covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. N'yadikwa

    Ukitaka kujua miaka inaenda kasi, ni miaka 7 tangu COVID-19 ikurupuke !!!

    Siku hazigandi. Kama unashindwa kutoka kwenye ukata ufuta ni wakati wa kubadili gia angani. Utadhani ni jana tu kumbe miaka 7 tayari ishakatika!! Ungepanda migomba kwenye pori la ekari 4 kijijini kwenu sasa hivi ungekuwa ushajikomboa kiuchumi ila sasa uko town unabishania Man United mwaka wa 7...
  2. Daby

    Kwa hiyo ndugu zangu Watanzania[mnajijua] mmeshabadilisha mawazo hayati hakufa kwa COVID-19? Si mlisema gonjwa limemuumbua ‘dikteta’?

    Wale wenzangu bendera fuata upepo sijui lini tutaamka usingizini. Miaka michache imepita tulimpinga hayati tukasema anapingana na matakwa ya WHO na ya serikali zingine za dunia[you name them] Hayawi hayawi yakawa wengi mkafurahia[wengi wenu leo mmebadilishwa mawazo ndani ya sekunde]kwamba...
  3. Tlaatlaah

    GE2025 Kulikoni walioitwa wabunge wa COVID-19 ambao walifukuzwa uanachama wa CHADEMA wanakubalika zaidi kwa wananchi wakati CHADEMA imesahaulika kabisa?

    Je, Chadema walikurupuka kuwatimua hazina hiyo muhimu ya viongozi wa wanawake wanaokubalika zaidi kwa wananchi na kuwaita wasaliti? Maana iko wazi kwamba, wote waliojiunga na chama tawala na kupewa fursa ya kugombea nafasi ya ubunge, wanakubalika zaidi, wanaaminika zaidi kwa wananchi, na...
  4. Waufukweni

    Halima Mdee: Ndugai alipigania Haki za Wabunge 19

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee amesema Spika wa Bunge Mstaafu, Hayati Job Ndugai alipigania haki za wabunge 19 waliokuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
  5. mwehu ndama

    GE2025 Video: Wajumbe wawafanyia ubaya ubwela wabunge wa COVID-19

    Nimewasogezea vipande kadhaa vya picha mjongeo , vikiwaonyesha WAJUMBE hatari wa fisiemu wakifurahia matokeo ya mchakato wa kura za maoni , hasa baada ya kuwafanyia kitu mbaya wabunge wa COVID-19, ester Bulaya, Ester matiko , Nusrat Hanje bila kumsahau bilionea wa nzega mzee wa sinki nje ya box...
  6. SSH2025_2030

    CCM walivyowanyoosha COVID-19 toka CHADEMA hadi raha!

    Kitu nawapendea CCM likija swala la Kura na Kusaka vyeo hawachek na yeyote NI ama utoe pesa ya kueleweka (hii njia nayo haina uhakika 100%) au wakutose mazima. Wapi, 1. Ester Matiko 2. Nusrat Hanje 3. 4.
  7. Chai na Uji

    PreGE2025 SINGIDA: Ujio wa COVID-19 waigawa CCM vipande vipande. Baadhi ya makada wasema wasubiri 2030, hii 2025 ni ya wenyewe. Ona hii Video

    Mimi sitii neno lolote https://youtu.be/O7SGS4mwTvg?si=hRC-aL9ZSLlf_sub
  8. Yoda

    Ufaulu wa mitihani wa wanawake warembo vyuoni ulipungua madarasa yalipohamishiwa mtandaoni wakati wa COVID-19

    Utafiti wa kisayansi uliofanyika huko Sweden unaonyesha ufaulu wa wanawake warembo ulianguka pale ambapo mdarasa na masomo yaliyahamishwa mtandaoni wakati wa janga la COVID-19.
  9. Kekule Wa Benzene Ring

    Tetesi: Mbowe kuondoka na covid-19 kumi kwenda nao CHAUMMA

    Zile Helicopter zilizoandaliwa Kwajili ya Mission C4C ya CHAUMMA zitaanza kuonekana Rasmi punde na Mbowe Yuko mbioni kujiunga na Chama hicho Pamoja na WABUNGE 10 wa KUNDI LA COVID-19. akiwemo Halima mdee!. Mwezi julai Tarehe 5 Mwamba kutimka Rasmi Kwenda CHAUMMA Kwajili ya kugombea Urais.
  10. Carlos The Jackal

    Mtazameni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, ambaye hata hajui Kanuni za Usikilizwaji kesi Mtandaoni zilitungwa kufuatia Janga la COVID-19

    Msikilizeni hapa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Alafu ujiulize, wanapataje hivi vyeo?? Yaan ilimradi wewe ni CCM, unajua kulipoka imeishaaaa Hawa watu kweli ndio walosoma Vyuo vikuu vya Sheria, walivyosoma Akina Lissu , Nshalla?? Mbona kama ni Mbingu na Ardhi?. Ama kweli, intelligence ni...
  11. Tlaatlaah

    Tetesi: Baadhi ya wabunge wa viti maalum CHADEMA, kupokelewa CHADEMA makao makuu Juni baada ya bunge kuvunjwa

    Huenda hatma ya uanachama wa wabunge wa viti maalumu wa chadema, maarufu kama wabunge wa COVID-19, ikajulikana mara tu ya bunge kuvunjwa. Inasemekana watapokelewa kwa mapokezi maalumu rasmi chadema mwezi June mwaka huu, mara baada ya ya vikao rasmi vya maridhiano na muafaka wa pamoja kufikiwa...
  12. Nehemia Kilave

    PreGE2025 Kina Halima Mdee kufika uchaguzi mkuu 2025 wakiwa Bungeni ni Dharau kubwa kwa vyombo vya Sheria , nini kifanyike ?

    Mwanzoni tulimlaumu hayati Magufuli kwamba ndiye anawatetea na kukandamiza mihimili mingine . Baada ya Muda tukagundua kuna Mkono wa Mwenyekiti Mbowe pia kwenye hili suala . Kwa ujumla wanasheria wameonesha udhaifu mkubwa sana , lakini mamlaka zimeonesha udhaifu. Hawa wabunge 19 wanamaliza...
  13. Kipenzi Changu

    Eric Kabendera: Magufuli alifariki kwa COVID-19 mwaka 2021

    Katika kitabu chake cha In the Name of the President, Ndugu Eric Kabendera ameonyesha kuwa Hayati Magufuli alifariki kwa COVID-19. Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Magufuli masharti ya watalaam wa afya kutaka watu kujikinga na maambukizi kama kuvaa barakoa yalikuwa hayazingatiwi hasa katika...
  14. Waufukweni

    Mlipuko mpya wa Virusi (HMPV) wazuka China, miaka 5 baada ya janga la COVID-19, Hospitali na sehemu za kuchomea maiti zazidiwa

    China inakabiliana na mlipuko mpya wa virusi vya human metapneumovirus (HMPV), vinavyoenea kwa kasi katika majimbo ya kaskazini, hasa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 14, ikiwa ni miaka mitano baada ya janga la Covid-19. Ripoti na machapisho kwenye mitandao ya kijamii yanadokeza kuwa virusi...
  15. T

    Wenje usipotuambia COVID-19 na Abdul wamemchangia Mbowe kiasi ngani kati ya hizo 250m. Tutaamini uongo wa Lissu akikujibu.

    Nakushauri tu tuambie waliomchangia Mbowe hizo 250m alizotoa badala ya 50m alizopangiwa na Kamati Kuu.
  16. G

    Ukisoma waraka wa Chacha Wangwe (rip), Mbowe alighushi majina ya viti maalum uchaguzi wa 2005. Huu ni ushahidi kuwa kwenye COVID-19 kuna mkono wake

    Soma mwenyewe hii sehemu inayopatikana ktk Waraka wa Chacha Wangwe alioutoa wakati anagombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa". Soma mwenyewe hapa chini sehemu ya waraka huo: UTEUZI WA WABUNGE WA VITI MAALUM ...."Naamini ukweli wa suala hili hauna mjadala. Kwamba Mhe. MBOWE na wafuasi wake...
  17. G

    Kwa kuwa Lissu ameamua kufunguka, naomba aulizwe:- je, ni kweli Wabunge 19 waliosheheni wake wa vigogo wa CHADEMA walijipeleka bungeni?

    Pamoja na covid-19 kubeba uongozi wa juu wa BAWACHA, lkn pia Kuna:- 1. Mke wa Benson Kigailla.....naibu katibu mkuu bara. 2. Mke wa Salum Mwalimu (naibu katibu mkuu Zanzibar). 3. Mke wa Ally Bananga (yuko ccm sasa).....alikuwa meneja kampeni wa mgombea urais wa chadema. Bila shaka kama Mnyika...
  18. Mathanzua

    U.S. Government COVID-19 after action report is out .It clearly shows that those who were called "Conspiracy Theorists" were RIGHT

    U.S. Government COVID-19 after action report is out .It clearly shows those who were called "Conspiracy Theorists" were RIGHT,and everyone else was wrong Hal Turner World December 02, 2024 The US House of Representatives "COVID Committee" has released its Final Report (527 Pages) and it's now...
  19. Samia atosha tukutane2030

    Hii nchi ina matahira wa kutosha. Inakuwaje mtu ajivunie pesa za msaada wa COVID-19?

    Hello! Miaka 2, 3 iliyopita tulipata billions and billions kutoka kwa Wazungu ili tukabiliane na athari za COVID-19. Pesa zile nyingi zilikwenda kwenye elimu. Zilijenga vyoo vya shule na kujenga madarasa mengi hapa nchini. Wachache tuliona ni jambo jema lakini tulitoa kasoro. Inamaana bila...
  20. M

    Baada ya Chanjo ya COVID-19 sasa Monkey pox

    Baada ya chanjo ya COVID-19 kutolewa nchini kwa mafanikio makubwa ambapo vifo vilipungua kufikia zero baada ya Serikali kuingiza nchini na kuhamasisha matumizi yake kuna janga lingine kwa majirani wetu hasa DRC. Changamoto ya ugonjwa wa monkey pox tayari imeshapatiwa chanjo na hivyo muda si...
Back
Top Bottom