Chawa is a very old village in Bhera near the town of Bhera, Sargodha District, Pakistan. It is located at 30°59'0N 72°54'0E with an altitude of 153 metres (502 ft).The Bhalwana and Sipra are the main families of this village..
The first district Nazim of Sargodha Malik Amjad Ali Noon was from a village named Ali Pur Noon.
Chawa produces a specific kind of plant that is used in the manufacture of colour paints.
Kwa wale walioamua kuendelea kunitukana na kusema mimi 'chawa' na kwamba sasa ninarudi kushika jembe au kusota, nina ujumbe wenu pia!
Nilizaliwa ktk familia ya mwalimu wa shule ya msingi. Niliishi maisha ya Mtanzania wa kawaida kabisa. Wali au sukari vilikuwa vitu adimu. Mnavipata tu siku za...
Siyo siri, serikali ya Awamu ya 6 ina matatizo ya kukubalika na jamii.
Sitaingia katika sababu za kufikia hapo.
Lakini wakati wa msiba wa baba Yetu Cardinali Pengo, imejidhihirisha wazi kuwa watu wanajua viongozi wanao wapenda.
Kwa kushangiliwa kwa upendo na bashasha kubwa Mpango, Makamu wa...
Asee Heche ni mwamba .
Baada ya msiba huu mzito ni wazi Ccm wakishirikiana na watu wao Hususan Mbowe na zitto kuwatumia kuhakikisha msiba hauwapi Milage Chadema kwa mbinu mbali mbali .naomba mtililiko ya yaliyojiri
- Kipenga kilipigwa kwa mbowe kutumia umkwe kuwa msemaji wa familia ,sisi...
Kichwa kiko wazi. Nashindwa kumuelewa tapeli na askofu wa kujipachia Josephat Gwajima. Anajitahidi kutupiga changa la macho akijifanya kulaani utekaji na maovu ya chama chake. Ukimchunguza, licha ya kuwa. tapeli wa kidini kama wengine wanaowahadaa na kuwaibia mazwazwa na wavivu waliokata tamaa...
Leo, tapeli gwajima anatesa. Wapo walioahadaika wakadhani anaichukia serikali wakati ni chawa wake. Ukiangalia anavyopayuka na kuendelea kuwa huru ukamlinganisha na Polepole, unapata jibu. Gwajima si chawa wala tapeli tu la kiimani na kiasiasa. Tumtahahadharini jamani.
Kuna chawa walitengeneza picha kuwa asilimia 98 aliongea na Rais wa Marekani.
Kumbe sisi huku ndani tukufahamu walifanya hivyo kuaminisha dunia.
Kuwekea kikwazo na Marekani sababu ya udanganyifu na mauaji ambayo wanatumia nguvu nyingi.
Walivyoona hivyo walifuta ila hii ni sehemu ya ushaidi.
Naweza kumuelezea Mkumbo Madelu kama ovyo na asiyefaa hata kuongoza kundi la nzi. Je, huyu jamaa ni waziri mkuu au chawa mkuu? Mie mwenzenu baba yenu sielewi.
Hajawahi kukemea mauaji, leo anaitisha kongamano eti la Amani. Ni upumbavu kabisa. Je, amehongwa na wauaji awatetee...to normalize killings?
Mtanisamehe nimetumia lugha kali...moyo wangu unaumia sana kuona mzee kama yule anakuwa hivi!
Spika mpya akipatakana na kuapishwa Tulia Ackson atakuwa Spika Mstaafu.
Tulia ataanza kula mafao yake halali kwa mujibu wa Sheria ya Mafao ya Kustaafu kwa Watumishi wa Kisiasa sura ya 225 [The Political Service Retirement Benefits Act (Cap. 225)]. Mafao hayo yanajumuisha:
Kiinua mgongo ambacho...
Usominwa kweli siyo vyeti wala shahada bali kujitambua na kuwatambua na kuwaelimisha wengine. Yeyote aitwaye msomi na akakubali uchawa si msomi wala mjinga bali mpumbavu na zwazwa wa kunuka. Tumzomee popote tumuonapo hata kumpiga mawe., Naanza na maprofedheha Paramagimbi Kabundi na Kitwila...
Ninakiri na wengi mnajua namna nilivyokuwa ninamsapoti Diamond Platnumz,
Ila kutokana na maujinga yake nilipunguza rasmi ushabiki wangu kwake labda baadaye sana kama itatokea atabadirika na kujitambua kama ilivyokuwa hapo awali.
Ninakiri pia mwaka huu hapa Tanzania hakukuwa na uchaguzi bali...
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza tunaomba wanabodi mtiririke hapa.
Tuna kazi kubwa iliyotukuka Oktoba 29.
Mimi ninashughulika na makazi ya Mbunge wangu wa Ukonga Jerry Silaa.
"...usisahau kumrudia Mwenyezi Mungu, usisahau kuishi Maisha mema na ya maadili mazuri na hichi ndicho tunachotegemea kwa yeyote ambaye amepitia Seminari..." amesema Askofu wa Jimbo Katoliki la Tunduru-Masasi Mhashamu Filbert Mhasi wakati akitoa mahubiri kwenye masifu ya jioni kuelekea JUBILEI...
Hii nchi kuna watu akili hawana hawa chiembe ChoiceVariable Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa usije shangaa baada ya mda wanakuja na nyuzi zao kusifu CCm.
Kama mnabisha subiri mjionee na wao wanatumia VPN
Nashauri wahusika waache kunajisi Ofisi za Umma. Matumizi mabaya ya madaraka. Yaani kichaa kapewa rungu..
Ofisi za Umma waosimamia Tehama hawana hekima wala utu.
Mnakata internet ili wananchi wasojue kinachoendelea. Matokeo wanaoteseka ni CCM wenyewe na Wananchj wasiojua nini I mnafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.