clemence mwandambo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mzee Clemence Mwandambo adaiwa kutekwa usiku wa kuamkia leo, Novemba 22, 2025

    Mzee maarufu kwenye mitandao ya kijamii ambaye pia mapema wiki hii alijisajili TRA ili aanze kulipa kodi kwa kazi yake ya Sanaa, Clemence Mwandambo anadaiwa kutekwa usiku wa kuamkia leo, Novemba 22, 2025 na watu wenye silaha nzito za moto waliojitambulisha kuwa ni Polisi. Tukio hili limetokea...
  2. Alex khalifa

    JamiiForums Tanzania Mlio karibu na Clemence Mwandambo mwambieni awe makini Hawa watu Wana roho mbaya

    Nimeshangazwa na MZEE wetu Clemence Mwandambo anavojiachia sana, anaiponda serikali halafu mara anaenda TRA kujiandikisha mambo ya Kodi, anajisema KABISA Yuko Mbeya na watu wanajua, hao jamaa wanamzoom TU ila napata mashaka sana watamdhuru, timu yangu ya ma CIA makachero wakujitegemea wamemuomba...
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Clemence Mwandambo: Wabunge wa Zanzibar wanakuja bungeni Tanganyika, Wabunge wa Tanganyika hawaruhusiwi Zanzibar

    Baba yenu Clemence Mwandambo anauliza, Wabunge wa Zanzibar wanakuja bungeni Tanganyika, Wabunge wa Tanganyika hawaruhusiwi Zanzibar.
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mzee Clemence Mwandambo ajisajili TRA Mbeya kama mfanyabiashara mtandaoni

    Msanii na mtengeneza maudhui ya mtandaoni (Digital Content Creator) Bw. Clemence Mwandambo amefika katika ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Mbeya tarehe 17 Novemba 2025 kwa ajili ya kujisajili na kupata Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN). Hatua hiyo inalenga kumwezesha...
  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Clemence Mwandambo amvaa Mwamposa amwambia maandamano uondoa utukufu wa watawala na si utukufu wa Mungu

    Clemence Mwandambo kupitia ukurasa wake wa Istagram amemjibu Boniface Mwambosa kwa kauli yake aliyoitoa kusema Maandamano yanaondoa utukufu wa Mungu. Soma Pia: Mwamposa: Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu Licha mimi siungi mkono maandamano lakini mimi nipo na Mwamposa anaposema Maandamano...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Clemence Mwandambo: Vijana wengi waliokamatwa kwa kesi ya Uhaini ni watoto wa Masikini, Serikali iwafikirie hawa vijana ni huruma

    Mzee Clemence Mwandambo anasema Vijana wengi waliokamatwa wakati wa Maandamano ya Oktoba 29 na kusomewa hatia ya Uhaini ni watoto wa Masikini na hata wao wenyewe ni Masikini na inawezekana waliingia kwenye maandamano wakiwa hawajui wanahitaji nini, hivyo ameiomba Serikali kuwafikiria hao vijana...
Back
Top Bottom