Kila mtu anajionea jinsi lile kundi ambalo lilinyooshewa vidole awamu ya nne likirudi KWA kasi ndani ya serikali,na wanawekana taratbu KWA kuamini watu hawana akili bado wapo enzi za nyerere,Tena wengine walichafuka KWA tuhuma kubwa humu mitandaoni hata leo unaweza andika na kuletewa tuhuma...