chuo cha udsm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania UDSM Yapandisha Kodi ya Malazi ya Wanafunzi na Ada za Huduma za Chuo Kuanzia Mwaka wa Masomo 2026/2027

    Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) katika Mkutano wake wa 301 limeidhinisha mabadiliko ya viwango vya kodi ya malazi katika mabweni na hosteli za wanafunzi, pamoja na gharama za huduma za moja kwa moja za chuo (Direct University Costs) kuanzia mwaka wa masomo wa 2026/2027. Sababu za...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuongezeka kwa gharama za maisha chuo cha UDSM (Direct cost)

    Chuo kimepitisha waraka mpya unaoainisha kuongezeka kwa gharama za kuishi hostel, kulipia mitihani na mambo mengine hadi kufikia zaidi ya laki tano na hii ni njee ya ADA hivyo inatuthiri sisi wanafunzi tuliokuwa tunategemea BOOM ili kulipa ADA ambapo hatukupata asilimia mia moja lakini na muda...
  3. soldier MAN

    JamiiForums Tanzania Chuo Cha udsm kimenundikia hivi je kimenikataa au niendelee kusubili

    Hapa kimenikataa au niendelee kusubili?
  4. Babu Sisu

    JamiiForums Tanzania Historia ya Professor wa chuo cha Udsm aliyeuawa kwa bomu

    Miaka ya 1970 katika chuo cha kikuu cha Dar-es-salaam (UDSM) kulikuwa kuna Professor mmoja maarufu aliefahamika kwa jina la Walter Rodney alikuwa ni raia wa Guyana nchi inayopatikana bara la Amerika kusini Rodney alikuwa ana PHD ya Historia ya Afrika aliyoipata katika chuo kikuu cha London...
  5. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa Asasi ya Wanafunzi ya Siasa UDSM: Hapa nchini unaambiwa ili utoboe unahitajika uwe na kadi ya chama fulani ili uwe karibu na mifumo

    Akiwa anazungumza kwenye kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV Mwenyekiti wa Asasi ya Wanafunzi ya Siasa UDSM Antony Severine alisema: "Kama vyama vinaunganishwa na vijana kupitia ilani, ni dhahiri vijana ndio wanaoathirika na ilani za vyama hii imenikumba hata mimi, ambapo unaambiwa ili utoboe...
  6. MOHAMADI MBARUKU MOHAMADI

    JamiiForums Tanzania KERO Kukataliwa kwa wahitimu wa BA in History and Political science kwenye Ajira Portal

    Wahitimu wa Udsm wa ba. In History and Political science wana disqualify kuapply public administration and HRM Japokuwa walizisomea darasa moja na lecture mmoja pamoja na wanafunzi wa political science and public administration ambao ndyo wako more favored. Kwa hiyo kama ni ngumu kuajiriwa...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Waliosoma UDSM kipindi cha nyuma teknolojia ya internet bado inakuwa walikuwa wabishi wakisema taarifa unazopata ni za uongo

    Mi bado na kazia tu wasomi waende VETA. Miaka ya nyuma ilikuwa kazi sana na wasomi UDSM ambao waliamini maarifa na taarifa zipo sehemu moja ambayo ni chuoni na vitabu vilivyomo hapo tu. Hata hapa JF ukitafuta mijadala mingi kipindi JF inaanza utaona wakisema taarifa za internet ni uwongo.
  8. Mzee Saliboko

    JamiiForums Tanzania Ni shortcourse zipi mtumishi wa serikali anaweza soma evening class dsm

    Kwa vyuo vilivyopo DSM? Based on management and health not medical
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wageni wa nchi za nje wengi wanasoma UDSM, kwani vyuo vingine havina hadhi ?

    Pamoja na demand ndogo ya taifa letu kupokea wanafunzi wa nchi za nje lakini katika hao, sehemu kubwa wananyooka moja kwa moja Udsm, Ni kwamba hawaoni vyuo vingine ? Byuo vingine ni nadra sana na ukiwakuta labda ni wa Burundi, Msumbiji, n.k. Nikianza kushusha hapa Alumni waliomaliza UDSM list...
Back
Top Bottom