This is a list of terminology used in the fictional Dune universe created by Frank Herbert, the primary source being "Terminology of the Imperium", the glossary contained in the novel Dune (1965).
Dune word construction could be classified into three domains of vocabulary, each marked with its own neology: the names and terms related to the politics and culture of the Galactic Empire, the names and terms characteristic of the mystic sodality of the Bene Gesserit, and the barely displaced Arabic of the Fremen language.
Fremen share vocabulary for Arrakeen phenomena with the Empire, but use completely different vocabulary for Bene Gesserit-implanted messianic religion.Due to the similarities between some of Herbert's terms and ideas and actual words and concepts in the Arabic and Hebrew languages — as well as the series' "Islamic undertones" and themes — a Middle Eastern influence on Herbert's works has been noted repeatedly.
Wakati CCM ikijinadi kuwa na wanachama milioni 13 nchi nzima, hali kwa ground sio poa. Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Karatu ameandika barua na kuwataka watumishi wote wa umma na wanafunzi kuhudhuria mikutano ya mwenezi wa CCM, mzee wa MPOX ndugu Amos Makala itakayoanza leo...
John Mrema kahama na accounts za social media za CHADEMA na kuzibadili jina kuwa CHAUMA,siku akiondoka CHAUMA atazibadili tena majina,kuweni makini na huyu tapeli.
CHAUMA ilinadi mkutano wake kufanyika kwenye viwanja vya furahisha ila ajabu watu wa Mwanza walipuuza na hawakujitokeza
CHAUMA walipewa uwanja wa furahisha pamoja na support ya ulinzi wa polisi lakini wapi
Uwanja wa Furahisha waliuomba chadema wakanyimwa hadi wakaamua kufanyia mkutano Igoma...
Wakati kina Mrema wanahama, walitangaza wao ndo walikuwa mastermind wa Chadema,na kuwa wamehama na wafuasi wengi. Chakushangaza mpaka Leo X ata wafuasi elfu Moja Hawana.
Je watanzania wamewapuuza Hawa madalali wa Siasa?
Mara nyingi uchaguzi unapokaribia, hisia huwa za kuchanganyikiwa. Wapo wanaosubiri kwa hamu kutimiza haki yao ya kidemokrasia, lakini wapo pia – kama nilivyokuwa mie – waliopoteza imani na mchakato mzima. Nilijiona kama mtu mmoja tu asiyeweza kubadili lolote, na kwa muda mrefu nilikuwa nimeamua...
Tazama picha hawa ACT wazalendo wanachokutana nacho kutoka kwa wananchi ni aibu tupu.
ACT wazalendo mnatakiwa kuchora ramani zenu za siasa upya watanzania hawaelewi mnapigania nini.
Chauma wao watapoteana vibaya munoo.
Ccm hizo pesa mnazotaka kutupa bure Chauma naombeni mzitumie kujenga...
Ileje ndiko nilikozaliwa na ndio Jimbo pekee la uchaguzi Tanzania ambalo asilimia 70 ya watanzania hawalijui kabisa ,nimejaribu kukaa na watu tofauti tofauti ukizungumzia wilaya ya ileje wengi hawajui kama lipo Tanzania.
Ileje haijwahi kuwa chini upinzani na upinzani haujawahi kuwa na nguvu...
Kuna taarifa zinazozagaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan kupitia jukwaa maarufu la JamiiForums, zikidai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Kisesa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhanga Mpina, anapanga kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Maendeleo (CHAUMA)...
Jee watazimia? Pressure zao zitapanda au zitashuka? Wataweza kuendelea na hiyo no reforms no election? Jee wataporomosha matusi hadi ya nguoni?
Mimi nafikiri tu kwa sauti? Jee wewe unafikiri kipi kitawapata hawa watu ikitokea hivyo?
Mtaaaaniiii YAAANI NASHAURI wiki hiii nzimaa msishinsane na Wana Simba popote Wana stress kubwaa kiasi cha kwamba
Kesho ASBH USISHANGAE kusikia MAGAZETINI
"SIMBA YAJIUNGA NA CHAUMA"""
Huu si mwaka wa kushindana kwa namna ilivyozoeleka ,watu hawataki kushindana kwa hoja wala kukosolewa kama ilivyokuwa zamani !
Mamlaka ziko tayari kwa ajili ya kuilinda mamlaka ,ukiwa mgombea unatafsiriwa kama gaidi au mhaini ,wanataka ukiwa mpinzani wao wakufundishe na jinsi ya kuongea, nini...
Ukimuona yupo tulivu, usidanganyike. Ndani kuna moto wa kisiasa unachemka. Saa iko kwenye dakika ya 88 na sasa ni ama zake aingie kama sub abadili matokeo au akubali kusugua benchi "mitano tena".
Jimbo la Mbeya mjini limegawanywa kuwa Uyole na Mbeya jiji
Tulia tayari kavamia jimbo jipya la...
Watanzania wa leo sio wale wa 1995 wanajua vizuri mchezo mchafu wa kibiashara waliokuwa wanafanya Mbowe na wenzake. Ambao sasa wamehamia CHAUMA aka wagawa ubwabwa.
Fanya tafiti kwa kina Chadema inakubalika hasa baada ya Mbowe na wenzake kutimuliwa.
Chadema inazidi kuimalika maana sasa hivi...
Wakuu kuna taarifa kuwa waliokuwa viongozi wa CHAUMA wanajipanga kufungua kesi dhidi ya chama hicho.
Wanadai kuwa nguvu kubwa pamoja na vitisho vimetumika kuwaondoa madarakani, wasema chama kimeuzwa na hawatakubali kukiachilia kihuni.
Wanne kati yao watajiunga CHADEMA.
Vuta glasi ya juice...
Kiufupi ni kama CHADEMA wamepigwa ganzi au shoti ya umeme wasijue wala kuelewa cha kufanya.
Wamejawa hofu sana na kwakweli wapoteza matumaini kwa haraka sana mitandaoni. CHAUMA wanakwenda kufuta nyayo za Chadema kwenye maeneo yote ambayo mikutano ya chadema ilifanyika.
Mbaya zaidi, mikakati na...
Wakati Viongozi wa CCM na Serikali wakilifisadi Taifa kwa kiwango cha kutisha huku Wananchi wa Tanzania wakizidi kuwa masikini kila siku na vijana wa Tanzania wasio na ajira wakizidi kuongezeka, jirani Rwanda anazidi kuonesha ni kwa namna gani sasa ana akili kuliko wana Afrika Mashariki wote...
Mbowe namkubali Sana kwa hizi sifa mbili
1. Mbowe alikuwa na uwezo mkubwa wa kusoma na kujua potential za WATU na kuziibua .
2. Alikuwa na uwezo wa kukubalika kwa watu wenye upeo wa juu great thinkers na wasomi .
Ila udhaifu ambao nimeuona kwake ni ile kukumbatia falsafa ya kiswahili...
Hii game ya CHAUMA ni kichekesho mtaani. Leo nimemuona diwani wangu wa zamani naona kucheka tu.
Hawa wasidhani watanzania ni wajinga. Nipo na watu tunaangalia taarifa ya habari kwa kweli watu wanaishia kucheka tu hizi commedy.
Kukiwa na uchaguzi huru na haki baada ya kupokea hawa vibaraka mzee...
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimetangaza kuwa kitaanza oparesheni maalum ijulikanayo kama C4C Tusonge Mbele kuanzia Mei 30, 2025 jijini Mwanza, kwa lengo la kuwafikia wananchi wa mikoa yote ya Tanzania ndani ya siku 16 kwa kutumia usafiri wa helikopta (chopa).
Tangazo hilo limetolewa na...