chamwino

Chamwino is an administrative ward in the Dodoma Urban district of the Dodoma Region of Tanzania. According to the 2002 and 2012 census., the ward has a total population of 2,840.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu ajira za Vijana 436 walioahidiwa ajira baada ya kujenga Ikulu ya Chamwino

    Vijana tupatao 436 tuliowahi kuahidiwa na aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, kwamba baada ya kumaliza mafunzo yetu tungeajiriwa moja kwa moja, hadi sasa hatujaajiriwa wote. Baadhi yetu tumebaki mitaani bila ajira, huku wengine wakiwa wanakabiliwa na changamoto za...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa TEC na Rais Samia Ikulu Chamwino: Je, ni Toba ya Kweli na Kukiri Makosa ya Serikali, au ni 'Geresha' la Kisiasa Kupoza Nyoyo?

    Wakuu wa jukwaa hili, Mkutano wa tarehe 10 Agosti 2026 kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) huko Dodoma haupaswi kuchukuliwa kama kikao cha kawaida cha kunywa chai na kupiga picha za tabasamu za Ikulu. Huu ni mkutano uliogusa donda ndugu la taifa letu...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Benki ya NMB Tawi la Chamwino wanatumia Mhudumu (TELLER) mmoja tu wakati madirisha yapo mawili?

    Kwa muda mrefu sasa benki ya NMB tawi la Chamwino dirisha linalotumika kutoa huduma ni moja tu wakati kuna madirisha mawili ila moja halina mhudumu kwa muda mrefu sasa. Hali hii inasababisha usumbufu kwa wateja na kutumia muda mrefu kupata huduma muda ambao tunaweza kutumia kufanya shughuli...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rekodi ya Karne: Rais Samia Ahudhuria Kikao Cha Shina Chamwino Dodoma kilichoitishwa Na Balozi Wa CCM Shina.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ameonyesha unyenyekevu wa kiwango cha Juu sana ambacho hakijawahi kutokea. Hii Ni Baada ya Kuhudhuria kikao cha Shina kilichoitishwa na Balozi wa Shina Chamwino...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa abiria kupanda Magari ya Mwendokasi kituo cha Ilala-Boma sio mzuri unahatarisha usalama wa abiria

    Katika kituo cha Ilala-Iboma amabacho ndo cha mwisho kwa 'Route' ya Mbagala-Ilala BOma kumekuwa hakuna utararibu mzur wa kuwapanga abiria kwenye foleni ili kusubiri kupannda magari, hali hiyo imekuwa ukisababisha vurugu wakati wa kupanda kwani kila abiria anataka kuwahi kukakaa kwenye siti hii...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025 hatujalipwa fedha za kujikimu, Viongozi wanatupuuza

    Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025 hatujalipwa fedha za kujikimu, Viongozi wanatupuuza Sisi Watumishi wa Halmashauri ya Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025, hatujalipwa fedha za kujikimu😭😭. Kinachotuumiza zaidi viongozi wetu wanatoa majibu ya mkato, ukipiga simu hawapokei na...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya Wilaya ya Chamwino hatujalipwa pesa ya kujikimu

    Ajira Mpya hatujalipwa pesa ya kujikimu katika Wilaya ya Chamwino Dodoma, sisi ni Intake ya Mwezi Machi hadi June 2025.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta business partner kwenye uwakala wa benk , mimi na uwakala wa mitandao ya simu , eneo chamwino ikulu

    Natafuta business partner kwenye uwakala wa benk , mimi na uwakala wa mitandao ya simu , eneo chamwino ikulu
  9. JamiiForums Tanzania China, Tanzania, Russia Kushirikiana Kurusha Satelaiti 2026: Je, Huu Ndiyo Mwelekeo Mpya wa Ulinzi na Uchumi wa Kidijitali? (Eneo Chamwino Dodoma)

    Mpango wa pamoja kati ya China, Tanzania na Urusi wa kurusha satelaiti mpya ya kufuatilia masuala ya mawasiliano unaripotiwa kukamilika, na maandalizi ya hatua ya mwisho yanatarajiwa kufanyika mwaka 2026 katika Chamwino, Dodoma. Hatua hii imeibua mjadala mpana kuhusu mwelekeo wa Tanzania katika...
  10. JamiiForums Tanzania Kiapo cha familia ya Rais Samia kitakavyokuwa hapo baadaye ikulu ya Chamwino Dodoma

    Taswira ya kiapo cha baadhi ya mawaziri wa familia moja kitakavyokuwa jijini Dodoma.
  11. JamiiForums Tanzania Mkuu yeyote wa kikosi cha Dodoma ashike Ikulu cha Chamwino. Kwa Dar es Salaam ashike Magogoni. Tumeshashinda

    Imeisha Wakuu wa Vikosi vya JWTZ Dodoma tunaomba mji organise mshike ikulu ya Chamwino Kwa Wakuu wa Vikosi vya JWTZ Dar tunaomba mshike Ikulu ya Magogoni Wengine washike Benki Kuu, wengine TBC. Airport tayari zipo chini ya Jeshi. Mungu ibariki Tanzania Mungu wabariki JWTZ
  12. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Hapa Rais Samia akizungumza Na Waandishi wa Habari Baada ya Kupiga Kura Chamwino Dodoma.

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Hapa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge akizungumza na...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyowaapisha Viongozi wateule, Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Agosti 26, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=b3GTpUdBkQs Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma, tarehe 26 Agosti, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kati ya yule aliofanya maombi na mtungi wa gesi ukajaa na hao wanaishi wa chamwino walio changia 250k ya kuchukua form ya uraisi nani msani zaidi?

    Tanzania ni nchi ambao imejaa comedy ukiwa serious sana na mambo Tanzania na hujui kucheza kiunafiki utaugua kwa stress na kufa mapema. Mtu anaendesha gari la 600m na anasindikizwa na escote ya magri zaid ya 9 Kila v8 ni 200m unamchangia 250k achukue form ya Uraisi loh............
  15. A

    JamiiForums Tanzania Huyu alie ombea mtungi wa gesi ukajaa gesi na wakazi wa chamwino walio changia raisi 250k achukue form nani ni msani zaidi

    Kuishi Tanzania ni raha sana vichekesho haviishi loh.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri Ikulu Ya Chamwino

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Hii Leo ameongoza...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua Toleo la Sheria Zilizofanyiwa Urekebu la Mwaka 2023 Chamwino Dodoma Aprili 23, 2025

    Rais Samia akizindua Toleo la Sheria Zilizofanyiwa Urekebu la Mwaka 2023 Chamwino Dodoma Aprili 23, 2025 https://www.youtube.com/live/po15xrrRr54?si=lMhXCak4Dxa0aCp1
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya siasa Chamwino yaridhishwa utekelezaji wa miradi

    Kamati ya Siasa Wilaya ya Chamwino, Dodoma, ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Chamwino, George Malima, imefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo iliyotekelezwa kwa kipindi cha Julai hadi Desemba 2024. Akikagua miradi hiyo, Malima amesema ameridhishwa na...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chamwino wakata keki kumtakia heri Rais Samia. Wahusisha mpaka wanafunzi kwenye tukio hilo! Hii ni sawa?

    Wakuu, Sijaelewa hapa, huko Chamwino ndio mpaka wanafunzi nae wameingizwa kwenye zoezi hilo la kumtakia heri Rais Samia kwenye siku yake ya kuzaliwa. Hii inakuaje mpaka kukatisha ratiba ya siku ya wanafunzi? ==== Mkuu wa Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Janeth Mayanja leo Januari 27, 2025...
  20. JamiiForums Tanzania Plot4Sale INAUZWA Eneo linauzwa, Chamwino Dodoma

    ENEO ZURI, TAMBARARE LINAUZWA UKUBWA: 7,021 square meters, sawa na 1.735 acres). MAHALI: Kata ya Manchali, Wilaya ya Chamwino, Dodoma. Eneo lipo kando ya barabara kuu ya Dodoma - DSM. Ni umbali wa 20km kutoka Chamwino Ikulu, 38km kutoka Kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma. DIRECTION LINK...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…