Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mgombea wa ubunge wa jimbo la Makambako amesema mwaka 2020/2021 hatukuwa na ruzuku ya pembejeo za kilimo, lakini ni Samia Suluhu aliyekuja na maamuzi makubwa ya kuweka pembejeo.
Ameyasema hayo katika kampeni ya Samia Suluhu...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, anaongoza kwa tofauti kubwa katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania nafasi ya ubunge wa Jimbo la Makambako mkoani Njombe. Katika kinyang’anyiro hicho kilichowakutanisha wagombea wawili pekee – Daniel Chongolo na mbunge...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo ameunda kamati malumu kwa ajili ya kufanya uchunguzi na kubaini sababu zinazosabaisha msongamano wa malori katika mpaka wa Tanzania na Zambia upande wa Tunduma ambao umekuwa ukilalamikiwa mara kwa mara na madereva hali ambayo imekuwa kero kwa watumiaji...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, amemwomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kusaidia kujenga bandari kavu Makambako, kutokana na ukweli kwamba eneo hilo na mkoa wa Njombe unapitiwa na reli ya TAZARA na hiyo itasaidia kusukuma ajenda ya miradi mikubwa katika mikoa yote ya Nyanda za Juu Kusini...
Wananchi na wafanyabiashara wa stendi mabasi ya Mlowo wamekoshwa na hatua za utekelezaji wa umaliziaji uliokuwa ukisua sua muda mrefu wa vibanda na miundo mbinu yake.
Wafanyabiashara hao, kutokana na juhudi kubwa zilizofanywa na Mkuu wa Mkoa aliopo sasa Mkoani Songwe, Daniel Chongolo...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amekemea Matendo ya Mauaji, imani za kishirikina pamoja na Ubakaji na Ulawiti.
RC Chongolo ameyasema hayo alipofanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na Wananchi Wilaya ya Mbozi.
Pia soma ~ Watoto waliopokelewa Shule Mwaka 2024 Mkoani...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel Chongolo, amemuagiza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Songwe, Mhandisi Suleiman Bishanga, kuhakikisha mkandarasi wa barabara ya Isongole-Isoko anaanza ujenzi mara moja.
Tayari serikali imetangaza zabuni kwa ajili ya ujenzi wa barabara...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Godfrey Chongolo amewataka vijana wa bodaboda kujiepusha kutumiwa katika uhalifu wa mpakani hususan uvushaji wa bidhaa za magendo.
Akizungumza na kikundi cha bodaboda cha Itumba wilayani Ileje akiwa katika ziara ya siku moja wilayani humo kwa ajili ya kukagua...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe.Daniel Chongolo, amepongeza maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Momba iliyopo katika Kata ya Chitete, akibainisha kuwa licha ya kasoro ndogo zilizojitokeza, majengo yaliyojengwa ni mazuri na yanaonesha matumizi mazuri ya rasilimali. Alisema hayo wakati wa...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo amewataka Vijana kutotumia fedha wanazokopeshwa na Halmashauri kulipia mahari badala yake wafanyie shughuli za maendeleo akieleza kuwa Wanawake wamekuwa waaminifu kurejesha fedha hizo za asilimia 10 zinazotolewa na Halmashauri kuliko Vijana wa Kiume.
RC...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda, pamoja na Viongozi mbalimbali wa ngazi ya Mkoa na Wilaya, wakiongozana na Wananchi wa Mkoa wa Songwe, wamewasili Mkoani Arusha, tarehe 19 Januari 2025 kwa ajili ya kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mkuu...
Wakati joto la Uchaguzi Mkuu katika nafasi za Udiwani na Ubunge unaotarajiwa kufanyika hapo mwakani 2025 likiendelea kupanda, imeelezwa kuwa baadhi ya wanasiasa waliopo madarakani wameanza kupata shida kwenye maeneo yao kutokana na vigogo waliowahi kushika nafasi mbalimbali na wengine ambao bado...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Godfrey Chongolo akiongoza Mkutano wa Nane wa Baraza la Biashara la Mkoa huo amesema malipo ya Wakulima wanaoidai Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) watalipwa malipo yao hivi karibuni na kukiri malipo yalichelewa kidogo.
Chongolo ameyasema hayo Desemba...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Godfrey Chongolo ameongoza Mkutano wa Nane wa Baraza la Biashara la Mkoa huo.
Mkutano huo umefanyika Jumanne Disemba 11, 2024 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Nselewa Wilayani Mbozi.
Katika Mkutano huo Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa...
Siku hizi napenda sana kutoa Maelekezo ili wale Matomaso ( Wasioamini ) Kwanza wakajiridhishe ndipo waje tena hapa. Naomba kila Mtu atafute Clip ya leo Rais alilpokuwa Mkoani Songwe pale ambapo RC Chongolo alipokuwa akitambulisha Mawaziri kisha akitizame kwa umakini sana hiki nilichokiulizia...
Nikikumbuka kipindi kile Ali Happi alipowabeza wazee wakae kimya maana muda wao wa kuzungumza umeisha lakini Mungu akampa somo kupitia mzee Kinana baada ya kuukwaa Umakamu Mwenyekiti wa CCM, tukajua Hilo ni somo kubwa sana maishani mwake.
Hilo likaisha. Likaja jingine tena la kujiuzulu Kwa...
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote. Nchi yangu Tanzania jina lako ni Tamu Sana.
Huyu Jamaa aliachia nafasi yake ya chama kwa skendo za fedheha kwa nchi. Chama kikasema kinachunguza na kwamba kitatoa taarifa uchunguzi ukikamilika.
Hata jua halijazama bwana Jamaa kateuliwa wakati hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.