chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Chama kimerudi kwa wenyewe

    hamisi_kigwangalla SEKRETARIETI ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapindunzi (CCM), ikiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi @daniel_godfrey_chongolo jana imehitimisha ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 na kuimarisha Chama mashinani katika mikoa ya Kagera...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Aucho ni mchezaji class ya Chama, hawezi kucheza Yanga, msikilizeni Manara anavyosema!!

  3. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka msumari wa moto kwa Upinzani Tanzania

    Msingi wake ukiwa ni aina ya Siasa anazozifanya kijana huyu Mzalendo wa kweli wa Taifa hili zimekizolea umaarufu na heshima kubwa ndani na nje ya nje Chama cha Mapinduzi kwa kipindi hiki kifupi tangu kuteuliwa kwake, Siasa zake za msimamo wa wastani na kuegemea zaidi kwenye kusikiliza...
  4. JamiiForums Tanzania Eti jamani huyu Chama tumpe jezi namba ngapi?

    Kwasasa habari ya mjini ni Mwamba wa Lusaka, ambaye masaa machache yajayo atatangazwa kuwa amesinya mkataba ndani ya klabu ya Yanga, hivyo ukiwa kama mdau wa michezo na mwanayanga unafikiri Chama tumoe jezi namba ngapi jamani? NB Kila mbuzi ale urefu wa kamba yake
  5. JamiiForums Tanzania Nchi hii tuna chama cha wataalam wa kilimo?

  6. M

    JamiiForums Tanzania Simkubali Haji Manara na ana Matatizo yake, ila kwa hili la Clatous Chama namuamini 100% na wana Simba SC tusidanganywe na Uongozi wetu

    Nakumbuka KEROZENE nilipochangia Uzi wakati Chama alipouzwa nilisema hapa hapa kuwa ile ilikuwa ni Gia tu, ila muda mchache atarudi Tanzania na Kutua Yanga SC. Kuna sababu Kuu Nne ambazo niliziona wakati nachangia huo Uzi kuwa Chama atatua Yanga SC moja ikiwa ni ukaribu wake na Ridhiwani...
  7. JamiiForums Tanzania Manara: Yanga wameshamalizana na Chama, kumtangaza muda wowote kuanzia sasa

    Hii ni kwa mujibu wa post ya Haji Manara kupitia Instagram page yake
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Chama na Serikali kuendelea kufurika Chato na Geita, huku kwingine sisi si waTanzania?

    Siyo vibaya kwa viongozi kutembelea wananchi mikoa yote na kujua matatizo yao pale walipo. Lakini sasa imetokea tabia kwa viongozi wengi wa Kitaifa kuendelea kufurika Chato na Geita, ati kusimamia ahadi za chama na Ilani. Sasa sisi wananchi wa mikoa mingine , hasa kwa mfano mikoa ya kwetu huku...
  9. JamiiForums Tanzania Kama siyo Magufuli kuwaokoa 2015 na agenda ya mabadiliko CCM, leo ingekuwa chama cha upinzani

    Katika binadamu aliowaumba hapa duniani watanzania aliwapa sifa na vipawa tofauti kama ifuatavyo Wakati MUNGU amewaumba wanadamu kusahau lakini wamepewa uwezo wa kukumbuka lakini Watanzania MUNGU ametuumba kusahau milele bila kukumbuka. Mungu aliwaumba Watanzania kuwa wapole na wavumilivu...
  10. JamiiForums Tanzania Shaka: Miradi inayokamilika bila kutoa huduma kwa wananchi inashusha heshima ya Chama na Serikali

    Serikali wilaya ya Bukoba imetakiwa kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalam na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale uliopo tarafa ya Bugabo, halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera chini ya kampuni ya ujenzi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Shaka: Miradi inayokamilika bila kutoa huduma kwa wananchi inashusha heshima ya Chama na Serikali

    Serikali wilaya ya Bukoba imetakiwa kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalam na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale uliopo tarafa ya Bugabo, halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera chini ya kampuni ya ujenzi ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yamkingia Kifua Jenerali Ulimwengu dhidi ya vitisho vya Spika Ndugai

  13. T

    JamiiForums Tanzania Kuamini kwamba chama cha upinzani kikishika madaraka kitaleta maendeleo ni kujidanganya!!

    Kwa mtazamo wangu maendeleo yanaweza kupatikana ikiwa rasilimali za nchi zikapata usimamizi mzuri na mipango ya maendeleo ikapangiliwa vizuri lkn pia wananchi wakatimiza wajibu wao. Kwa upande wa vyama, naamini ni kama madaraja tu ya kuwasaidia watu kupata sifa ya kuwa wagombea na kukidhi...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakazi CWT?

    Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakaz cwt? Ikumbukwe sijawah hata kujiunga nacho ila nakatwa makato ya 2%?
  15. JamiiForums Tanzania Kenan Kihongosi: Asante na shukrani kwa Chama Chetu cha Mapinduzi

    KATIBU MKUU UVCCM: ASANTE NA SHUKRANI KWA CHAMA CHETU CHA MAPINDUZI. Na Kenan L. Kihongosi KATIBU MKUU UVCCM Kwanza namshukuru MWENYEZI MUNGU kwa uzima na Afya njema. Pili nakishukuru Chama Cha Mapinduzi sambamba na Mweyekiti wake ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania...
  16. T

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Chama cha Mapinduzi chateua Makatibu katika Mikoa 32 na Wilaya 168

    Hongera crdes wote kwa kuaminiwa na kuteuliwa kwenu hakika ni imani kubwa sana mmepewa na Mkt wetu Ndg Samia Suluhu Hassan kaitendeeni haki. === Nendeni kachapeni kazi ili kama Chama tuweze kutimiza matamanio na matarajio ya Wananchi wa Taifa hili, === Kasimamieni zile TZS 1.3 za IMF vizuri...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kama unajiuliza kwanini leo Tetesi za Mchezaji Clatous Chama kutua Yanga SC zimekuzwa jibu rahisi na jepesi tu ni hili hapa

    Kwa Propaganda Machine iliyoko Yanga SC kwa Usajili wa Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango si tu vya Kimataifa bali hata vya Mbinguni kwake Mwenyezi Mungu kutoka nchini Hispania kulihitajika kuwe na Taarifa ya Kushtua na kufanya Counter ili kuweka Mizania na kuhamisha Fikra za Watu na Stori...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC mnaoweweseka na Tetesi za Clatous Chama kwenda Yanga SC mmeanza Kuijua na Kuifuatilia Simba SC lini? Mnaniangusha

    Yawezekana 95% ya Vijana mnaoifuatilia na hata Kuishabikia Simba SC wengi wenu miaka yetu mlikuwa bado katika Zipu za Baba zenu wakitafakari wawalete duniani au waghairi tu. Nimeshangaa na Kushangazwa mno kuona wana Simba SC leo wakiwa wameshtushwa na wengine hata Kuogopa baada ya Tetesi za...
  19. JamiiForums Tanzania Tuunde chama cha siasa cha mtandaoni

    Siku hizi dunia ni digital. Kuna kampuni za mitandaoni, maduka ya mitandaoni, shule nk. Kumbe hata kuwa na chama cha siasa cha mtandaoni inawezekana. Sasa tuundeni chama cha siasa cha mtandaoni ambacho kitakuwa na matawi Twiter, facebook, youtube , insta nk. Hoja za kushughulikia kwa sasa ni...
  20. JamiiForums Tanzania Sikubaliani na Harakati za GSM za Kumleta Cloatus Chama Jangwani (Yanga SC)

    Najua GSM imekuwa kwenye pilika za kumleta Chama Jangwani tangu kitambo. Tangu alipokuwa ukingoni mwa mkataba wake na Simba, kabla hajaongezewa mkataba mpya. Na sasa kuna jitihada za kumrudisha Bongo ajiunge na Wanajangwani. Eng Hersi Said amehusika pakubwa katika kumshawishi Prof Coach NABI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…