cheti

  1. LGE2024 John Mrema: Watoto wanaotaka kujiandikisha waende na cheti cha kuzaliwa

  2. D

    Cheti chenye madoa hakitaleta shida kuitwa interview ajira portal

    Habari Nina cheti changu cha form 4 kina madoa ila taarifa zote zinasomeka hakitaleta shida kuitwa kwenye interview ajira portal
  3. Nimepoteza cheti original, nimebakiwa na nakala zilizothibitishwa na Wanasheria. Je, nitakwama kazini?

    Wakuu, nilipoteza cheti original cha chuo, nna copy tu ambayo iko certified. Nimetuma maombi ya kazi nmb na kcb bank nafasi zilizotangazwa hivi karibuni.je kutokua na cheti og kunaweza kunikwamisha? Certified copies hazitoshii?
  4. Msaada wakuu kuhusu utaratibu wa kupata cheti cha ndoa Rita

    Naomba kufahamishwa kuhusu upatikanaji wa cheti cha ndoa cha Rita je! Kinaweza kupatikana hta kwa hawa viongozi wetu wa dini au ni Rita tu peke yake?
  5. O

    Rita: Bora cheti kiandikwe baba mzazi hajulikani, kuliko jina lisilo asili

    Kama una mtoto na hauna uhakika na baba yake halisi au kwa sababu zako hutaki ubini wake utumike kwa mwanao, huna sababu ya kumwandika baba bandia katika cheti cha kuzaliwa. Kwa mujibi wa RITA kuandika jina la baba asiye wa asili ya mtoto katika cheti cha kuzaliwa ni kosa kisheria. Badala yake...
  6. Msaada: Gharama za kusajili cheti cha ndoa RITA ili kupata nakala ya maandishi katika daftari la ndoa

    Habari, Kwa mwenye kujua gharama za kusajili cheti cha ndoa RITA tafadhali pamoja na process zake. Natanguliza shukran za awali.
  7. Nahitaji kujifunza lugha ya kifaransa online na kupata cheti, sehemu gani sahihi ya kujifunzia?

    Sehemu gani sahihi ya kujifunza Kifaransa na kupata CHETI?
  8. Kuna sheria inayomtaka mhudumu wa banda la chips kuwa na cheti cha afya kutoka serikalini?

    Hello! Leo katika pita zangu mtaani kwetu makuburi nikamkuta bwana afya wa kata ya makuburi kibangu wanakoromeana na mmiliki wa banda la chips huku mmiliki wa banda hilo akimnyooshea kidole bwana afya kuwa anafanya utapeli kwa kuwa yeye(mwenye banda la chips) ana miaka zaidi ya mitano katika...
  9. Sera Mpya; Ukioa mwanamke asiye na cheti cha form four jela miaka 30

    ======== Kauli hii ilitolewa na naibu waziri wa elimu wakati huo Joseph Kakunda na ilileta mjadala kwa watu wengi. Hata hivyo Novemba 10, 2017 Kakunda alikuja kutolea ufafanuzi bungeni kwamba alimaanisha sera mpya miaka ijayo itakuwa lazima mtoto kusoma kuanzia chekechea mpaka kidato cha nne...
  10. B

    Msaada: Naambiwa nikachukue Cheti cha Kifo mkoa mwingine nami nipo mkoa mwingine, nafanyaje kukipata?

    Habari ya majukumu, Mimi niliomba cheti cha kifo cha mzazi, majibu yametoka ‘fika ofisi za RITA Bukoba Kagera uchukue cheti chako’, nami kwasasa niko Arusha Naweza kufanyeje Ili nipate nakala ya cheti hicho? Asanteni kwa msaada wenu 🙏🙏
  11. Kukosewa kwa daraja (class) cheti cha diploma

    Habari wakuu. Mimi cheti changu cha diploma kimekosewa, nimekirudisha kirekebishwe ila nimeomba kazi kupitia ajira portal je nikiitwa kwenye interview natakiwa niende na document gani mbadala wa hiko cheti nilichokirejesha kwa ajili ya marekebisho. Maana chuoni wananizungusha kwamba cheti bado...
  12. T

    Kinanchoitwa uhakiki wa cheti cha kuzaliwa na RITA kina maana gani?

    Nimepata mfadhaiko nilipopata taarifa kutoka kwa kijana wangu, kuhusu hitaji mojawapo la kuomba mkopo anatakiwa awe na hitibati ya uhakiki wa cheti chake chakuzaliwa, sasa inakuwaje cheti ambacho kimetolewa na hao RIta wanataka tena kihakikiwe kwa gharama ya 6000? kwanini kuwe na cheti...
  13. NSSF walikataa kunipa mafao yangu hadi niwapelekee cheti Cha kuzaliwa.

    Hiyo ilitokana na utofauti wa tarehe ya kuzaliwa iliyopo kwenye nyaraka zangu za NSSF na nyaraka zangu uraia. Utofauti huo ulikuwa ni tarehe tu ila mwezi na mwaka vilikuwa sawa. Ok, nilifungua madai ya kulipwa mafao yangu. Nikakamilisha Kila kitu. Nikapewa na tarehe ya kuingiziwa hayo mafao...
  14. S

    Naomba ushauri kuhusu Deep Poll na cheti cha kifo

    Habari ZENU, Mimi nilivyomaliza shule ya Msingi nilipelekwa Lushoto, huko sikusoma form one ilikuwa direct form two na kaka angu mtoto wa ba mkubwa ndie alikuwa ananisimamia kusema nina akili nisisome form one. Baadae akaniambia jina langu limegoma hivyo akaniandikia jina la mdogo wake ambae...
  15. Courses za ngazi ya cheti (certificate)

    Wakuu habarini za muda huu, poleni na majukumu na ni matumaini yangu kuwa mko vizuri kabisa. Niende Moja kwa moja kwenye jambo langu, Naomba kuuliza ni course Gani ya certificate ambayo kijana akiisoma kiasi Fulani haitamchukua muda sana kupata kazi? Kijana amesoma Art subjects but alisoma pia...
  16. Nimeenda RITA na kuambiwa cheti cha mtoto cha kuzaliwa ni tsh 20,000/=

    Hakuna kitu kinauma kama kugundua kwamba ulipigwa kwenye biashara or whatever regardless ni pesa kiasi gani pia hakuna kitu kibaya kama kutaka kumuibia mtu ambaye anajua actual amount kwahio ukiona dalili za kutapeliwa shituka. Mwanangu ana miaka miwili nilichelewa kumsajilia cheti kutokana na...
  17. Mtifuano mkali kati ya Wizara ya Afya na vyuo vya afya juu ya kubadili qualifications za kujiunga pharmacy ngazi ya cheti

    Mshikeshike, mtifuano unaendelea kuhusu kubadili sifa za kujiunga na astashahada kutoka D mbili za Chemistry na Biology kwenda C mbili au zaidi za Chemistry na Biology! Kiukweli, sifa zinazopendekezwa na serikali zitaathiri vyuo vya afya vinavyotoa hii kozi! C mbili za Chemistry na Biology ni...
  18. Naomba msaada nikiingia RITA cheti cha kuzaliwa simu inaandika DNS_PROBE_FINISHED_NXDOMAIN

    Nimeomba msaada Google nikaambiwa; How Do You Fix DNS_PROBE_FINISHED_NXDOMAIN? Release and Renew IP Address. Restart DNS Client Service. Change DNS Servers. Reset Chrome Flags. Disable VPN and Antivirus Temporarily. Check Your Local Hosts File. Check DNS of Your Domain. Restart Your Computer...
  19. Nani alikwenda shule kuchukua cheti chake akakuta amewekewa Deni ambalo halifahamu?

    Wakuu Heshima mbele. Juzi nilikuwa natokea PWANI nikakumbuka kwamba sikuwahi kuchukua cheti changu cha kidato cha sita. Sasa nilikuwa na mama watoto, nikamwambia sababu muda umeenda kesho unisindikize shule nikachukue cheti changu, akasema tutakwenda. Basi tulilala mjini pale na asubuhi yake...
  20. M

    Ukiitwa interview Utumishi na umepoteza original ya cheti kimoja unapaswa kufanyaje?

    Habari wadau, nilikuwa nahitaji kufahamu.. Ikiwa umeitwa kwenye interview ya written Utumishi, na cheti cha kuzaliwa kimepotea ila una copy yake iliyokua certified na mwanasheria. Je, napaswa nifanye nini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…