chuki

This is a list of characters from the Pixar franchise Cars, as well as the Disney franchise Planes, which is set in the same fictional universe:

the 2006 film Cars
the 2011 film Cars 2
the 2017 film Cars 3
the 2013 film Planes
the 2014 film Planes: Fire & Rescue

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

    Labda kwa wale ambao tupo JF muda mrefu tunafahamu vizuri William Malecela Le Mutuz na Neema Ngwilulupi walikuwa ni wana ndoa na wanaishi Marekani ni member wenzetu wa hapa JF. Le Mutuz alishaandika mwenyewe historia ya maisha yake Marekani Kwahiyo Mimi sina cha kuongeza. Ila nimesikitika sana...
  2. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sabaya siyo mkosaji wa kisiasa ni jambazi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alihojiwa na Dar 24 Media siku chache zilizopia. Akiwa katika mahojiano hayo Lissu amezungumza masuala mengi yanayohusu mwenendo wa kisiasa nchini. Aidha alipoulizwa kuhusu kumchukulia Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Hai, Lengai Ole Sabaya kama Mkosaji wa...
  3. JamiiForums Tanzania Siasa zenye Chuki binafsi ni Sababu ya Vurugu na Vita

    Mtu yeyote anaweza kupata fursa nzuri na maendeleo. Zipo familia zilizo bahatika kuishi katika utajiri mkubwa. Hiyo ni fursa ambayo wamejariwa. Changamoto ni kwamba wapo wanao amini kuwa umaskini walionao umesababishwa na matajiri waliopo. Ndipo Watu hawa huwa na chuki dhidi ya matajiri. Na...
  4. JamiiForums Tanzania Nina kinyongo na chuki kali sana. Je, hili ni tatizo?

    Mimi ni mtu mwenye kinyongo kikali na mtu akinitendea ubaya nina tatizo la kumuweka moyoni miaka hata ipite miaka kumi. Baba yangu ni mtu mwenye imani sana ya dini na huwa ananishauri sana kuwa niwe mtu wa kusamehe lakini mimi huwa nashindwa kusamehe yaani mpaka nihakikishe nimelipa kisasi au...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Vyama vinavyomchukia Hayati Magufli, undeni kauli mbiu yenye kuonesha chuki dhidi yake ili kupima ikiwa hakuwa na wafuasi

    Chama chochote kinachojiamini kwamba kitashinda uchaguzi ujao" na kimekuwa ni chama chenye kumchukia sana hayati JPM na kinadhani hata kikiunda kauli mbiu kuonyesha jinsi gani kilimchukia na kinamchukia mno JPM basi wafanye hivyo! Makelele yao hapa JF tumechoka bhana! Kwa nini vyama viandikia...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Branch Davidians na The Waco Siege zilivyojenga chuki ndani ya Timothy McVeigh: Mistakes that cost lives of 168 people in Oklahoma

    Branch Davidians lilikuwa kundi la kidini lililojiengua kwenye dhehebu la Ki-adventist baada ya Bwana Houteff kupishana na viongozi wa kisabato kwenye mambo fulani fulani. Kundi hili lilianzishwa na Victor Houteff mwaka 1935 hii ni baada ya machapisho yake aliyoyaita Fimbo ya mchungaji...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi wanawake wa CHADEMA walivyokuwa wakimshangilia Samia, naamini chuki ni za kupandikizwa, na hazijafanikiwa

    Kwa shangwe kubwa la wanawake wa Chadema, ni wazi kwamba wananchi wengi Wana Imani na SSH na CCM. Chuki nyingi za viongozi wa upinzani, hazijafanikiwa kukubalika na wananchi. Wananchi wakimuona kiongozi wao roho zao zinajaa furaha. Sisi kama nchi, tuko sawa, ni kuweka mkakati wa kushughulikia...
  8. JamiiForums Tanzania Haya wale Viherehere na mwenye Chuki na Rwanda, Rais Kagame na Wanyarwanda mjibuni sasa Rais wa Ufaransa Macron

    " Congo DR iache kila mara Kulaumu Kuvamiwa na Rwanda, tumechoka na kabla ya Kuwashutumu Majirani zao Wajiimarishe hasa Kiusalama na Kuimarisha kama Taifa kwa Umoja na Kuwaunganisha Wakongo wote* amesema Rais wa Ufaransa Manuel Macron alipokuwa Ziarani nchini Congo DR. Chanzo Taarifa: Amka na...
  9. JamiiForums Tanzania Chuki au kisasi?

    NI KISASI AU CHUKI...? "Tulisikia yowe kisha kishindo kikubwa, duuuuf. Baada ya hapo ilisikika sauti ya mwanaume ikipayuka." Ndivyo mashahidi walivyolielezea tukio la kifo cha Anele 'Nelli' Tembe. Nelli alifariki baada ya kudondoka toka kwenye kibaraza cha ghorofa ya 10 ya hoteli ya...
  10. JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya Wayahudi na Wakurdi kuna nini nyuma ya pazia?

    Najaribu kuangalia kwa mrejeo wa kumbukumbu za historia ya Dunia, hii chuki dhidi ya Wayahudi na Wakurdi imekuwepo toka enzi na enzi lakini haijawahi kuwa na mafanikio chanya au kuna tofauti ndogo kati ya wivu na chuki au chuki na wivu. Nazungumzia wivu wa kitamaduni/ wivu wa kisiasa/ wivu wa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mkitaka kupata kura 2025 acheni kauli za chuki kwa JPM

    Nimekuwa nikifuatilia posti nyingi hapa jamii forums zinazomuhusu aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, pia hata mitaani na kwenye vyanzo vingi vya habari ikitokea magufuli ametajwa na kiongozi yeyote kwa lengo la kumfedhehesha basi 90% ya watoa maoni watakuwa upande wa JPM. Sasa rahi yangu kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Marafiki na ndugu yangu wananirudisha nyuma

    Habari, Katika maisha huwezi kukwepa kuwa na rafiki, lakini mimi hilo nimelikataa maishani mwangu kabisa; ila nina watu ambao tuna fahamiana sana. Lakini watu hawa wamekuwa kichomi kwangu, pindi napokuwa mimi nashida hakuna anaenisaidia na kuhisi mimi sina shida natania. Sasa siku mmoja...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini watu weusi hatupendani kabisa?

    Ukiangalia vizuri tabia zetu sisi watu weusi Utagundua Mungu alikuwa ana sababu ya kubariki wenzetu weupe alafu sisi akatuacha. Watu weusi hatupendani kama wenzetu weupe. Watu weusi tuna wivu wa kijinga, katika siku hizi za karibu nchi kama USA, Canada, Sweden na nyingine nyingi zimekuwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Watu wenye akili hatupendwi, jamii inatuchukia na kututenga sana

    We angalia tu around you. Watu wenye akili wanatengwa na jamii. Inawaona wanajisikia au wajeuri au wana majidai. Sababu kwa asilimia 90 jamii ina wendawazimu wengi kuliko wenye akili. Mi najiona kabisa kila nikitoa hoja watu wanapinga sababu hawaelewi. Ila wachache wenye akili ndo wanaelewa...
  15. JamiiForums Tanzania Ikiwa binadamu hana uwezo wa kutambua kinachoenda kumtokea dakika zijazo kwanini binadamu huyu huyu amekuwa mtu wa chuki sana?

    Mfano Leo tupo hai twachukiana Sana. Usoni twacheka hila ni rohoni vita vikali Sana. Nasema hivi kwanini mwaka 2013 mtoto wa Mama Mdogo ambaye alitabiriwa kuja kuwa Mwangaza wa Maisha na aliyeonekana Kama Nyota ya Familiya, na aliyekuwa anaweka bidii kwa masomo na kuipambania future yake...
  16. JamiiForums Tanzania Watu wa bara mna ubaguzi na chuki za kidini

    Happy ban day! Watu wa bara mnapaswa kubadilika na kuwa na ustaarabu! Nyie watu mmekosa ustaarabu na chuki zimewajaa acheni hizo gubu zenu na nyinyi huku pwani tuwatimue? Nimechokwa na chuki zenu za udini kila mara mnazowafanyia ndugu zetu wa pwani hamuwaruhusu kusoma shuleni zenu na nasikia...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Chuki na wivu ni sumu kali kwenye mwili wa binadamu kuliko sumu ya nyoka

    Binadamu tunashauriwa kuepuka chuki na wivu, kwani imefahamika kuwa, tabia ya kujenga chuki na wivu juu ya binadamu mwenzako ni sumu kali kwenye mwili wako ambayo inaharibu viungo kama, moyo, figo, mapafu na hivyo husababisha kisukari, presha/ugonjwa wa moyo na hatimaye kifo. Inashauriwa...
  18. JamiiForums Tanzania Wito: Ibara ya 18 ya Katiba iheshimiwe na wote! Kusifu na kupongeza ni haki, kupinga na kukosoa pia ni haki - si uadui, si chuki, si kinyume!

    Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Leo Kwa Maslahi ya Taifa" ya leo inajikita kwenye Ibara ya 18 ya Katiba kuhusu moja ya haki muhimu sana ndani ya katiba, yetu ya JMT ya mwaka 1977, kuanzia Ibara ya 18 – 24, katiba yetu imetoa haki zifuatazo: 18. Uhuru wa Maoni. 19. Uhuru wa mtu kuamini dini...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shukrani Rais Samia kwa kuendelea kuweka sawa, hapakuwa na sababu za chuki zile

    Mahusiano ya kimataifa hususan baina ya majirani hayajengwi kwa chuki, majungu na visasi, hapakuwa na ulazima kuelekeza hasira zote zile kwa vifaranga ambavyo havikuwa na hatia yoyote..... Hao vifaranga bora hata mngewapa sumu, lakini kutia viberiti vifaranga 6,400 wakiwa hai lazima utakuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Unipe tano umaanishe iwe amani, maisha haya haifai chuki, visasi na jealousy

    Nipe tano, salamu, gwara,.. wala si uhuni, peace and love kitu muhimu sana. Huu Ni wimbo wa Daz Baba akitoka Kama msanii aliejitegemea akiwashirikisha kundi lake Daz Nundaz, Ninavyokisakama kipaza Kwaheri sauti Ala Zinaleta mgongano Ninapotimba Majita wangu msisite Njooni mnipe Tano Nipe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…