Wimbi la watu kutekwa limeongezeka sana na wengi ni tiktokers, kule wanaongea waziwazi kama vile wanafanya comedy, kitu wasichojua ni kua adui yuko determined na hana aibu kufanya anayotaka kufanya.
Pengine ni kweli wanaumia sana na yanayoendelea lakini pia kuna ile hali ya kupata ushujaa kwa...
Hivi ni kweli CCM imekosa viongozi wa dini wa kuomba neema ya Mungu katika ufunguzi wa kampeni leo??
Mwamposa amejitahidi kusimama kama mtumishi wa Mungu, Sala/ Dua amezielekeza vizuri.
Yule shekhe na Hananja. Dua/ Sala zao hadi nimecheka. Kenani Kihongosi nae alijisahau kama ni Sala eti...
Ukiwasikiliza wagombea urais kutokea kambi ya upinzani, ukimuondoa Mpina , ni kama wamelipwa Aidha na CCM au INEC kuongea Comedy ili kuupatia attention uchaguzi. Haiwezekani mtu anagombea urais ili aje azuie vitanda vya SITA kwa SITA au mwingine anadai watu watakuwa wanakunywa maziwa glasi moja...
Ujenzi wetu upo sana katika misingi ya kufinya bajeti.
Siwezi kulaumu yoyote kwa maana hali ni ngumu kiukweli.
Ila hali hii isitengeneze kama jadi fulani hivi sasa maana tunaishia kugharamika hata zaidi ya pesa tungeempa fundi aliehitaji pesa ndefu. (MICHAEL)
Hawa ni vijana wenzangu wanajitafta!
Inchi imepanua sana wigo wa ajira kupitia sanaa! Serikali inatumia kila mbinu kuwainua vijana hata kwa motisha!
Stand up comedy kuna vijana wachache sana tanzania wenye ubunifu wa kisanii!
Wengi wao wanaropoka tu pasipo kuchuja maneno! Sijui ni bangi...
Jana nimeona Kamanda wa Polisi Mwanza SACP MUTAFUNGWA akielezea kupiga marufuku mikusanyiko ya Chadema hapa Mwanza.
Nikakumbuka Wiki kadhaa nyuma kuna mfanya biashara aliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha mpaka leo jeshi hilo pamoja na Intelijensia waliyonayo ya kung'amua mambo...
Comedy clips huku background kuna vionjo li mtu linasema "i don't want peace, I want problems", au wimbo unaimba "nyash na nyash" au nyingine mtu anacheka mfufulizo kama mwehu huwa zimekaa kidwanzi sana.
Huu ubunifu ulioletwa na wa-Nigeria kwenye comedy clips ni wa hovyo sana.
Siku za hivi karibuni nilitembelea stand up comedy events kadhaa na taratibu nikaanza kuvutiwa kuingia huko na nikaanza kujaribu kufanya.
Hivyo basi kupitia uzi huu nitakuwa nashiriki nanyi baadhi ya clips zangu kwenye perfomances kadhaa kwa ajili ya kuburudika, kukosoa na kushauri.
Mods...
Hapa ndipo tulipopata misemo mingi sana kama ule wa kudadadeki (Nafikiri joti aliutoa katika msemo wa "kulaleki" ukikuwepo tangu 90s), umefulia, etc
miondoko ya aina yake, hapa ndipo tulipogundua wasanii walivyoiba style za wasanii wa nje then joti akawa anawa expose, mpoki kumuiga marehemu...
Kwa muda mrefu sasa kila ninapokutana na video clip ya EFM radio ni ya watangazaji wake wakiwa wanafanya comedy. Hii redio wamehamia rasmi kufanya comedy? Kama hawajahimia mazima kwenye comedy Majizo afikirie kuigeuza EFM jukwaa la Comedy huenda akapata faida zaidi kuliko sasa.
Nahisi huu uzi utafutwa. Napata tu hizo hisia kutokana na mwenendo wa JF miaka hii.
Vijana wanamwona Rais anafanya comedy. Imenifikirisha sana. Sisi tunachukulia serious wao wanaona ni comedy.
Sorry wadau mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ...nina kipaji cha kuchekesha lakini nakosa namna au njia ya kufikisha kwa jamii mana hata chuo nilipo hakuna majukwaa yanayoandaliwa kwa ajili ya burudani . Na nimejarbu kutumia mitandao ya kijamii naona inakua ngumu .naomba kama naweza pata promoter...
Nipo nafwatilia all stars comedy ni mbaya mpaka sasa hakuna cha maana ni wanalia watu pesa zao comedy hawana new things or thoughts 💭 ambazo zina washawishi watu wanaanza kuleta mambo ya mitano tena
Kama huyu comedy si mkubali na sijawai mwelewa kabisa kanajikuta nyodo nyingi kisa kalio
Binafsi, kuna huyu wa kujiita Shafii Comedy. In short hakuna anachofurahisha. Ni kama alilazimisha tu kuwepo huko, na watu ambao wameamua kumpiga tafu tu, Hakuna kitu kabisa aisee
Kwako ni yupi unaona kabisa hamna kazi
Imekuwa too much sasa,
Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira
Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.