chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sauti ya Watanzania kusagia kunguni CHADEMA kila siku, wanatumiwa kudhoofisha chama

    Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya sauti ya Watanzania jinsi tunapoelekea kwenye uchaguzi kazi yao ni kumkosoa Mbowe tu au kutoa mijadala yenye kuchonganisha ndani ya chama kisambaratike. Je, wanatumiwa au wameishiwa hoja au wanasimama upande upi hasa?
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Clatous Chama kumpelekwa kwa mkopo klabu ya Fc lupopo

    Hii ni kutokana na kutoelewana na Meneja wa Chama Mkataba unamtaka aanze kila mechi kama atakuwa fit .
  3. JamiiForums Tanzania Namshauri Tundu A. Lissu; ahame chadema Ila tu Kama anavitu anavipata kwa sababu moja tu ya kuwa chadema aaendelee kuwepo. Hii ni aibu

    Chadema ni chama Cha Mbowe hili lipo wazi. Hizi kauli hapa chini ni ishara tosha kuwa kiti kinalindwa haswa! Chadema ni cha Mbowe na Lissu, hivyo kama chama kikiyumba ni Lissu ndiye kayumbisha na siyo mtu mwingine, na mimi Yericko ndiye nimeshikilia mfumo wa kuendesha chama” “Mbowe ni Alfa na...
  4. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza, Watawala wanatuaminisha kuwa CHADEMA ndiyo chama tawala Tanzania.

    Askofu ambaye kimsingi hanaga uoga wala kujipendekeza ametema nyongo. Amesema anawashangaa watawala kuiogopa sana CHADEMA kwa kuwakamata wanachama na viongozi wa Chama hicho ambao walikuwa wanatekeleza hakim zao kikatiba. UVCCM walifanya au walishiriki hiyo kongamano na hata ACT Wazalendo pia...
  5. JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Bagonza: Kuna watu wanataka kuirudisha nchini kwenye mfumo wa Chama kimoja

    "Ninaona na ninaamini mchakato ule wa maridhiano umetekwa, siwezi kusema Rais ndiye ameuteka kwa sababu yeye ndiye aliyeuanzisha ila ninahisi kuna nguvu nyingine tusiyoiona ambayo imeteka mchakato ule wa maridhiano na kutaka kulirudisha taifa letu katika sintofamu"- Dkt. Bagonza. Dkt. Benson...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Yanayoipata chadema sasa yangekuwa na impact kubwa sana endapo tungekuwa na uongozi wa juu wa chama damu changa.

    Najaribu tu kuimagine Heche - mwenyekiti Lissu - makamu Mrema - k/mkuu Mnyika - n/mkuu Halafu eti yatokee yaliyotokea nchi ingekuwa inachemka muda huu.
  7. JamiiForums Tanzania Chama cha wafanyakazi wa magari chawafungulia mashitaka Trump na Elon Musk

    Chama kikubwa cha umoja wa wafanyakazi wa sekta ya uzalishaji magari, ndege na mashine za mashambani wamewafungulia mashitaka Donald Trump na Elon Musk wakilalamika mazungumzo yao ya jana Twitter yalihusisha kauli za kudhalilisha, kutishia na kudhoofisha wafanyakazi wanaogoma kushinikiza...
  8. JamiiForums Tanzania Nadhani kuna haja ya kuwa na Chama cha kutetea haki za wanaume

    Kwa hali ilivyo wanaume tutaendelea kuondoka mapema sana , tunaumia ndani na kufa kimya kimya huku wenzetu wanatetewa kila mahali Ukatili na unyanyasaji upo sana dhidi ya wanaume Kiwepo chama imara cha kulinda haki za wanaume Nawasilisha
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kila kinachotokea kwa CHADEMA kinapaisha umaarufu wa chama hiki, tusonge mbele

    Hiki chama kimebarikiwa sana na ni suala la muda tu kitaingia madarakani. Haitakuwa rahisi ila itatokea. Baba wa Taifa aliwahi kuitabiria CHADEMA makubwa, na hili jambo linaitesa CCM sana. CHADEMA tuendeleze mapambano ya ukombozi wa Mtanzania, haitakuwa rahisi ila tutashinda mwisho wa siku.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mzize avunja ukimya pasi ya Chama, asema picha linakuja

    Mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize amesema ubora wa pasi ya mwisho ya Clatous Chama ulimpa urahisi wa kukwamisha mpira nyavuni. Mzize alifunga bao la nne na la mwisho kwenye ushindi wa mabao 4-1 ilioupata Yanga dhidi ya Azam katika fainali ya Ngao ya Jamii iliyochezwa juzi Jumapili kwenye...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Una lipi la kusema kwa ma agent wa Clautos Chama na Fabrice Ngoma kulalamikia timu zao haziheshimu kipengere cha kuwaanzisha first eleven?

    Kumekuwa na mgongano wa maslahi binafsi ya wachezaji na maslahi ya kitimu ndio yanasababisha hizi kelele, Wachezaji wanaogopa sana kuanzia benchi au / na kupewa muda kidogo sababu mikataba ikiisha ni ngumu kupata timu nzuri lakini kocha anaweka maslahi ya timu kupata ushindi mbele zaidi...
  12. JamiiForums Tanzania CCM ni dhaifu sana. Ni hasara kuongozwa nao

    Watanzania tuna bahati mbaya sana kuongozwa na chama kama CCM. Na bahati nzuri kwa CCM watanzania wengi wanashindwa kuitofautisha CCM na vyombo vya Dola. Lakini hiki chama ni dhaifu Sana na nchi Iko rehani Kwa kuendelea kuwaacha CCM kuwa madarakani.
  13. JamiiForums Tanzania Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita .

    Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita . #ChamaImaranaSSH #KaziIendelee
  14. JamiiForums Tanzania Endapo Tundu Lissu akiamua kuondoka CHADEMA, ni athari zipi zinazoweza kuikumba?

    hivi karibini Tundu Lisu amesikika na kuonekana kukikosoa na kukilaumu chama chake mwenyewe kwa kukituhumu kwa kulea rushwa ambayo imekithiri kwa sasa, licha ya kwamba na yeye ni miongoni mwa waandamizi muhimu katika uongozi wa juu wa Chama hicho.. haijulikani na haijafahamika wazi ni kwanini...
  15. JamiiForums Tanzania Wadau waomba Tundu Lisu & others waanzishe chama kipya!

    Ukizunguka mitandaoni, watu wanaamini Tundu anastahili kuwa katika chama kingine, imagine yeye, mwabukusi na wanasheria wangekuwa na chama, hawatapata kuungwa mkono kweli? au wanaogopa kuongeza kundi la maadui, au wanaogopa watanyimwa usajili? wao si wanasheria, wakinyimwa wanaenda mahakamani.
  16. JamiiForums Tanzania Kama Lissu akiendelea na chokochoko afukuzwe tu, chama ni kikubwa kuliko yeye

    Tunajua Msigwa alienda kumuona Lissu kabla Msigwa kuhama Chadema, kama Lissu anataka kutoka, aende tu kuliko kuanza chokochoko, amfate Msigwa. Chadema ni kubwa kuliko Lissu
  17. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tutegemee muda si mrefu mzee wa victoria akahama chama kisa vipande vya thumni

    Save this post!!!!!! Mzee wa victoria ambaye ni kiongozi wa ile eneo muda si mrefu atahama chama na kwenda kwa wale wenzzetu wa kijani baada ya kununuliwa kwa vipande vya thumni. Save the post!!!! Kinachosubiliwa ni muda tu ufike mheshimiwa tu save the date!!!
  18. JamiiForums Tanzania CCM achaneni na wahuni wapita njia wapeni nafasi wafia chama mmnawakatisha tamaa sana

    CCM ni chama kikubwa na kikongwe hakiwezi kuwa chama cha kitegemea wahamiaji waganga njaa toka upinzani ili kukisemea. Hao no waganga njaa wamekuja kula walivyoyelea jasho wanaccm kindakindaki. Mnawaumiza sana mnapowapuuza na kuwapa majukwaa na vyeo wale waliokuwa wakiwatukana majuzi tu hapo...
  19. JamiiForums Tanzania Chama cha Walimu wajifunze kutoka TLS

    Uchaguzi wa Chama cha Walimu huwa ni Aibu tupu, hebu wajifunze kutoka TLS. HONGERA TLS Hongera Mwabukusi
  20. JamiiForums Tanzania CHAMA LANGU PAMBA JIJI MNACHOENDA KUFANYA NI KUIGAWA VIPANDE VIPANDE TIMU

    Tulikubaliana tukipanda daraja hakuna kuwa na ukaribu wa namna yoyote na timu za kariakoo. cha ajabu uongozi umeenda kuchukua udhamini wa GSM kwenye utengenezaji wa jezi na pia kuwa mdhamini wake mkuu kupitia kinywaji chake kipya cha juice. Tunajua timu nyingi za Tanzania zina hali mbaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…