Vaccination policy is the health policy a government adopts in relation to vaccination. Vaccination policies have been developed over the approximately two centuries since the invention of vaccination with the purpose of eradicating disease from, or creating a herd immunity for, the population the government aims to protect. Vaccination advisory committees within each country are usually responsible for providing information to governments that is used to make evidence-based decisions regarding vaccine and immunization policy.
Vaccinations are voluntary in some countries and mandatory in others, with mandatory vaccination policies sometimes leading to opposition. Some governments pay for all or part of the costs of vaccinations in a national vaccination schedule. Cost-benefit analyses of vaccinations have shown that there is an economic incentive to implement vaccination policies as vaccinations can save a significant number of lives and costs.
Generally, vaccine supply is highly regulated by local government. Also, because of the large cost of developing a vaccine, the prices of vaccines are mostly high. Therefore, vaccine policy is effected by regulations and competition.
Mwezi Agosti mwaka 2021, kwenye mkutano wa kwanza wa Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na nchi za Afrika, China ilitangaza kuzindua mpango wa ushirikiano na nchi za Afrika kwenye eneo hilo, ukihusu ujenzi wa miundo mbinu ya mtandao wa Internet pamoja na...
Hivi karibuni, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, Rais wa Djibouti Ismail Omar Guelleh, na Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud walihudhuria hafla ya uzinduzi wa mradi wa umeme wa upepo wa Aysha, uliojengwa na kampuni ya China katika Mkoa wa Somali, mashariki mwa Ethiopia.
Kwa muda mrefu...
Mwaka huu ni kumbukumbu ya miaka 70 tangu China na Afrika kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia, na pia umetangazwa kuwa “Mwaka wa Mawasiliano ya Watu kati ya China na Afrika”. Kwa kuangalia historia ya miaka 70 iliyopita, mafanikio ya uhusiano wa China na Afrika yanatokana na mchanganyiko wa...
China imetangaza kuwa itaondoa ushuru wote kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi 53 za Afrika ambazo ina mahusiano ya kidiplomasia nazo, ikiruhusu bidhaa hizo kuingia China bila ushuru wa uagizaji, na sera hii itaanza kutumika Mei 2026.
Eswatini haipo kwenye mpango huu kwa vile ina uhusiano na...
Mwezi Julai 2025, wanafunzi na walimu 20 wa Chuo Kikuu cha Ualimu cha Zhejiang waliwasili Port Elizabeth nchini Afrika Kusini, na kuwa wimbi jingine lisiloyumba la mawasiliano ya kielimu baina ya China na Afrika yaliyoanzishwa katika miaka ya hivi karibuni.
Wakati mwaka 2026 ni wa mawasiliano...
Mwaka wa 2026 wa Mawasiliano kati ya Watu wa China na Afrika umezinduliwa hivi karibuni katika makao makuu ya Umoja wa Afrika yaliyoko Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia. Mwaka huu, takriban shughuli 600 za mawasiliano kati ya China na Afrika zitafanyika, na kuleta uhai na nguvu zaidi kwa ujenzi...
Moja kati ya maeneo yanayotajwa kuwa na uwezekano mkubwa wa kuliondoa bara la Afrika kwenye changamoto za umaskini na usalama wa chakula ni kuboresha sekta ya kilimo. Kutokana na bara la Afrika kuwa na ardhi kubwa inayofaa kwa kilimo, idadi kubwa ya watu wanaojishughulisha na sekta ya kilimo, na...
Uhusiano wa China na Afrika umeweka mfano mzuri wa kuigwa wa ushirikiano wa Kusini na Kusini, na kuchukua nafasi muhimu sana katika kuendeleza mfumo wa usawa na jumuishi zaidi wa usimamizi wa dunia.
Rais na mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Sera ya Afrika yenye makao yake makuu jijini Nairobi...
Miaka kumi iliyopita, katika Mkutano wa kilele wa FOCAC uliofanyika Johannesburg, uhusiano kati ya China na Afrika ulipandishwa ngazi na kuwa “wenzi wa ushirikiano wa kimkakati” Leo, mkakati huu umegeuka kuwa reli, umeme, mawasiliano ya simu na vifaa vya afya barani Afrika—ukithibitisha...
Katika miaka ya hivi karibuni ushirikiano kati ya China na nchi mbalimbali za Afrika umezidi kuwa wa kina, maeneo ya ushirikiano yamepanuliwa kutoka siasa kama ilivyokuwa kwenye miaka ya 70, na kugusa karibu sekta zote kwa sasa, hali ambayo imekuwa na msukumo wa maendeleo ya nchi za Afrika...
Wakati dunia inapokabiliwa na changamoto za kuongezeka kwa hatua za upande mmoja na kujilinda kibiashara, Maonyesho ya 8 ya Uagizaji Bidhaa ya Kimataifa ya China CIIE yamefunguliwa tarehe 5 kama ilivyopangwa huko Shanghai. Likiwa jukwaa muhimu la kukuza uhusiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya...
Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Forodha ya China zinaonesha kuwa, katika miezi minane ya kwanza ya mwaka 2025, thamani ya jumla ya biashara ya nje ya China ilifikia yuan trilioni 29.57, ambalo ni ongezeko la asilimia 3.5 ikilinganishwa na mwaka jana kipindi kama hicho.
Mauzo...
Kuyumba kwa biashara duniani kutokana na vita ya ushuru iliyozushwa na Rais Donald Trump wa Marekani, uhusiano wa kibiashara kati ya China na Afrika umekuwa unaendelea vizuri, na thamani ya biashara kati ya pande hizo mbili imeendelea kukua kwa miaka 16 mfululizo, na mwaka jana thamani hiyo...
Maonesho ya Nne ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yamefanyika hivi karibuni huko Changsha mkoani Hunan, China, na kushirikisha zaidi ya watu elfu 30 kutoka nchi 53 za Afrika, mashirika 11 ya kimataifa, na zaidi ya kampuni 4,700 kutoka China na nchi za Afrika. Katika miaka ya hivi...
WAZIRI KOMBO ASHIRIKI UFUNGUZI WA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA KATI YA CHINA NA AFRIKA (CAETE)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameungana na Mawaziri wa Mambo ya Nje na Waratibu wa utekelezaji wa Mpango Kazi wa Jukwaa la...
Swali zuri sana. Ingawa China ni mshirika mkubwa wa kibiashara wa Urusi, hawezi kusemwa kuwa ni mshirika bora kabisa kwa sababu ya changamoto zifuatazo:
1. Uhusiano Usio wa Usawa
China ina nguvu zaidi kiuchumi na inatumia nafasi hiyo kuamua masharti ya biashara.
Urusi inalazimika kuuza bidhaa...
Ushuru uliowekwa na Marekani unaweza kuwa na athari mbaya kwa nchi zinazoibuka kiuchumi kama China nan chi za Afrika, lakini wakati huohuo, hatua hiyo ya Marekani itawezesha ushirikiano wa nguvu zaidi kati ya China na Afrika katika biashara na uwekezaji kwenye seta muhimu za uzalishaji, nishati...
Je, China Ilitoa Zawadi au Iliweka Mtego kwa Afrika? – Siri ya Wizi wa Taarifa Katika Makao Makuu ya Umoja wa Afrika
Mwandishi: MalekoGJ
On X
@GoodluckMalekoJ
Utangulizi
Mwaka 2012, bara la Afrika lilishuhudia “zawadi” ya aina yake kutoka kwa China — jengo la kifahari la Makao Makuu ya...
Afrika imegeuzwa kuwa ghala la mataifa ya nje. Madini yanachimbwa, misitu inakatwa, wanyama wanauzwa kama burudani kwa watalii, mito na maziwa yanavuliwa mpaka hakuna cha kuvua tena, lakini mwananchi wa Afrika bado anakwambia "Tuna utajiri wa kutosha!" Utajiri gani? Ni lini utajiri wa nchi ukawa...
Baada ya Trump kusitisha misaada Afrika, kumetokea sintofahamu nyingi zikisema, "Haya sasa, huyo Mchina ajitokeze!"
Ukweli ni kwamba Mchina ni mlaghai na mpigaji kuliko hao mabeberu. Angalau, pamoja na kutupiga, wametuwezesha na sisi mdogomdogo kusogea! Nchi zote zilizokopa kwa Mchina na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.