trendy sana, market cap ya Tsh trilioni 3.6 na hisa zake ziliuzwa kwa zaidi ya Tsh 1,500. Kila mtu alitaka kuzinunua, akitumaini mambo yatazidi kuwa matamu, lakini ma-speculators walikimbia. Sasa mwenendo wa CRDB huko DSE unawapa watu tumbo joto, na licha ya...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: CRDB wameibiwa zaidi ya bilion 3 za wateja kwenye hacking ndio maana wakaweka siku za kujihakiki kubadili mfumo

    Hii si utani ni kwamba utaratibu wa Afrika hatutaki kuaibika wakati ukweli unajulikana CRDB wamehakiwa na kila mtanzania pesa zimeonekana kupungua kwenye account yake Na hawajui lini itarejea ni kwamba wahuni wamepita nazo. Britanicca
  20. JamiiForums Tanzania Kuna aliyetoa pesa ATM ya CRDB muda huu au Leo imekubali?

    Eti wadau Hali Tete
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…