chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa viongozi wa Simba kuhusu Clatous Chota Chama

    Triple C bado ni mchezaji mzuri sana na kwa timu inayohitaji makombe ama kuwa na kiu ya mafanikio haiwezi kumtema mchezaji kama Chama. Maneno ya mashabiki kuwa Simba iachane na Chama akaangalie maisha mahali pengine ni maneno ya watu ambao wamejiunga kwenye tasnia ya soka miaka ya hivi karibuni...
  2. JamiiForums Tanzania Kagame na Siasa za ubabe: Kupiga kura na kuchangia chama tawala si hiari, ni lazima!

    Paul Kagame Siku za nyuma, Katibu Mkuu wa chama tawala, RPF inkotanyi, bwana Wellars Gasamagera, alitamka wazi kuwa, RPF haiwezi kuachia madaraka kwa mtu mwingine au chama chochote. Ikumbukwe, chaguzi zote zilizopita, matokeo ya uchaguzi yalionyesha kiongozi wa chama hicho, ambaye mara zote ni...
  3. JamiiForums Tanzania Simba wakimpa thank you CHAMA ndio nitaamini wako serious na Mabadiliko, tofauti na hapo YANGA BINGWA 2024/2025

    Hizi kelele za Thank You ni kama zimemponya Mangungu, vipi ndugu zangu tuwape muda au bado libeneke liko palepale? Ngoja kwanza nicheke kikatuni Teh teh teh teh teh teh teh! Huyu mchezaji huwa anadhihakiwa sana na mashabiki kwamba kachoka na anaichomesha timu kwenye mechi muhimu! Sasa...
  4. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina usiondoke CCM, pambania huko huko ndani ya chama chako kuleta mabadiliko

    Luhaga Mpina umekuwa machachari sana kuiwajibisha serikali ya chama chako tofauti na wabunge wenzako wengine wote wa chama chako. Kama utaendelea na mwendo huo unaweza kuleta mabadiliko makubwa mno ukiwa ndani ya CCM kuliko nje yake. Wewe sasa hivi unachukuliwa kama nembo ya ujasiri ndani ya...
  5. JamiiForums Tanzania CCM ndio chama

    Nama la mama raisi wetu kipenzi Raisi Samia Suluhu Hassan Nani Kama mama Wenye kumtungia uongo wajinyonge https://m.youtube.com/watch?v=OllZtjchN2U&pp=ygURSksgYWZ1bmdhIG1hZnVuem8%3D Somo la bure CCM ndie mama, CCM yajenga nchi CCM ndie baba, CCM yajenga nchi
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama cha Mapinduzi na Michezo Nchini

    Ama kwa hakika CCM ni chama cha michezo nchini, hususani mpira wa miguu. na huu ni mwanzo tu, katika jitihada za makusudi kuhamasisha na kuimarisha michezo kuanzia vijijini. 🐒
  7. JamiiForums Tanzania Wana CCM hawa wanakichafua chama

    Nimekuwa nafuatilia mikutano ya vyama mbali mbali vya kisiasa. Kuna siku nikakuta wana CCM wanafanya vikao vyao kwa njia ya aibu sana. Ktk hali ya ulevi na mambo ya hovyo kama mnavyotazama kwenye hiyo clip. Hivi wanatoa mafundisho gani kwenye kizazi kinachoyaona hayo mambo ya hovyo?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama Chadema wanahongwa ili kupanga safu za chama Je wakipewa nchi si watatuuza kabisa hawa?

    Makamu Mwenyekiti wa chama Tundu Lissu anasema Kuna watu ndani ya Chadema wamenunuliwa. Pesa zimemwagwa ili kupanga safu ndani ya chama ambayo ni nafuu kisiasa kwa wahongaji. Hili jambo limenifanya nifikirie sana kuhusu uwezo wa CHADEMA kuongoza nchi. Kama hiki chama kinanuliwa na watu ambao...
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Mpango wa Utekelezaji wa Taifa (MUT) uwe mbadala wa matumizi ya Ilani ya Chama cha siasa kama Muongozo wa utekelezaji wa Shughuli za Maendeleo

    Kwa miongo kadhaa tangu tumepata uhuru maendeleo ya Taifa letu yamekuwa yakitegemea ilani ya chama kinachotawa na maono ya kiongozi aliyepo madarakani. Hata hivyo muda mwingine utekelezaji wa baadhi ya miradi ulikuwa ukitegemea huruma ya viongozi waliopo madarakani, hali iliyopelekea baadhi ya...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama Gani kina sera za kueleweka kuelekea 2024/2025

    Kwa bahati mbaya Afrika umaskini, maradhi na ujinga ni mkubwa kiasi kwamba waafrika tumeachwa hoi tumetopea kwenye ugiligili wa shida zetu hata kushindwa kuwa na vipaumbele vyetu. Mwaka huu kutakuwa na uchaguzi wa Serikali za mitaa na mwakani uchaguzi wa madiwani, wabunge na Rais. Hivi mpaka...
  11. JamiiForums Tanzania Shara Amran Khamis achukua fomu kuwania nafasi ya Makamo Mwenyekiti Zanzibar ndani ya Chama cha ADC

    Aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) na kushika nafasi ya pili nyuma ya Mgombea wa CCM katika uchaguzi wa Jimbo la Kwahani Unguja (Zanzibar), Shara Amran Khamis, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Makamo Mwenyekiti Zanzibar kupitia Chama cha ADC...
  12. JamiiForums Tanzania Chama cha Jacob Zuma, Umkhonto we Sizwe chawasilisha maombi Mahakama ya Katiba kuzuia kikao cha Bunge

    Chama cha Umkhonto we Sizwe (MK) kinachoongozwa na Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kimewasilisha maombi katika Mahakama ya Katiba kuzuia kikao cha kwanza cha Bunge kinachotarajiwa kufanyika Ijumaa Juni 14, 2024 kwa lengo la kuapishwa Wabunge, kufanya Uchaguzi wa Spika na Naibu Spika...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe kung'ang'ania uenyekiti kutasababisha makada wengi wa chama kuondoka

    Mbowe aliingia kwenye uenyekiti wa chama mwaka 2004, wakati huo Rais akiwa ni Mkapa. Wakati Mbowe anaingia kwenye uenyekiti John Mnyika alikuwa na miaka 25, John Heche alikuwa na miaka 23, Tundu Lissu alikuwa busy na mambo yake ya sheria akiwa na miaka 36. Halima Mdee alikuwa na miaka 26...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Biteko: Msing'oe bendera ya chama chochote. Bendera hazipigi kura

    Msing'oe bendera ya chama chochote, bendera haipigi kura, ushinde ubaya kwa wema - Dkt. Biteko Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto biteko akizungumza leo juni 6, 2024 katika mkutano wa hadhara jimboni bukombe mkoani Geita.
  15. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu ADC Doyo autaka Uenyekiti ADC, asema chama chao hakiwezi kulea mafisadi

    https://www.youtube.com/live/qQ_4w2DCSSY Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha ADC, Doyo Hassani Doyo anatarajia kuchukua fomu ya kugombea Uenyekiti Taifa, Juni 11, 2024. Doyo anakwenda kumrithi Mwenyekiti Taifa, Hamad Rashid aliyemaliza muda wake Kikatiba. Amesema lengo kuu la kugombea nafasi...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: CHADEMA yameguka, Msigwa na Tundu Lissu wanapanga kuanzisha chama chao

    Friends and Our Enemies... Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani. Kama hiyo haitoshi LISU alifikia hatua ya kusema kwamba Kuna kila dalili kuwa fedha Hizo zinatoka...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Zama za chama cha ANC kutamba Afrika Kusini yafikia tamati

    Chama cha African National Congress (ANC) kimepoteza wingi wake wa wabunge katika matokeo ya kihistoria ya uchaguzi ambayo yanaiweka Afrika Kusini kwenye mkondo mpya wa kisiasa kwa mara ya kwanza tangu kumalizika kwa utawala wa kibaguzi. Mamlaka iliyodhoofika sana kwa chama cha urithi cha...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA mbinu ya maandamano haikuwa njia sahihi ya kukirudisha chama katika macho ya Watanzania

    Tunafahamu kuwa miaka 3 nyuma vyama vya upinzani havikupewa jukwaa stahiki la kuendeleza biashara/kazi na majukumu yao ili kuongeza tija na hamasa ya kupendwa zaidi,na kuvutia wanachama ilikuwa ni inactive political parties,havikuweza kuwa na uwakilishi wa kutosha katika bunge na hata katika...
  19. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kulikoni? Wanagawa kadi za chama chao kama njugu mitaani!

    Leo nimepokea mialiko miwili kupitia magroup ya WhatsApp kuniomba niende kujiandikisha na kupewa kadi ya CCM. Mtaa mmoja nimekuta kundi kubwa la vijana wa mitaani waliochoka kimaisha, wakiwa na viongozi wa CCM wenye vitambi wakigawiwa kadi. Pia kuna akinamama wanaosimama njiani kualika wapita...
  20. JamiiForums Tanzania Kama CCM imeshindwa na Makonda kaweza, CCM ya Nini tena?

    Nimeona madudu yanayoibuliwa na Makonda na kushangiliwa sana na watu wa CCM wakiona kama Makonda ndiye CCM na taasisi na wengine wote ni Chauma au UDP. Labda niwakumbushe watu wa Arusha, haya anayo yaibua Makonda ndiyo madhaifu ya serikali ya CCM. Rushwa, ubadhilifu, kunyima haki raia, matumizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…