Collapse! is a series of tile-matching puzzle video games by GameHouse, a software company in Seattle, Washington. In 2007, Super Collapse! 3 became the first game to win the Game of the Year at the inaugural Zeebys. The series has been discontinued since 2015 due to RealNetworks shutting down its internal games studio.In 2006, a spin-off series called Super Collapse Puzzle Gallery! was developed into 5 games.
Wadau, things are getting serious in Nairobi. Another building imeanguka Westlands Wednesday night, na workers wanne walikuwa trapped inside a site under construction.
According to Kenya Red Cross, wawili tayari wameokolewa salama, lakini wengine wawili bado wako chini ya debris. Rescue...
Juzi nilibadirisha Wishbone, CV joints brake pads, Top mount kwenye hii Suzuki swift baada ya kupata ushauri kutoka kwa wadau WA jamii forum baada ya hapo kesho yake nikaipeleka kufanya wheel alignment kwenye servicebay ya Kituo Cha mafuta chenye jina kubwa sana pale Ununio jamaa alikuwa...
I will be short
Nchimbi kajichanganya sana . Ni kama yupo peke yake amezungukwa na watu wasio kuwa na mema ya chama , hili swala litamtia matatizoni sana nchombi . Maana lazima ataongea kitu positive tu . Watu awataki hivyo .
Nchimbi ni mtu smart sana . Sema position yake aipo sawa ...
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini mwenendo wa mijadala inayozunguka kauli ya “No Reform, No Election” ambayo sasa imekuwa gumzo mitandaoni na imeanza kujitokeza pia kwenye majukwaa ya wazi, hasa Jana Usiku kwenyr Tamasha la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Kama Mtanzania ninayeamini katika utulivu...
Kwa miezi kadhaa sasa kama unafuatilia posts za Clouds FM utagundua kwamba watu wengi wanalalamika kupotea kwa redio hiyo kwenye mikoa yao kwa muda mrefu.
Miongoni mwa mikoa ambako Clouds imepotea ni Morogoro, Shinyanga, Kagera, Kilimanjaro nk. Zaidi ya miezi 6 redio hiyo haisikiki humo.
Kwa...
In Tanzania, we have often heard that agriculture is the backbone of our country, emphasized repeatedly by leaders, institutions, and policies. While agriculture plays a significant role in sustaining livelihoods and contributing to the economy, I argue that it is not the true backbone of this...
NASA says Magnetic Storm has reached level G-5 and at this level there can be power grid collapse
MAY 10, 2024
NASA says Earth is presently being impacted by the first two, of SIX coronal mass ejections from the sun and the energy is causing a massive Geo-Magnetic storm around our planet...
Mvua kubwa iliyonyesha kusini mwa Burundi imesababisha vifo vya watoto wanne baada ya kanisa walimokuwa kuporomoka huku watu wengine 15 wakijeruhiwa siku ya Jumapili, kulingana na afisa wa eneo hilo na vyombo vya habari vya serikali.
Mvua kubwa ikiandamana na upepo mkali ilianza kunyesha...
The author of the bestseller "Rich Dad, Poor Dad" believes that the world economy is about to collapse. According to the financier's forecast, all key assets, including precious metals and bitcoin, will fall in price📊
But this is not a cause for concern, Kiyosaki is sure. You just need to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.