Mambo vipi Wakuu, Hivi karibuni nilianza kulipia kidogo kidogo kwaajili ya Kununua Pikipiki, kwa hawa watu hapa wapo Mbagala Zakiemu, Mimi nipo mkoa x Nimefanikiwa kulipia kidogo kidogo mpaka kumaliza, ila baada ya kumaliza wanasema kuna process mbili, Moja ni Kuhakiki Miamala (Yaani kuomba bank...