course

A full-course dinner is a dinner consisting of multiple dishes, or courses. In its simplest form, it can consist of three or four courses; for example: first course, a main course, and dessert.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni masikini usicheze mbali na hizi course

    Mtoto wa masikini course zake zinajulikana. Ni udaktari Kilimo na uvuvi Ukizidi Sana ualimu wa kingereza au science Mtu unasoma HR hata sehemu ya kujitolea kupata tu ni mziki mnene kuzidi hadi ule wa disco sound Watu wanaumwa kila siku magonjwa kibao madaktari wanatafutwa huku kwenye Elimu...
  2. JamiiForums Tanzania Short course ya Siasa miezi mitatu.

    SHORT COURSE YA SIASA MIEZI MITATU. Anaandika, Robert Heriel Mkufunzi Najua kila mtanzania ni mwanasiasa lakini wengi wenu mnataka muwe certified. Mambo ya makaratasi au sio. Kumiliki gamba ndio Mpango mzima, asije akakudanganya mtu Cheti cha Siasa ni zaidi ya Cheti cha upolopesa. Acha...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Course Outline ya Foundation kwa Open University

    Habari guys, Naomba msaada wa course outline ya foundation course idara ya elimu sayansi Kwa walio wahi/ wanao soma Open university of Tanzania (OUT)
  4. JamiiForums Tanzania Course ya Uchawa kwa ngazi zote

    Tayari tunaanza kutoa course ya Uchawa ngazi ya Certificate, Diploma na Degree. Bado mchakato wa kuto Masters unaendelea. Kutokana na kuwepo fursa mbalimbali katika Dunia yetu hasa nchini TZ na kuangalia namna ya kusaidia wananchi tayari course hii imeanza kutolewa kwa aliye tayari tuwasiliane...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Course gani ya kuchagua kwa mwanafunzi aliyesoma tahasusi ya CBG?

    Kwema wajameni? Hivi Kwa mwanafuz WA f6 CBG course Gani nzuri za ku-apply chuo Kama anasifa mfano Ana division two
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu aliyesomea Public Health/Environment Management au course ya NOSCH 1 kutoka OSHA

    Kama heading inavyosema wakuu, anahitajika mtu awe Dar hata akiwa na kazi yake hakuna shida. Mwenye sifa anicheck DM tuyajenge.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja wa kusoma Kichina unaweza kunisaidia nikakijua na kuendelea masomo yangu?

    Nimechaguliwa kusoma chuo nchini China kiitwacho Tianjin University na course niliyochaguliwa ni Mechanical Engineering and Automation ila wameniambia inafundishwa kwa Kichina na inabidi nisome mwaka mmoja Kichina then niendelee na masomo. Nilikuwa nauliza inachukua muda gani kukielewa Kichina...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa mnaotaka kusoma course za nje mkiwa hapa hapa bongo chekini hii scholarship ya Commonwealth Distance Learning (MA)

    Hii scholarship mwisho wa kufanya application ni 28/ 03/ 2023. Bado hujachelewa ku apply. https://cscuk.fcdo.gov.uk/scholarships/commonwealth-distance-learning-scholarships-candidates/
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nichague ipi kati ya course hizi?

    Msaada juu ya course ya water Supply Sanitation Engineering na Civil Engineering ipi ni nzuri kusoma
  10. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya kozi ya kusoma

    Habari wakuu,mimi nilimaliza form 4 takriban miaka 11 iliyopita, nilifaulu vizuri tu,nikiwa na A zote PCB na PCM, nilichaguliwa kwenda advance shule nzuri tu lakini sikufanikiwa kuendelea na masomo kwa sababu kadhaa nikajishughulisha na biashara. Kwa sasa naona kiasi nina utulivu nataka...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Masters in science in project planing in monitorig and evaluation in health.

    Masters in science in project planing in monitorig and evaluation in health. MUHAS Masters of science in monitoring and evaluation in health . Mzumbe UNIVERSITY Masters in Arts in monotoring and evaluation . Open university. Naombeni utofauti wa hizo kozi wadau.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu course za biashara kwa mihitimu wa Kidato cha Nne aliye somea science

    Nahitaji kusomea diploma business managing and marketing je, inawezekani?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Course ya Sheria ni nzuri kwa aliyepata div 1 point 6 HKL?

    Na ndugu yangu kapata 1 .6, amesoma taasusi ya HKL, ana mpango wa kusoma UDS sheria. Naomba ushauri wakuu, halafu ukicheki ana aibu sana.
  14. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu course za kusoma chuo kikuu

    Nimesoma combination ya PCB nimemaliza form six mwaka huu na nmefaulu kwa division I-8 lakini sijafanikiwa kwenda Chuo kwasababu za kiuchumi naomba msaada Je ni course Gan za afya tofauti na MD ambazo naeza nikasoma kwa mwakani zenye ajira lakini pia ambao ni rahisi kujiajili?? Naombeni msaada...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Educational Course

    Wapwa nisaidieni ushaur wa course nzuri za fani za kusoma kwa mtu ambae amefeli form 4 lakn anataka asomee fani imsaidie kimaisha
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ipi course nzuri kati ya diploma ya pharmacy na bachela ya land management and evalution

    Za jioni wadau Naomba msaada wenu mimi nina diploma ya pharmacy nimemaliza mwaka jana nikataka kuendelea mwaka huu lakini nilikosa awamu zota tatu. Likaja dirisha la huruma la awamu ya nne kwakuwa nilikuwa na cheti cha form six nikajaribu kuombea nacho pale ardhi (nilifanya kama kujaribu tuu...
  17. JamiiForums Tanzania Mambo 10 magumu kwa wanafunzi wa 'short course' wanaosoma VETA Kama huyawezi usiende; tafuta njia nyingine ya kusoma

    Una mpango wa kusoma Short Course V.E.T.A ? Na ni mtu mwenye majukumu yako?! Basi, tambua: 1. Utalazimishwa kuvaa sare. Hauko tayari kuvaa sare mazingira yako ni magumu. Hakuna cha 'bring-bring' wala nini! 2. Utanyoa Kama mtoto, kama mwanafunzi haswaa. Kama unauchebe, uchebe wako utaambiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) watangaza Securities Investment and Trading Course kuanza mwezi Novemba

    DSE watangaza certification yao itakayoanza mwezi ujao. Nilifanya course iliyopita na kwakweli madini niliyoyapata yalikuwa yamesimama. huwa naattend sana forums nyingi za investments na personal finance lakini hii course ilinifanya nijue kiundani jinsi soko la mitaji linavyofanaya kazi...
  19. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu anaacha kusoma C.O ili akasome short course ya flight Operator

    Habari humu, mdogo ameshachaguliwa kujiunga C.O pale TTCIH morogoro, ila anataka aache ili akasome short course ya miezi mi3 flight operation pale TCAA uwanja wa taifa. Kwa wanaoifahamu hii kozi, vipi ajira zake ndani na nje? Wanasema Kupata nje dubai ni rahisi. Points za dogo kuacha medicine...
  20. JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Masomo ya uwakili yafundishwe kwenye course ya Sheria Chuo Kikuu kwa mwaka wa Nne. Law school ifutwe

    Kwa hali iliyopo na inayoendelea TLS ninashauri Law school ifutwe na badala yake degree ya sheria iliyokuwa inasomwa kwa miaka mitatu sasa isomwe kwa miaka mine Ili mwaka wa nne wasome masomo ya Law school wakiwa chuo kikuu husika. Wanafunzi akishamaliza degree ya sheria awe tayari amemaliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…