chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Waandishi hawa na Sare za Chama kulikoni?

    Tokea kuanza wa Kampeni za Uchaguzi,waandishi wengi wamekuwa wakivaa sare za wagombea wa vyama hususan CCM na Bodi ya waandishi wa Habari wala haisemi kitu Juu yao. Waandishi ndiyo tumaini la wananchi kupata taarifa isiyo na upendeleo wowote naamini Bodi itatekeleza wajibu wake kushughulika nao hao
  2. GE2025 Said Mohamed na wenzake wataka viongozi CHADEMA kukamatwa kwa kukiuka amri ya mahakama

    Ameandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X TAARIFA KWA UMMA Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya 1. Mhe. John Heche 2. ⁠Mhe. John Mnyika 3. ⁠Hilda Newton 4. ⁠Twaha Mwaipaya 5. ⁠Board ya Wadhamini ya Chadema. Maombi hayo...
  3. GE2025 Je magari , ndege za kijeshi ni Mali ya chama tawala au imekaaje hii

    Nipo Arusha Leo kwa kweli inasikitisha Ñaona ndege za jeshi zimabandikwa stika za mama zinazunguka hapa zaidi ya saa na nusu hazijatua ziko hewani tu gari zinasomba watu kupeleka stadium kwenye kampeni Hali kwa sasa ni mbaya wananchi wengi wamekerekwa na Namna helcopter zinazunguka TU hapa...
  4. GE2025 Zimebakia wiki chache watu wanaomsifia Samia wabadilike na kusema "chama chetu hakikumchagua, alijiteua mwenyewe". Tupo hapa

    Machawa hayanaga msimamo na week kadhaa zijazo watamgeuka kiongozi wao ambaye wanamsifia sasa hivi. Tuko hapa. Utakutana sana na " Ujue yule hutukumchagua, alijiteua mwenyewe" nyingi sana. Ghafla na wao wataanza kuchukia ufisadi na kuchukia utekaji. Tuko hapa
  5. GE2025 Zacharia Obadi: Maandamano ya Oktoba 29, 2025 ni msimamo wa Wananchi na siyo Chama

    Hawajaweka wazi na Zacharia Obadi, Katibu wa CHADEMA kanda ya Victoria anasema ni msimamo wa wananchi na siyo chama. "Wimbo umekuwa ni huo tu No reforms No election na wengine wameenda mbali zaidi nakusema kwamba tarehe 29, october tunaandamana CHADEMA hatujajitokeza wazi wazi nakusema huo...
  6. Mahakama yaitaka CHADEMA kukabidhi nyaraka za Chama kwa Saidi na wenzake ndani ya siku 14

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, leo Jumatatu (29.09.2025) imetoa uamuzi mdogo katika kesi namba 8322/2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Issa Mohamed na wenzake wawili dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa chama...
  7. Hatuwezi linda amani ya Mafisadi, Tunataka kuona kodi zetu na mapato ya nchi yakimnufaisha mTanzania bila kujali chama chake, familia aliyotokea, dini

    Hatuwezi kuendelea kuweka mazingira mazuri kwa mafisadi. Mmeharibu sana hii nchi huku waTanzania mkiwaona wakiteketea kila siku juu ya umaskini unaowazunguka. Pesa ambazo zilitakiwa kujenga hospitali bora zinatumika na kakikundi fulani Pesa ambazo zilitakiwa kuhakikisha kuna barabara bora ili...
  8. W

    GE2025 Bwege amtaka Zitto ajisafishe la sivyo hatoaminika tena na ACT itakuwa chama kama Polepole anavyokisemaga

    Wakuu Bungala anaendelea kupiga kwenye mshono, amemtaka Zitto ajisafishe la sivyo hatoaminika tena na ACT itapoteza mvuto wake. Bwege ameunga dots kwa yaliyotukia Kigoma hivi karibuni ambapo Baba Levo na Rais walikuwa wakimuongelea Zitto na kuoenekana kama kijana wa nyumbani (CCM). Soma pia >...
  9. GE2025 Polisi Lindi: Hakuna aliyekamatwa kwenye mkutano wa Chama cha AAFP, wanatoa madai ya uongo

    Jeshi la Polisi mkoani Lindi limetolea ufafanuzi madai ya mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombare Mwiru ambaye alisema vurugu zilizotokea jana kwenye eneo Kilwa Masoko zilisababisha ashindwe kufanya mkutano. Soma Pia: Chama cha AAFP yaahirisha mkutano wa kampeni...
  10. GE2025 Shigongo: Hakipo chama kinachoweza kuongoza nchi zaidi ya CCM

    Wakuu, Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo amesema hakuna chama cha siasa nchini kinachoweza kuiongoza nchi kwa mafanikio kama CCM. Shigongo amewaomba wananchi wa Buchosa kukipigia kura chama hicho kwenye uchaguzi mkuu ujao na kumpa kura za...
  11. Jinsi ambavyo watu wanajaribu Kuibagaza Yanga. Serikali iingilie kati suala hili. Hii ni Team ya Chama

    Huu ujinga serikali ikemee. Yanga ni team ya Taifa. Kwa nini watu watumike kuibagaza na kuibananga namna hii? Hili shoga limevaa jersey ya Yanga linfurahia kama ambavyo huwa yanavaa za CCM.
  12. M

    Baada ya Charlie Kirk Kuuawa, wafuasi wa chama cha Democrats waanza kupanga majina ya Republicans watakaofuata kuuawa

    Baada ya Charlie kirk kuuawa kazi bado haijaisha, Wafuasi wa chama cha Democrats wameshauri zoezi liwe endelevu na wametoa orodha ya majina ya republicans wa kuuawa. Hawa Republicans waliotajwa wamekuwa mwiba kwenye sera za democrats zinazohusu Abortion, Kuruhusu wahamiaji haramu, kuruhusu...
  13. GE2025 Rais Chama Cha Wanasheria wa Serikali: Hakuna Anayeijua Sheria Kuliko Wakili wa Serikali

    Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewaonya wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema kitendo hicho kinasababisha upotoshaji unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria. Akizungumza leo Ijumaa, Septemba...
  14. M

    Ukitetea mambo haya Marekani unajiingiza kwenye 18 za wafuasi wa chama cha Democrats, tegemea kuuliwa, kuumizwa au kuhangaika kama Charlie Kirk

    Haya ni mambo ambayo ukitetea inabidi uanze kuwa chonjo, mfano kwa siku ya leo ni Charlie Kirk kapigwa risasi, Trump alikoswa koswa. wanapoona hoja zako zina uzito na hawawezi kudebate option inayobaki huwa ni kuua, kuumiza, jela au kukuhangaisha sana, -Kutetea mipaka ifungwe kusiwe na uingiaji...
  15. GE2025 Kilosa - Morogoro: Wana-CCM wadaiwa kupata ajali wakiwa kwenye lori wakielekea kwenye mkutano wa Samia Suluhu

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi kutoka Mvumi takriban 40 wamepata ajali wakiwa wamepakiwa kwenye lori wakielekea kwenye mkutano wa mgombea Urais kupitia chama hicho, Samia Suluhu Hassan. Kumeibuka malalamiko kuwa mamlaka zimeficha taarifa hiyo ya ajali, huku majeruhi wakidaiwa kutelekezwa...
  16. Ni kama kuna Hali ya kuchanganyikiwa kwenye kile Chama

    Karma,Novena vimeanza kujibu,yule Mzee aliyeenda nyumbani kwa Baba wa Taifa kumsema vibaya kumbe Baba wa Taifa anamsikia dirishani,wengine wanaita press halafu hawatokei wanakatazana wenyewe kwa wenyewe,
  17. R

    GE2025 Said Soud: Hakuna Chama chenye uwezo wa kuiangusha CCM

    Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud, amesema hakuna chama cha siasa chenye uwezo wa kuiondosha Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani kutokana na uimara na umoja wa chama hicho. Soud alibainisha kuwa AAFP ipo tayari kushirikiana na CCM na kumuunga mkono mgombea...
  18. J

    Kumbe na 'Tyson' kawekwa na mtu kusaidia kiti? Kweli hapo hakuna Chama kuna genge la watu.

    Yule mdunguaji, ambaye anawadungua Kunguru na Makinda yao akiwa kusikojulikana, jana amempopoa 'Tyson' kuwa eti kwenye kazi yake ya kusaidia kubeba kiti, alipigiwa chapuo na mtu mumoja ambaye hata hivyo Mdunguaji hakumtaja kwa jina. Kama ilivyo ada, tangu mdunguaji aanze kuwapopoa Kunguru...
  19. M

    I wonder if you actually think they will hesitate to do it ? Tundu Lissu atanyongwa !

    Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea. tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !! Tunaingia stage mpya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…