Kutoka X: Nili download iyo interview , Nikaangalia na kuskiliza kwa makini
1. Kwanza kawakataa wanaharakati
2. Zile effort zote za free him kapuuza
3. Ana change mwelekeo wa content zake
4.Ataanza content za ndoa
5.Anaanza content mpya kuhusu Imani ake ambayo ni tofauti na Bible, kazi ipo
Mwanamitandao Clemence Mwandambo amesema amekuwa akitumia video anazochapisha mtandaoni katika kuwashauri wanasiasa na kuwasilisha mawazo yake, lakini mara nyingine wanasiasa wamekuwa hawataki kuambiwa mawazao tofauti na wakiambiwa hivyo wanaona kama wanaowaambia wana kiburi.
"Kwa bahati mbaya...
Mimi ni mzalendo sijiiti mwanaharakati ninaumia na mambo yaliyopo maana yake unakuta katika nchi ya Tanzania walioajiriwa serikalini wanajikuta mabosi wa wananchi"
Hayo ameyasema Clemence Mwandambo wakati akihojiwa na Jambo TV akieleza kuwa moja ya mambo ambayo yamekuwa yakimuumiza ni waajiriwa...
Mwanamitandao Maarufu Clemence Mwandambo (Baba Yenu Mwandambo) amesema kwa sasa yeye ni kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) lakini ndani yake ana roho ya upinzani
Ameeleza kuwa yeye ni mzalendo hivyo kuna mambo akiyaona hayapo sawa hivyo hawezi kuyakalia kimya atayapinga.
"Nina kadi ya Chama cha...
Mwanamtandao Clemence Mwandambo ameweka bayana kuwa anampenda rais Samia na kazi zake zote, na hakubaliani na wanaosema kuwa 'Samia Must Go', amehoji kuwa sasa ndo amekwishaondoka, je hapo kwenye Urais atawekwa nani? Ameongeza kuwa utakuta anayesema hivyo ni kibaka wa Kinondoni ambaye hata rais...
Taarifa za Hivi Punde, leo Januari 10, 2026
Clemence Mwandambo mkazi wa Mbeya aliyekamatwa tarehe 29.12.2025 amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Temeke Jana tarehe 9 Januari 2026 na Jeshi la Polisi bila ndugu zake au sisi Mawakili wake kujua!
Pamoja na Juhudi za kutafuta alipokuwa amehifadhiwa...
MBEYA, TANZANIA – High Court Advocates Hekima Mwasipu and Philip Mwakilima have filed an urgent legal application in the nature of Habeas Corpus at the Mbeya Sub-Registry, demanding the immediate release or production in court of social media activist and nursery school teacher, Clemence Kenan...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika Twaha Mwaipaya juu ya jeshi la polisi kuwanyima ndugu wa clemence Mwandambo haki ya kumuona na baadaye kuchukuliwa mbele ya ndugu zake.
"Jeshi la Polisi Mbeya lilimkamata kaka yetu Clemence Mwandambo tarehe 29. 12. 2025 alipokuwa ameenda kuripoti na...
alipo ndugu yetu’
clemencemwandambo
haki
haki za raia
jeshi la polisi liseme
kituo
kituo cha polisi
mamlaka
ndani
polisi
raia
sisi kama familia
tanzania
wito
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Awali ya "Saint Clemence" ndugu Clemence Kenani Mwandambo, mkazi wa Uzunguni "A" Jijini Mbeya kwa tuhuma za kuchapisha na kusambaza taarifa za uongo pamoja na kukashfu imani za dini zingine.
Mtuhumiwa alikamatwa mnamo Disemba 29...
Nimepokea taarifa kuwa baba yetu Clement Mwandambo amekamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni mapolisi. Ninawasihi watu mlioko Mbeya fikeni ofisi ya RCO mkoa wa Mbeya.
Enyi watu waovu msimdhuru baba yetu Mwandambo.
Unaweza kusema jitu la msituni Clemence Mwandambo mr Teacher anaendelea kupiga kwenye mshono mbichi kabisa!
Leo kaja ya kuhoji kazi ya usalama wa taifa, kwamba usalama wa taifa ni kwaajili ya taifa au ni usalama wa wananasiasa? na anasema kama ni usalama wa wanasiasa kwa nini waitwe usalama wa...
Mzee Mwandambo bado anaendelea kupiga misumari yake ya moto kabisa!
================
Unahitaji watu sahihi wa kukutoa kwenye hicho kifungo ambapo Tanzania ni Gereza kila MTU yupo kifungoni" ambacho atuna ujanja nacho unafanyaje ili utoke?
"Mkuu wa nchi anasema Jeshi lisijehusishe na siasa yuko sahihi, Kuwaleta wanajeshi mtaani kupambana na raia ni kuwashushia hadhi Mwanajeshi ameandaliwa kupambana na mwanajeshi Mwingine" Mzee Clemence Mwandambo.
Clemence Mwandambo ameendelea kuwasha moto, hajapoa hata kidogo
Leo kupitia ukurasa wake wa Instagram amehoji TAKUKURU wanayatambua kweli majukumu yao, maana wao wamekuwa ni watu wa kupokea oda kutoka kwa wanasiasa wakati kuna wala rushwa kibao na mafisadi.
Sielewi hii TAKUKURU ipo kwaajili ya...
Clemence Mwandambo: Tanzania imekuwa nchi ya ajabu sana, watu waoishi kwa kodi zetu kwa ndio wamekuwa wanatunyanyasa, wewe fikiria afisa mtendaji tu anajisikia boss lakini anaishi kwa kodi zetu, walimu nao Polisi kuanzia Uniform zao, bunduki hadi mshaara ni kwa sababu ya kodi ya wananchi
Lakini...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Awali ya "Saint Clemence" ndugu Clemence Kenani Mwandambo, mkazi wa Uzunguni "A" Jijini Mbeya kwa tuhuma za uchochezi.
Mtuhumiwa alikamatwa mnamo Novemba 21, 2025 saa 5:20 asubuhi maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya akitoa na kusambaza...
Mzee maarufu kwenye mitandao ya kijamii ambaye pia mapema wiki hii alijisajili TRA ili aanze kulipa kodi kwa kazi yake ya Sanaa, Clemence Mwandambo anadaiwa kutekwa usiku wa kuamkia leo, Novemba 22, 2025 na watu wenye silaha nzito za moto waliojitambulisha kuwa ni Polisi.
Tukio hili limetokea...
Nimeshangazwa na MZEE wetu Clemence Mwandambo anavojiachia sana, anaiponda serikali halafu mara anaenda TRA kujiandikisha mambo ya Kodi, anajisema KABISA Yuko Mbeya na watu wanajua, hao jamaa wanamzoom TU ila napata mashaka sana watamdhuru, timu yangu ya ma CIA makachero wakujitegemea wamemuomba...
Msanii na mtengeneza maudhui ya mtandaoni (Digital Content Creator) Bw. Clemence Mwandambo amefika katika ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Mbeya tarehe 17 Novemba 2025 kwa ajili ya kujisajili na kupata Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN). Hatua hiyo inalenga kumwezesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.