chelsea

  1. Chelsea yafungiwa kusajili wachezaji kwa mwaka mmoja na kutozwa faini ya Pauni milioni 10.75 na Premier League

    Klabu ya Chelsea yafungiwa kusajili wachezaji kwa kipindi cha mwaka mmoja, pamoja na kutozwa faini ya Pauni milioni 10.75 na Premier League kufuatia ukiukwaji wa kanuni za kifedha uliotokea wakati klabu hiyo ikiwa chini ya umiliki wa Roman Abramovich. Adhabu hiyo pia inajumuisha marufuku ya...
  2. FT | Arsenal 1-0 Chelsea | Carabao Cup | Nusu Fainali – Mkondo wa Pili | Emirates Stadium

    Kipa Robert Sanchez alifanya makosa yaliyosababisha mabao mawili kati ya matatu ya Arsenal katika mechi ya kusisimua ya mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Carabao lakini Alejandro Garnacho alifunga mabao mawili na kuiweka Chelsea bado kwenye mchuano. Arsenal wanaingia wakiwa na faida...
  3. Leo Chelsea, Man City na Man U wapo vikaangoni - EPL!

    Ngoja tusubirie Matokeo.
  4. Leo kati ya Liverpool, Man City au Chelsea chochote tu kitokee!

    EPL inazidi kunoga. Watetezi wa kombe wanapelekewa moto huko. Wakati City tunategemea leo kusumbuliwa na Chelsea.
  5. What a weekend: Chelsea anampiga Liverpool. Hafu Gunners tunamyonga West Ham na kukaa pale juu!

    Leo ndio tunakaa pale juu na hakuna wa kutushusha tena hadi msimu unaisha. Tuna kikosi bora kabisa, hatuna majeruhi ya kutisha na tupo Emirates. Liverpool wazee wa bahati leo mnatoka kileleni na hamtakaa mrudi huu msimu.
  6. M

    Mara yangu ya kwanza na ya mwisho kubeti ni mechi ya PSG vs Chelsea, mnaobeti mna mioyo ya chuma

    Basi, miaka fulani nilikuwa nimeshawahi kufundishwa kubeti, lakini sikuwa nikibeti, Ila ile mechi ya PSG vs Chelsea fainali… ah! niliiona nitupiemo laki 1 kwa PSG nishinde 160K. Nilijiona usiku ule nikilala na elf 60 nyepesi kuzidi kuchuma mapera, Nilijua nashinda tu! Nikaenda nikafungua...
  7. Wachout chelsea tday gambler's

    warning Napita tuuuu mue makini na Chelsea tfay drw njemjee
  8. Chelsea yaingiza dola milioni 150 baada ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia la Klabu, ambalo tiketi zake zote ziliuzwa. Huenda FIFA hawakukosea!

    Wapo waliokuwa wakisema kuwa mashindano ya FIFA Club World Cup hayana mvuto. Lakini je, kauli hizo zilianza kabla au baada ya Chelsea kutwaa ubingwa na PSG kupoteza? Ikumbukwe kuwa kupitia mashindano haya, Chelsea imevuna kiasi cha dola milioni 50, huku mashindano yote yakihitimishwa kwa...
  9. M

    Chelsea 3 – 0 PSG: Bahati hupendelea jasiri

    Niseme tuu kuwa matokeo ya mchezo wa jana yalinihuzunisha sana. Miungu ya mpira ilishindwa kumzawadia PSG kombe pamoja na kwamba mchoni pa wengi ndio ilikuwa timu bora. Mpira ni magoli, Chelsea walifunga magoli na hivyo walistahili kushindi mchezo wa jana. Lakini inakuwaje timu ambayo kwa...
  10. M

    Wakati wa kukabidhi kombe kwa Chelsea jana sikuona Rais Trump akiwa na walinzi

    Japo ninaamini walinzi walikuwepo tena ulinzi mkubwa. Lakini hoja yangu ni hii : Jana kule Marekani mara baada ya fainali ya kombe la Dunia kwa vilabu wakati Chelsea wanakabidhiwa kombe , Rais wa Marekani Mhe Donald Trump alijumuika nao pamoja na Rais wa Fifa pale uwanjani ...
  11. FT: Chelsea FC 3-0 Paris Saint-Germain | FIFA Club World Cup | Final Match | MetLife Stadium | July 13, 2025.

    Mambo vipi wadau! Leo ni siku ya kipekee kwani tunasubiri fainali ya FIFA Club World Cup 2025 kati ya Chelsea na Paris Saint-Germain (PSG) itakayochezwa saa nne usiku (10:00pm EAT) kwenye dimba la MetLife Stadium, New Jersey. Hii ni mechi ya kihistoria, kwani ni fainali ya kwanza kati ya timu...
  12. Chelsea anafungwa, asipofungwa nipigwe ban la mwaka

    MUUE CHELSEA KWA GOLI 5-0 WEKA LAKI LALA
  13. Nani kutwaa taji la FIFA Club World Cup 2025, kati ya Chelsea na PSG?

    Wakuu, Wekeni utabiri wenu kuelekea mechi hii PSG wanasema hakuna mtu kulibeba inawezeka kirahisi hivyo? Mechi ya fainali ya Kombe la Dunia kwa Vilabu kati ya Chelsea ya England na Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa inatarajiwa kuchezwa siku ya Jumapili, Julai 13, 2025, kwenye Uwanja wa...
  14. Oyaa Chelsea Hatuchezi 😥

    Hawa PSG wanapeleka sana moto Nawashauri vitoto vya Chelsea na Babu yao wasiingize timu watapigwa Kono la nyani
  15. Chelsea yafuzu kombe la FIFA dunia kwa ngazi ya vilabu mwaka 2025

    Chelsea imefuzu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu (FIFA Club World Cup) baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fluminense ya Brazil. The Blues sasa wanasubiri mshindi kati ya PSG na Real Madrid kwa ajili ya fainali hiyo inayotarajiwa kufanyika Marekani. Chelsea walionyesha ubora...
  16. Kwa jinsi alivyojibadilisha, nusura walinzi wa Chelsea wamzuie Ramirez

    Ramirez amezua balaa huko Stanford bridge Nusura walinzi wamzuie uwanja wa mazoezi wakidai soo yeye Kumbuka chelses na liverpool zimewakusanya malegend wao kukipiga mechi ya kirafiki Chelsea mlikuwa mnamlisha mihogo
  17. Pole mashabiki WA Mam U na Chelsea kwa matokeo mliyopata leo

    Niko Morogoro Nilichokiona Leo n BALAA tupu Polen sana mashabiki WA man u na Chelsea Kiujumla sisi Man City tumehuzunishwa sana na yanayoendelea ligi kuu ya EPL Nahisi tueleke kwenye maombii ya Mchungaji wa Dube tukaponye timu zetu
  18. Cole Palmer becomes second-quickest Chelsea star to reach 30 Premier League goals as he joins Stamford Bridge royalty

    COLE PALMER does not yet have the silverware to match modern-day Chelsea legends - but he has become Stamford Bridge royalty in record speed. The 22-year-old capped his 60th Blues appearance with a goal, an assist and a man of the match performance in the 3-0 win over Aston Villa yesterday. It...
  19. Mashabiki wa Galatasaray wapagawa kuwasili kwa Osimhen

    Baada ya saga lake la usajili kutikisa hatmaye mshambuliaji wa the Super Eagles, Victor Osimhen amekubali kujiunga na klabu ya Galatasaray kwa mkopo kwa msimu ujao. Mashabiki wa Galatasaray wameonyesha shangwe na furaha kubwa baada ya kuwasili kwa Osimhen, mshambuliaji mahiri anayetarajiwa...
  20. Jinsi Chelsea wanavyoongea mitandaoni unaweza dhani ni Yanga kumbe hamna kitu

    FT Chelsea 1 - 1 Crystal palace Hii timu ilishajifia kitambo ila kabla ya game jinsi inavyosifiwa mitandaoni unaweza dhani ni Young africans sc inacheza, kumbe kiuhalisia ni ukolo mtupu! Kuondoka kwa tajiri Abramovich litaendelea kuwa pigo!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…