chochote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Katika usawa huu ambao babalevo anaweza kuwa mbunge, mwambie mwanao anaweza kuwa chochote kile atakacho wish ilimradi alinde utimamu wake

  2. JamiiForums Tanzania Gen z wako tayari kufanya chochote ili tu wapate Cha kupost

  3. JamiiForums Tanzania Kwa madini ya huyu Mama Msema Kweli tafadhali naomba mwenye namba yake ya Simu anipe nimrushie chochote kitu

    Kutwa nikisema hapa kuwa Vijana wa leo acheni Kuwadharau Wazee na kuendekeza Uzungu kwani Uzee ni Dawa nami pia mnaniona nimepitwa na wakati. Haya sasa hebu Kuleni Chuma kikali hiki!!!
  4. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais, nitatenga maeneo watu watakuwa wanaongea chochote kile wanachojisikia kama mkakati wa kuhakikisha freedom of expression ni kubwa

    Mimi katika mambo ambayo siyapendi ni kutumia nguvu kubwa kumziba mdomo mwingine asiongee jambo nisilolipenda, bata huku jamiiforums napenda wale wanaokosoa na kamwe siwezi waweka kwenye ignore list Mimi ni mtu ambaye niko comfortable kwa wale wanaonikataa, na kunipinga sababu naamini wanahaki...
  5. JamiiForums Tanzania PolePole hatoongea chochote cha maana acha niwasanue

    Kama ana uchungu na Tz, ni nini kinamzuia kuongea hapo hapo??.....ni anataka kuogopewa ili kupata maslahi yake binafsi?? Nyie wa tz kina Mshana Jr, mbona akili zenu ndogo sana, yaani mnategemea mtu ambaye anawapa Dola mda wa maamuzi, maamuzi yapi sasa wajinga nyie?? huoni kama anataka atimiziwe...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda Muliro: Tutasindikiza masanduku ya kura. Kuna watu wanajifanya mahayawani kwamba wanaenda kuyateka. Ukijaribu, tutashughulika na wewe!

    Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesisitiza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kuhakikisha Uchaguzi wa 2025 unafanyika kwa amani, haki na utulivu, amesema hayo wakati akizungumza kwenye mdahalo kuhusu amani na demokrasia kwenye Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam...
  7. JamiiForums Tanzania Mbeya DC: Walimu wanaotaka kuhama CWT na chama chochote wafuate taratibu watapewa uhamisho

    Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya (Mbeya DC) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuwa Walimu wa Wilaya hiyo wanapata changamoto wanapotaka kuhama kutoka Chama cha Wafanyakazi cha CWT, ambapo Wilaya imetoa maelezo kuhusu kinachotakiwa kufanyika. Awali, Mdau huyo alidai...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama mwanamke wako anamwita mchungaji wa kilokole "Daddy" kaa nae mbali, huwezi kumshauri wala kueleweka, ameshaamua nani anamwongoza

    Siku hizi imekuwa kawaida kabisa kuona wanawake wa kilokole wakipost picha za wachungaji wao kwenye status huku wakisema “DADDY” – yaani “Baba yangu.” Hawa wachungaji ni wale wa kilokole wanaosifika kwa miujiza ya kustaajabisha kama kuuza mafuta ya upako, keski za upako, kujaza gesi ya mtungi...
  9. JamiiForums Tanzania Nikiongea nae anatabasamu tu bila kunijibu Chochote. Mpaka nilipoambiwa huyo ni Kiziwi, Hakusikii

    Wakuu, hivi ushawahi kukutana na mtu yuko poa sana ila tatizo lake ni moja tu hasikii. Mimi niimewahi kukutana na changamoto hii kama mara mbili hivi. Moja kuna Mama mmoja mtu mzima sana nilikua kila nikipita nyumbani kwake namkuta anashughulikia bustani yake ila kila nikipita nikimsalimia...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Wafu hawajui chochote kwanini Mtume Yohana alionyeshwa wazi wazi ROHO za. Wafu waliuawa zikimlilia Mungu awalipizie kisasi Watesi wao?

    Biblia inajichanganya? Uelewa mdogo? Rejea ufunuo wa Yohana ambao ni kitabu cha mwisho kibiblia
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Kwa ilipofika Tanzania sasa, Samia hata akiamua kuwa Rais post 2030 atafanikiwa na hakuna wa kumfanya chochote!

    Kwenye Taifa lolote lile, vyombo vya kuilinda Katiba vinapokufa lolote lile linaweza kutokea na hakuna wa kufanya chochote kile. Ni ukweli mchungu kuwa sasa Tanzania Katiba inavunjwa waziwazi kwa Watu kuzuiwa kutekeleza Haki zao za Uhuru wa Kuabudu na hakuna lolote linalofanyika. Haki za...
  12. JamiiForums Tanzania Je ameongeza chochote kitu?

    Mliongalia mshahara je serikali imeongeza chochote kitu? Au ndiyo yale yale ya kutufanya Sie ni watoto wadogo?
  13. JamiiForums Tanzania Wana CCM tusisikilize chochote hata kama tulikosea, Mgombea wetu ni mmoja tu

    1 Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite 2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani. Insha'Allah mambo yatakaa sawa. Msajili punguza ujuaji kwenye hili. Utauponza
  14. JamiiForums Tanzania Duh kumbe Wanyonge na Mafuraka wa TASAF ili wapewe chochote kitu, wanalimishwa Mitaro , Kuchonga Barabara , hii ni Aibu!!

    Wakuu ni Aibu, Udhalimu na Uonevu mkubwa wanaofanyiwa Hawa Ndugu zetu. Serikali ya Rais Samia, inawafanyisha Kazi Bibi na babu walochoka kabisaz Shughuli za kuchongaabarabara, Njia ,Mitaro na kusafisha vichochoro Kwa Malipo ya Fedha za TASAF. Imeniuma sana sana sana, Hata MAGUFULI hakufanya...
  15. JamiiForums Tanzania Anayejiita Geoffrey Kiliba, Rais wa TAHLISO, sio mwanafunzi wa Chuo Kikuu au cha Kati chochote

    Haka kajamaa tumegundua sio kanafunzi ka Chuo chochote Tanzania, Sio Kwa Vyuo vya TCU, Wala NACTEVET !. Kwa Mujibu wa Miongozo ,Kanuni, Sheria Katiba zinazoongoza TAHLISO , ni umoja ambao haufungamani na Chama chochote Cha kisiasa . Huyu Pimbi, alipoanza kujitokeza, alianza kama Genge la...
  16. JamiiForums Tanzania Maandamano rasmi Kwa wananchi haihusiani na chama chochote ni sisi wananchi tumeamua

    Kama sio Leo Ni lini twendeni ikulu Dodoma hamna kusubiri Hawa watawala watatumaliza tarehe 28 tupo ikulu
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Allah ni "he" kama hafanani au hafananishwi na kitu chochote?

    “If Allah finds goodness in your hearts, He will give you better.” — Al Qur’aan 8:70 He ni utambulisho wa jinsia ya kiume!
  18. JamiiForums Tanzania Kuna mwamba humu sijawahi kuona ame comment chochote, yeye ni dose after dose ya mapicha ya mademu wenye mout kilimanjaro🤣

    Swahili AI salamu zako ndugu🤣 Vijana wengi wanafurahia picha zako quality kwenye kile kijiwe pendwa ni basi tu wanajifanya hawataki kuku-appreciate
  19. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuchati na ChatGPT kitu chochote? Hii AI inaweza kukufanya ujisikie kama unachati na binadamu

    Noma sana. Nilikua bored sana nikaona nitafute sababu ya kuwa na furaha leo😅😅😅 Baada ya kutengeneza CV kwa dakika 10 kupitia Hii AI nikaona nianze kujifurahisha
  20. JamiiForums Tanzania Huwa nawaambia RAIS SAMIA Hasomi chochote anacholetewa Mezani, yeye ni kusaini tu , Aliyefukuzwa Ukurugenzi Arusha kwa Ufisadi, Ateuliwa Tabora !!

    Mnaona MTU wenu sasa anavyoendelea kadhihirisha kua Wanaomzunguka wanamchezesha kidalo Poo watakavyo nayeye anacheza ,huku wakimsifia Mamaa mamaaa unaupigaa unaupigaaa !!. Kuna mwaka alimtumbua Mkurugenzi wa Musoma Vijijin Bwana Panela Nitu Msongela , kwa Makosa ya Utumbuaji Fedha, Usimamizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…