Mpira siku zote ni mchezo wa wazi tulishasema toka siku nyingi kipindi simba iko kwenye peak ilijengwa kumzunguka chama chama ndo alikua anaamua Simba icheze vipi alipoondoka ndo anguko la simba lilianzia pale
Chama ni mmoja kati ya wachezaji ambao wanafanya kwa usahihi na ufasaha majukumu yao...