Nina kabachelor kangu,lkn nimekula za uso utumishi,tra na gbt.
Sasa nimewahi kupitia mafunzo ya mgambo na kutunukiwa cheti.
Nimeamua nijitose tu kwenda kuwa mlinzi,kwa kuanzia leo nimepata mchongo wa kwenda kukamata wahalifu flani wanaotuhumiwa na jamii kuwa wanauza bangi na kusumbua wananchi...