charles kimei

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    GE2025 Wananchi Vunjo wawashangaa wajumbe CCM kumnyima kura Dkt. Kimei

    Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Jimbo la Vunjo wameeleza mshangao wao mkubwa kufuatia kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo Mhe. Dkt. Charles Kimei — ambaye amebaki kwenye kumbukumbu za wengi kama mbunge aliyetekeleza miradi mikubwa ya maendeleo kuliko watangulizi wake wote —...
  2. K

    GE2025 Dkt. Kimei aomba tena ridhaa ya CCM kugombea Jimbo la Vunjo. Mwanasiasa muadilifu, kiungo wa maendeleo

    Dkt. Kimei Aomba Tena Ridhaa ya CCM Kugombea Jimbo la Vunjo – Mwanasiasa Muadilifu, Kiungo wa Maendeleo Na Mwandishi Wetu, Vunjo Katika hali ya kutia moyo kwa wakazi wa Jimbo la Vunjo, Dkt. Kimei amejitokeza tena kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili aweze kugombea ubunge wa jimbo...
  3. R

    PreGE2025 Wananchi Jimbo la Vunjo wamtaka Mbunge wao Charles Kimei, kuendelea kutetea kiti cha Ubunge

    Jimbo la Vunjo limeendelea kuwa miongoni mwa majimbo yenye msisimko mkubwa kila uchaguzi mkuu unapokaribia, lakini awamu hii hali inaonekana kuchukua sura tofauti, baada ya mbunge wa sasa wa jimbo hilo, Dkt Charles Stephen Kimei, kuonekana kupigiwa upatu na wananchi walio wengi kutetea tena...
  4. M

    PreGE2025 Wananchi Kahe Mashariki wamkabidhi ndafu mbunge Dkt. Kimei kwa utendaji bora

    Wananchi wa Kata ya Kahe Mashariki, wakiongozwa na wazee wa kata hiyo, wamempongeza Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei kwa kazi nzuri aliyoifanya katika kipindi cha mwaka 2020 - 2025, kwa kumzawadia ndafu (mbuzi dume) kama ishara ya heshima na shukrani. Wakizungumza...
  5. W

    PreGE2025 Hawa wabunge wanaochangiwa fedha za kuchukulia fomu za ubunge ni kwamba wamefanya makubwa huko jimboni au ni uchawa na kujipendekeza?

    Kumekuwa na mtindo mara mbunge wa pale kachukuliwa fomu mara wa kule amechangiwa na wanachi. Ni kwamba wananchi wanakuwa wana mapenzi sana na wabunge wa hayo maeneo, au wabunge hao wanakuwa wamefanya mazuri sana jimboni? Kama mtu anatarajia kulipwa kiinua mgongo cha 200M+ bunge likivunjwa...
  6. M

    PreGE2025 Wajasiriamali wanawake wamchangia 260,000 Charles Kimei ili akachukue fomu ya Ubunge CCM dirisha likishafunguliwa

    Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, ameendelea kuonesha moyo wa uwajibikaji na kujali ustawi wa wananchi wake kwa kuwawezesha wajasiriamali wanawake 300 wa Kata ya Njiapanda, Mji Mdogo wa Himo, kwa kuwapatia miavuli maalum itakayowalinda dhidi ya mvua na jua. Hatua hiyo...
  7. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbunge Charles Kimei agawa miavuli wajasiriamali wanawake 300 yenye picha yake na Rais Samia

    Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, ameendelea kuonesha moyo wa uwajibikaji na kujali ustawi wa wananchi wake kwa kuwawezesha wajasiriamali wanawake 300 wa Kata ya Njiapanda, Mji Mdogo wa Himo, kwa kuwapatia miavuli maalum itakayowalinda dhidi ya mvua na jua. Hatua hiyo...
  8. BLACK MOVEMENT

    PreGE2025 Tumeaminishwa, kwamba Wabunge kazi yao ni kuletea wana Jimbo Maendeleo, na sio kutunga sera za nchi, case study Charles Kimei Mbunge wa Vunjo

    Ukifuatilia Charls Kimei bungeni michango yake huwa ana hoja sana huwezi mlinganisha na wakina Abood ambao kwanza hawaongeagi au wakina Kibajaji ambao wanaongea utumbo na still jimboni kuna porverty ya kutisha. Hii sera ya kugeuza kwamba Wabunge ndio wanao leta maendeleo tena Jimboni sio nchi...
  9. M

    PreGE2025 Mbunge Dkt. Charles Kimei azomewa Vunjo, Waziri Mchengerwa amtetea

    Kwa kile kinachoonekana mbunge wa Vunjo Dk Charles Kimei kuchokwa na wapiga kura wake baada ya kujikuta akipata wakati mgumu mbele ya waziri wa Tamisemi Mohamed Mchengerwa pale alipoanza kuzomewa na wananchi wake, hali iliyopelekea waziri Mchengerwa kuingilia kati na kuwasihi wananchi waache...
  10. Mindyou

    Video: Mjadala wa Wachina rasmi umetua Bungeni. Hongera sana Charles Kimei kwa nondo hizi, tunaomba hatua zianze kuchukuliwa!

    Wakuu, Binafsi napata faraja sana kuona mjadala huu wa Wachina unaendelea kupata airtime na sasa umeingia rasmi bungeni. Siku ya Ijumaa, Mbunge wa Vunjo Charles Kimei alizungmzia suala la Wachina (japo aliwaita wageni) ambapo alisema kuwa Wachina wamekuwa tishio kwa kuchukua fursa za wazawa...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Kimei atoa onyo kwa wanaojipitisha Vunjo kutangaza nia ya Ubunge Mapema adai watakumbana na Daftari la Hukumu

    Mbunge wa Jimbo la Vunjo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Charles Kimei, ametoa onyo kali kwa wanachama wa chama hicho wanaoonesha nia ya kugombea ubunge katika uchaguzi ujao jimboni humo. Akizungumza Bungeni jijini Dodoma, Dkt. Kimei alisema kuwa wale wote wanaoanza kampeni za...
  12. K

    Dkt. Charles Kimei apewe Uwaziri wa Fedha haraka

    Ndugu yetu Mwigulu anajifunza kazini na hii wizara inahitaji mtu ambaye anaweza na kujua jinsi ya kutatua matatizo na sio kila siku kubishana na wanasiasa. Matatizo makubwa ni haya ambayo Dr Kimei ndiye anaweza kurekebisha kwa haraka 1. Tatizo la dollar 2. Tatizo la riba kuwa juu 3. Kuanzisha...
  13. ChoiceVariable

    Dkt. Charles Kimei: Benki Zinapaswa Kuwajali Wateja na Kuchangia Maendeleo ya Uchumi

    Mbunge wa Vunjo, Dkt. Charles Kimei, ametoa ya moyoni kuhusu jinsi benki zinavyojiendesha kwa sasa. Dkt. Kimei ni mtaalamu katika sekta ya fedha na ameshikilia nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB kwa miaka 25. Dkt. Kimei amesema kuwa kwa sasa benki zinapata faida kubwa sana, jambo...
  14. beth

    Dkt. Kimei: Mchakato wa utoaji mikopo ya Halmashauri ufanyiwe tathmini

    Mbunge wa Vunjo, Dkt. Charles Kimei amesema Mchakato wa kulenga vikundi haufanyi kazi duniani kote akisisitiza, "Tutumie mbinu mpya kutoa mikopo hata kwa mtu mmoja mmoja. Kutoa kwa Vikundi inaleta ugumu katika uwajibikaji". Akichangia Mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi Ofisi ya Rais -...
  15. Liutenant

    Yupo wapi Dkt. Charles Kimei?

    Huyu mheshimiwa alikuwa anatajwa kama mtaalamu sana aliyeifanikisha benki ya CRDB. Hawezi kuwa suluhisho la nyakati hizi za mfumuko wa bei?
  16. GENTAMYCINE

    Dkt. Charles Kimei anza kupiga 'jaramba', huenda muda wowote ukamrithi aliyeleta tozo za ovyo

    Kuna Watu wameteuliwa ila hawajui tu kuwa wapo katika 'Sacrifice List' ya 'Mama' kutokana na Rekodi zao mbovu na pia kwa Tamaa zao za Kuutaka sana Urais tena wa 2025. Hakika 'Mama' kwa Kusaidiwa na Taasisi fulani 'Muhimu' nchini anaonyesha kuwa japo Yeye ni Mwanamke ila katika Umafia wa...
  17. S

    Charles Kimei awatoa hofu Wanavunjo utekelezaji wa ahadi ya hayati Magufuli ya Vunjo kupewa Halmashauri ya Wilaya

    Na Mwandishi Wetu, Moshi. Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei ameendelea kufuatilia kwa karibu ahadi zake binafsi, ahadi za hayati Rais Magufuli pamoja na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 kwa karibu ili kuhakikisha wanakidhi matarajio na matumaini makubwa ya...
  18. beth

    Dkt. Charles Kimei: Bunge liwajibike kusimamia bajeti inayotekeleza kwa asilimia 100%

    Mbunge wa Vunjo, Dkt. Charles Kimei amesema Bunge lazima liwajibike katika kusimamia Serikali ili ije na Bajeti ambayo inatekelezeka kwa asilimia 100 huku ahadi zinazotolewa nazo zikitekelezwa. Ameeleza, "Mimi nilikuwa najua Bajeti ni Sheria, lakini kama tupo hapa miezi mitatu halafu tunaambiwa...
  19. S

    Charles Kimei: Serikali itoe 'special stimulus' sekta ya utalii

    Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei amewasikisha maombi matatu serikalini alipokuwa akichangia bajeti ya wizara ya mali asili na utalii bungeni ambazo ni: 1. Ameomba serikali kufikiria upya ombi la wananchi wa jimbo la Vunjo na majimbo mengine ya mkoa wa Kilimanjaro...
  20. Replica

    Charles Kimei: Serikali itakuwa tayari kurejesha Kodi iliyokusanywa kwa shinikizo? Mwigulu amjibu

    Leo Bungeni, Mbunge wa Vunjo ameuliza swali lililoanzia kwenye misamaha ya kodi kwenye taasisi za dini ambapo Waziri Mwigulu alisema Taasisi za dini zinazofanya shughuli za kiuchumi kwa lengo la kujipatia faida zinatakiwa kusajiliwa na TRA kama wafanyabiashara wengine na kulipa kodi ya mapato...
Back
Top Bottom