charger

The Dodge Charger is a model of automobile marketed by Dodge.
The first Charger was a show car in 1964. A 1965 Charger II concept car had a remarkable resemblance to the 1966 production version.There have been several different production variants of Chargers, built on three different platforms and sizes. In the United States, the Charger nameplate has been used on subcompact hatchbacks, full-size sedans, muscle cars, and personal luxury coupes. The current version is a four-door sedan.

View More On Wikipedia.org
  1. 22 Inch LED Ring Light Full Set Zenye Tripod Stand, Remote, Charger na Phone Holder Tatu kwa TSH 70,000

    Habari, Tunazo 22 Inch LED Ring Light Full Set Zenye Tripod Stand, Remote, Charger na Phone Holder Tatu kwa TSH 70,000 ✅Zina Mwanga mkali na soft light 💡 inayohifadhi macho! – zinafaa kwa salon, studio, na content creation, na matumizi ya nyumbani! 📞 Whatsapp: 0687746471 Stoo ni chache...
  2. 22 Inch LED Ring Light Full Set Yenye Tripod Stand, Remote, Charger na Phone Holder Tatu TSH 70,000

    Habari, Tunazo 22 Inch LED Ring Light Full Set Zenye Tripod Stand, Remote, Charger na Phone Holder Tatu kwa TSH 70,000 ✅Zina Mwanga mkali na soft light 💡 inayohifadhi macho! – zinafaa kwa salon, studio, na content creation, na matumizi ya nyumbani! 📞 Whatsapp: 0687746471 Stoo ni chache...
  3. Kwa Mil 6 Unapata iPhone 17 Pro Max Bila Charger wala Cover au BMW 3 Series na chenji ya Service!

    Maisha yako speed. iPhone 17 Pro Max 512 GB pale iStore Mlimani City inauzwa Mil 6. Kwenye package unapata iPhone, USB C, pini ya kutolea laini na Makaratasi. Hamna kichwa cha chaja, hamna protector, earphone wala kava. Ila kwa iyo iyo bei unapata BMW E90 2007 namba D na inabaki pesa ya...
  4. CAR MP3 AND CHARGER BEST PRI

    📻 CAR FM PLAYER G39 (TYPE-C) 🔊 ✨ Furahia muziki bila kikomo ukiwa safarini! ✅ USB Charging (3.1A Smart) ✅ FM Transmitter ✅ Inasoma flash & memory card ✅ Hands-free calls (duplex talk) ✅ LED ya rangi mbalimbali ✅ Mic iliyojengwa ndani 💰 Bei: 22,000 TZS 📍 Napatikana: Arusha 📞 Piga/SMS: 0712 350 159
  5. Nahitaji Fast charger original

    Wakuu,,, Sasa nimechoshwa na haya machaja Uchwara, Simu unachaji masaa masaa 6 bado haijai. Nisaidie Original &Fast charger kwa brand yoyote kikubwa Iwe genuine and fast na alama muhimu kuwa ni Original.. my Maximum budget ni 50,000/=
  6. Je wajua kuhusu Super charge na turbo charge jinsi zinavyofanya kazi

    Super charge ni kifaa kinachofungwa kwenye exhaust manifold kwa ajiri ya kuongeza nguvu ya utoaji wa hewa chafu nje ya injini baada ya kuunguzwa kwa mchanganyiko wa hewa na mafuta.Lakini Turbo charge ni kifaa kinachofungwa kwenye intake manifold kwa ajiri ya kuongeza nguvu ya uingizaji wa hewa...
  7. INAUZWA iPhone Complete Fast Charger

    Fursa ya ajira Hata kama huna mtaji leta mteja kwa bei yako, cha juu ni cha kwako iPhone Original Chargers 25W Adapter USB C lighting cable Zipo pis 100 tu 16,000/= Rejareja 14,000/= Jumla (Kuanzia pis 10) Tabata Aroma 0653776099
  8. Apple yakubali yaishe, Iphone 15 inayotoka wiki ijayo kuja na charger ya type C

    Kampuni ya utengenezaji simu aina ya Iphone ya Apple yakubali yaishe, inatarajia kutangaza simu mpya wiki ijayo zenye charger za type C. Apple imekubali kufuata masharti ya umoja wa ulaya ambayo ilipitisha masharti ya kutaka simu zote na laptop zote zinazouzwa ndani ya umoja huo kua na charger...
  9. G

    Charger yangu inapata joto kali nikichajia power bank, inaweza kuharibika ama kuharibu power bank? Nini sababu na suluhisho?

    Chaja nikichajia simu wala haina shida lakini hali ni tofauti kwa power bank, inapata joto kali nikichajia power bank, zikipita dakika 40 hivi charger inakuwa na joto si mchezo. Charger yangu details zake ni hizi Samsung - Adaptive Fast charging Input: 100 - 240V, 50-60Hz 1.0A OUTPUT...
  10. Apple yakubali masharti ya EU, iPhone zitaanza kuja na mfumo wa USB-C

    Makamu wa Rais wa Idara ya Masoko kutoka Apple, Greg Joswiak amesema hawana uamuzi mwingine zaidi ya kufuata maagizo hayo na kuanza utekelezaji japokuwa hawakubaliani nayo. Amesema "Apple haijafurahishwa sana na hii, tunafikiri mbinu hiyo ingekuwa bora zaidi kimazingira, na bora kwa wateja wetu...
  11. Naoma kujuzwa bei ya Wireless charger Dar es Salaam

    Wana jf kwa mwenye kujua bei na mahali napoweza kupata wireless charger ya Samsung maana naona inachagua sana charge hii samsung yangu. Mahali ni daresalam natanguliza shukrani!
  12. Nitajieni fast charger nzuri ya kuchaji simu ijae full chini ya dakika 40

    Natumia smartphone yenye technology ya 15W fast charging, techie hii inasapoti kuchaji simu ijae ndani ya dakika 20, nafikiri inasapoti mpaka chini ya hapo. Nitajieni wadau, nimechoka kuchaji simu masaa mawili mazima.
  13. Napendekeza ‘remote control’ za kuchaji kwa ‘USB charger’

    Nashauri ianzishwe sheria ya kushurutisha waagizaji wa TV na ving’amuzi, kwamba wakiagiza hivyo vifaa, basi remote zake ziwe zina ‘battery’ zenye uwezo wa kuchajishwa kwa ‘USB charger’ kama ilivyo kwa simu na baadhi ya tochi (lamps) za kichina. Hii itaondoa usumbufu na hasara ya kubadili...
  14. Nchi za Ulaya kutumia charger za aina moja

    Umoja wa nchi za Ulaya (EU) wameamua ifikapo mwaka 2024, watengenezaji wa simu zinazotumiwa ulaya watengeneze simu zitakazotumia Pini ya charger ya aina moja na Pini yenyewe waliyoamuru itumike ni hii hapa kwetu inayochaji simu za techno n.k. Wamefikia maamuzi hayo Ili kupunguza utupaji wa USB...
  15. Hivi TBS hawaoni hizi charger fake za simu zinazolipuka kila siku?

    Toka nimeanza kutumia charger za simu sijui ni ngapi zimepiga shoti. Kamoja nilinunua tu na kukaweka kwa mara ya kwanza kakapiga shoti. Katika vitu fake vingi ni hizi charger na USB cable. TBS hebu fuatilieni hili suala. Watu watakuwa wanaunguza majengo kumbe shida ipo hapa kwenye charger...
  16. Jinsi ya kujua kama charger ni fake au original

    Kama mnavyojua sikuhizi kupata charger original ya uhakika ni shida sana. Charger nyingi madukani humu zinaandikwa fast charger ila ukienda kuitumia ni matatzo tupu. Leo nitaelezea njia rahisi ya kujua kama charger ni fake or original. Kwanza charger fake ni ile isiyofikia kiwango chake...
  17. Iphone effect: Xiaomi Mi11 itauzwa bila charger.

    Xiomi imeingiza sokoni simu yao mpya ya Mi11 sokoni. Kama iphone 12 na wao hawatauza sambamba na charger kwa kigezo cha kutunza mazingira na kusaidia kupunguza taka plastiki duniani. Sababu hii pia ndio walitumia apple inc kutuuzia simu bila charger na ikaleta mijadala mikubwa humu...
  18. Xiaomi wazindua the fastest charging phone around

    Kampuni ya electronics, XIAOMI, Imezindua simu mpya ( Xiaomi Mi 10 Ultra) yenye 4,500 mah battery inayoweza kwenda 0% to 100% charge ndani ya dakika 20 tu ikitumia official charger ya watts 120 🔥 Pia simu hiyo ina support 50 watts wireless charging ambapo itatumia 40 minutes pekee kujaa Simu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…