comedy

  1. Kama CCM wanadhani ya CHADEMA ni comedy na wanashadadia, basi wasubirie mchelea mwana hubeba jiwe

    Huu moto wa CHADEMA ni Kuni za moto wa kijani ndani ya CCM kati ya Tanganyika na Zanzibar. Tutaongea lugha moja ya kupindua meza na kurejesha mamlaka na kufanya marekebisho ya katiba haraka sana. Embe chini ya mnazi haitatokea Tena. Sio mimi ni malaika wa bwana wameona mbali. Pang Fung Mi
  2. S

    Nataka kuanzisha show ya live stand-up comedy, naomba ushauri wenu

    Sijui kama jukwaa hili linafaa kwa aina huu ya uzi ila kama mods wataona hapa siyo mahala sahihi basi waupeleke pale panapostahili. Nataka kuanziasha show ya live stand comedy, mfano wa cheka tu au watu baki. Kwa upande wangu nimejipima nimeona naweza kufanya kitu na watu wakakipenda...
  3. Nchi na aina ya comedy (ucheshi) pendwa zaidi.

    USA- Siasa, lifestyle, dini, race Uingereza-Siasa, lifestyle Kenya-Siasa, lifestyle, makabila Nigeria- Mapenzi/Nyash Uganda-Chakula, mapenzi Tanzania- Mpira, Mapenzi, makabila India- lifestyle Mexico-lifestyle South Africa- Siasa, lifestyle
  4. Kusema ukweli Comedy ni sehemu ya kazi ya Wasemaji wa Kisasa

    Tunapitia wakati mgumu wa kuchunga kauli zetu tunapozungumza na media au tunapokuwa kwenye majukumu yetu. Binafsi naendelea kuitafakari kauli ya CEO Kasongo kutupiga marufuku wasemaji kufanya mzaha kwenye statements rasmi za klabu. Ni kweli kuna kundi la watu hatuwatendei haki kwa kufanyia...
  5. Adam Sandler vs Ben Stiller: Nani ni mfalme wa Comedy Movies

    BEN STILLER Miongoni ya Movies zake: 1: Night at the museum 2: Along came Polly 3: Meet the Fockers 4: Tropic Thunder 5: Zoolander ADAM SANDLER Miongoni ya movies zake: 1: Anger Management 2: Grown ups 3: Zohan 4: Just go with it 5: Blended
  6. Yuko wapi Vengu-mchekeshaji wa comedy

    Salute. Kuna wakati huwa najiuliza sana juu ya huyu jamaa, aliwahi kuwa marufu sana hadi mwishoni mwa miaka ya 2011 kama sijakosea. Ni muda sasa sijawahi kusikia anaendeleaje. Sijui nani anataarifa zake jamani. Mashabiki tunataka kujua. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Peter Msechu acha comedy kwenye afya yako, utakufa premature utuachie mkeo, watoto wako watateseka

    Hakuna ajuaye atakufa lini, ila kuna life style usipozingatia unajiwahishia mwenyewe kaburini, Tupac nilijua atauliwa tu baafa ya diss track ya Hit them up, Amina Chifupa alijua atakufa baada ya kusema atawataja wauza udaga, Langa, Mangwea walijiwahisha mbele za haki sababu ya udaga, huenda...
  8. Je, tunataka comedy tucheke sana au kujenga nchi yetu?

    Kwanza kabisa ni vyema unaposoma huu uzi upanue uelewe wako na kiwango chako cha kuyaangalia mambo kwa mapana na marefu. Kwa miaka miwili mpaka mitatu sasa kumeibuka wimbi kubwa la vijana wachekeshaji (comedian) kila kona ya Tanzania. Ukiwakuta vijana wana camera mtaani lazima tu watakuwa...
  9. Nitajie Comedy Movies 10 ambazo kwako ni bora zaidi na lazima ukenue ukiwa unaingalia

    Zangu ni 1: Dumb and Dumber 1 and 2 2: Anchorman 1 and 2 3: Ace Ventura 1 and 2 4: Superbad 5: Stepbrothers 6: Scary Movie 3 na 4 7: Naked Gun zote 8: Tropical Thunder 9:Blended 10: Friday
  10. V

    Wale wapenda Movies za kuchekesha hasa(elewa neno hasa) mje hapa

    Mm napenda a good laugh,hasa nikishamoka,pembeni nipo na juisi yangu pendwa ya miwa na vichapuza,then niweke muvie Kali ya komedi nichekee mpaka basi. Katika safari yangu ya kucheka nimegundua kuwa kucheka sio rahisi kwani movie itakayokuchekesha Leo kesho utaona ya kitoto so laughing is hard...
  11. Movie nzuri za comedy

    Jaman naombeni mnitajie movie nzuri zenye comedy ndani yake iwe ni season ama single yote poa tu ilimradi iwe yakizungu
  12. Wanaume kuigiza nafasi za wanawake, sio promotion ya mambo yale yasiyofaa?

    Ukiangalia 'origial comedy', Joti, Triple Funny, Steve Mweusi, kitimtim, na wengine wanaume kucheza character za wanawake kama Kiboga, sio promotion ya mapenzi ya 'kisasa' ya Ulaya na Marekani ambayo ni kinyume na mila, desturi, na tamaduni zetu? Kama wizara ya elimu ilivyopiga marufuku vile...
  13. N

    Aibu na comedy za siasa Tanzania: CCM watumia vifaa vya tume ya uchaguzi

    NAAAM ,mambo ni bam bam inafurahisha sana eti kusikia Tanzania ni nchi ya kidemokrasia inayofata katiba na kuizingatia kwelikweli, kudadeeeeki ukigeuka huku unakuta video za wana ccm wakihimiza umwagaji damu, ukigeuka huku unakuta TCRA wanakaushia habari ya mwananchi yenye angle ileile...
  14. Mahusiano na wasichana ni 'comedy'

    Morning JF family, Aisee mahusiano ya hivi visichana ni vichekesho na pasua kichwa kwa sisi watu wazima, yaani Kuna kabinti fulani kanauza pharmacy maeneo ya mjini kati, sasa bwana nilimzimia alivyo black na flat screen fulani halafu mrefu. Mzee nikawa namtoa lunch anakula kitimoto, japo mimi...
  15. N

    Acheni kuchukulia serious, reports za CAG ni kama comedy shows, vichekesho 100%

    Ni kama routine tu ya kibaolojia kwamba itabidi uende haja ndogo na kubwa ili mwili uendelee ku operate, ni kama routine kwamba itabidi ule ili u survive. Ndivyo ilivyo reports za CAG kwa Tanganyika na Zanzibar, pesa zinapigwa kwelikweli, reports zinasomwa kila mwaka upigaji unaongezeka nobody...
  16. R

    Kwanini Orijino Comedy Dstv haina wafuatiliaji wengi?

    Habari wana JF, Hivi kwanini Orijino comedy dstv haina wafuatiliaji wengi ,Shida ni nini? Kukosekana kwa Joti? Muda uliowekwe kwa ajili ya hicho kipindi? Kwa kifupi hata viewers wa clips zao kwenye mitandao ni wachache shida nini? Maana waigizaji wapo tena wazuri, kwa mnao fuatilia shida ni...
  17. Comedian Samuel Asubiojo asema Comedy inalipa kuliko udaktari

    Comedian wa Nigeria Samuel Asubiojo, ambaye ni daktari kwa taaluma amesema Comedy inalipa kuliko udaktari. Asubiojo ambaye ni maarufu kama Mama Ojo alisomea udaktari wa binaadamu nchini Ukraine mwaka 2012 hadi 2018 lakini hakuwahi kupractice taaluma hiyo tangu hapo. Kwa sasa anapata hela kwa...
  18. Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

    Wakuu natumaini mko poa. Leo naandika nikiwa na hasira nyingi dhidi ya mtu anayeitwa Hakika Ruben. Huyu ni mtu maarufu mitandaoni kwa clips zake za vichekesho. Kwa upande wangu nampongeza kwa kuendeleza kipaji chake na ninampongeza zaidi kama inamletea chochote mezani. Binafsi sivutiwi na...
  19. ''tragedic comedy'' wako watakaocheka wako watakaolia

    ''TRAGIC COMEDY'' WAKO WATAKAOCHEKA WAKO WATAKAOLIA Kwa umri wangu huu baada ya kula chakula cha mchana kitanda kinaniita kujipumzisha kidogo. Lakini kama kawaida kutakuwa na hiki au kile mtu unataka uchungulie katika simu na ikibidi nifungue mtambo ikibidi kwani huko ndiko Maktaba ilipo...
  20. Tanzania hatuna Comedians bali tuna waropokaji tu. Comedians wa Kitanzania humwelewi kama hujui lugha anayotumia jukwaani

    Kwa hakika siwezi kupoteza muda wangu au data kumtazama mchekeshaji wa Kibongo. Hawa wachekeshaji wetu mimi ninawaita waropokaji. Comedy ya wenzetu wengi utacheka na kufurahi hata usipoielewa lugha wanayoitumia jukwaani. 1. Comedy ya Kibongo imekosa ubunifu. 2. Wanadhani mpaka leo mavazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…