course

A full-course dinner is a dinner consisting of multiple dishes, or courses. In its simplest form, it can consist of three or four courses; for example: first course, a main course, and dessert.

View More On Wikipedia.org
  1. Nina Diploma ya Community Development. Kwa course hii naruhusiwa kuomba kazi ya Tax Management Assistant ya TRA?

    Habari za muda huu kwa mara nyingine, nina cha NTA Level 6 course ya Maendeleo ya Jamii. Naruhusiwa kuomba kazi ya Tax Management assistant II?
  2. Wapi nitapata Professional course In Statistical Analysis Software

    Wakuu ninatamani kuongeza ujuzi kwenye eneo la statistical software za kufanyia data analysis. Natamani kupata professional short-course Ili kujinoa zaidi kwenye Excel, SPSS, AMOS (Advanced Level) na pia natamani kujifunza R na Python n.k kwa ajili ya shughuli zangu za kitafiti. Wapi naweza...
  3. Msaada Engineering Drafting and Design Short course

    Habari wadau, Wapi naweza kupata mafunzo ya muda mfupi ya Engineering Drafting and design (AutoCAD/Solid works)? Pia nijue vigezo na masharti. Asanteni
  4. Z

    Ni short course gani ambayo ni nzuri na ipo katika soko kwa sasa?

    Habarin wadau, Nimehitim diploma ya mambo ya utawala, sasa niliona nipige hata short course kutokana na changamoto za ajira,nilikuw nauliza je hii short course ya civil drafting ukiachana na chuo cha veta cha Dar es Salaam je kwa upande wa Dodoma nao pia wanatoa? Msaada wadau kwa anaejua
  5. Naomba ushauri kuhusu kusoma Marketing Management ni chuo gani kizuri apa Dar es Salaam?

    Naomba ushauri kuhusu kusoma Marketing Management ni chuo gani kizuri apa Dar es Salaam kwa hiyo course
  6. Msaada wa chuo na course

    Nimemaliza form four na nimepata 2 katika masomo yote nimepata c kasoro math ndio nimepata f upande wa art lakini Nilikua naomba msaada wenu kuhus course GAni nzuri ambayo naweza soma upande wa MASWALA ya bandari hata kama ni diploma ipi ni nzuri Pia huwa Nina interest katika IT napo pia...
  7. Course gani fupi za miezi angalau sita ambazo zinaweza kuwa na faida kwa aliyemaliza Form Four?

    Wakuu nina vijana wawili wa kike na wa kiume wamemaliza kidato cha nne mwaka huu 2021. Kama mnavyofahamu kwamba matokeo yao yakitoka January wanatapaswa kujiunga kidato cha tano mwezi July. Sasa kwa miezi yote hii sita naona kama muda ni mrefu sana kwa wao kukaa nyumbani tu. Sasa nilitamani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…