chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Lissu akiondoka Chadema, hakuna Mwana-Chadema ataondoka kwenye chama kumfuata Lissu

    Kuna mashabiki na wanachama wamekuwa wakitishia kwamba endapo Lissu hatokuwa mwenyekiti wa Chadema basi wataondoka nae kwenye chama. Wanapiga mikwala hiyo ili kushinikiza Mbowe amuachie kiti Lissu au wajumbe waingie hofu kwamba kumchagua jemedari wao the one and only Mbowe itasababisha chama...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Lissu anasema ataweka ukomo wa uongoz. Mbowe anasema hawezi kuachia chama kwenye minyukano. Je, twende na nani?

    Habari wana mageuzi? Nilifuatilia hotuba za magwiji hao wawili wakati wanatangaza nia ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA. Lissu alisema akiwa mwenyekiti Chadema ataweka ukomo wa uongozi Chadema ili kutoa fursa kwa vijana kuchukuwa nafasi ya uongozi. Mbowe yeye slisema hawezi kuachia chama...
  3. JamiiForums Tanzania Yuko wapi aliyekuwa kiungo mshambuliaji hayari wa Simba Chama?

    Wakuu Chama ni mmoja wa viungo washambuliaji hatari wanaotajwa kuwahi kutokea katika historia ya ligi yetu. Huyu mwamba amepotekea wapi? Kipaji chake kilifanya wafau wa michezo na mashabiki wa Simba sc wamuimbe kila uchwao. Je! Nini kimemkuta? Ligi inaelekea mzunguko wa pili sasa hasikiki...
  4. JamiiForums Tanzania KANDA YA PWANI: Mwenyekiti mstaafu wa Kanda hiyo Baraka Mwago amewataka wajumbe wote wa mkutano mkuu wamchague Tundu Lissu ili chama kisife

    Allahmdulillah! Nilipata heshima ya kuhudumu kwenye nafasi mbalimbali za chama chetu kuanzia nyumbani Mkuranga, kisha Uenyekiti wa Mkoa wa Pwani. Niliiongoza Kanda ya Pwani kwa miaka mitano wakati wa mawimbi makali ya mwendazake, na nikahudumu katika Kamati Kuu ya Chama kwa miaka 5. Kwa uzoefu...
  5. JamiiForums Tanzania Ningekuwa Mimi ndio mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama, ningeanza na hili...

    Salaam wana Jamvi.kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kunipa nafasi ya kukutana na nyie hapa Leo .nirudi kwenye mada yangu Mimi ningekua ndie mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa chama ningeanza nayafuatayo. 1.badala ya kuituhumu ,Mimi ningeipongeza kamati kuu kwa kusimamisha kidete ,na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tusisahau no Diarra, no Musonda, no Max, no Chama, no Yao Yao but no problem!

    Ni wachezaji muhimu na mhimili kwenye kikosi cha kwanza lakini awapo kwasababu za majeraha lakini iyo aijafanya timu itetereke bali dhana nzima ya team work inafanya kazi! Soma Pia: Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024 Timu inacheza...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kama michango ya kununua gari tu imemshinda Lissu kuitimiza. Sasa ni vipi atakusanya mamilioni ya pesa kwa ajili ya Uchaguzi na kujenga Chama?

    Ndugu zangu Watanzania, Kujenga chama siyo lelemama,siyo kazi nyepesi wala rahisi wala kazi ya Mzaha mzaha.kujenga chama na kuwafikia wanachama na kutafuta wanachama wapya na kueneza sera ,itikadi ,misimamo na ajenda za chama Ni kazi Ngumu sana. Ni kazi ya jasho na Damu,ni kazi ya kujitoa na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mbowe ashauriwe kupokea simu, nyingi ya hizo zina jumbe zake muhimu kwa mustakabala mwema wa chama!

    Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika. Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena: Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa. Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hawauwawi!" Pia soma...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA ifanye mabadiliko ya katiba kumaliza mnyukano wa kugombea madaraka katika chama

    Katika nchi nyingi za demokrasia halisi uongozi wa vyama vya siasa huwa unabadilishwa punde tu baada ya matokeo ya uchaguzi, hicho ndicho kipindi kizuri cha kufanya tathmini ya uongozi kutokana na performance baada ya uchaguzi. CHADEMA kuwa inafanya mabadiliko ya uongozi mwaka mmoja kabla ya...
  10. 4

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwenu wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA kwa uchaguzi ndani ya chama , ole wenu

    Wakuu JF amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yenu ,popote mlipo ,niwatakie kheli ya mwaka mpya popote mlipo. Husika na mada tajwa hapo juu. Kuleni pesa ikitokea mtu kajipendekeza kwenu na vijisenti vyake ila kumbuka mmetumwa na wanachama ambao wamewapa dhamana kubwa ya kiuongozi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CDM January 2025 ni kuchagua kukinusuru au kukiua kabisa chama.

    Uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya Taifa hasa Mwenyekiti ni kwenda kusaini hati ya kifo au uhai wa chama. Kumchagua FAM kutaleta anguko kubwa sana la chama. Tatizo kubwa ni kwamba, FAM hajali chochote iwe chama kufa au kupona kwake si hoja ya msingi bali kubaki madarakani ndo hoja ya msingi kwake...
  12. JamiiForums Tanzania Aliyemshauri Mbowe agombee alidhamiria kumdhalilisha na kukiua Chama

    Kwema Kabisa! Mbowe itampasa amkumbuke aliyemshauri aendelee kugombea. Familia yake ilimshauri apumzike, kwa mujibu wa maelezo yake. Ni kwa sababu inampenda na kutaka heshima yake idumu. Lakini kuna kundi jingine ambalo likamshauri vibaya agombee ili adhalilishwe, heshima yake kushuka, na...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania John Mnyika, Kigaiya na Lema mko wapi, chama kina pasuka vipande?

    Katibu Mkuu John Mnyika, Kigaiya, Lema na Mrema mko wapi chama kinapasuka. Mnawaangalia Viongozi waandamizi wakiumbuana hadharani!!!! Mnyika umekaa kimya!!kulikoni? Au ndio tunagawana mbao? Tunajua mwenyekiti kafeli, mwambieni ukweli, aache kukipasua chama.
  14. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekanaje mapinduzi kufanyika ndani ya Chama cha siasa ?

    Sijajua hili linawezekana vipi , Ofisi ya Msajili ina watambua watu fulani kama viongozi halali . Inawezekana vipi mtu mwingine kujitangaza kiongozi? Kwani haiwezekani kwa Ofisi ya msajili kuagiza hao watu wanataka fanya mapinduzi kinyume na taaratibu za chama husika kukamatwa Au na hili...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanaamini CHADEMA ni chama cha Wachagga ndio maana wanamuunga Lisu kuondoa mzizi wa fitna

    Mpo salama! Watanzania wanaamini Wachagga ni watu wote wanaotokea Kilimanjaro na Arusha bila kujali mikoa hiyo inamakabila mengine kama Wapare, Wameru, Wambulu, Wamasai, Wachagga na Wasambaa kidogo. Sio ajabu hata wakisikia John Mnyika, au Halina Mdee licha ya kuwa ni Wapare hao ila Watanzania...
  16. JamiiForums Tanzania Anayezijua hoja za Mbowe zilizompelekea kugombea tena nafasi ya uwenyekiti wa chama aziweke hapa tuzijue

    Wakuu Salaam sana! Nimejaribu kufuatilia hotuba ( mara tatu) ya mwenyekiti wa CHADEMA, ndg FAM wakati akitangaza nia yake ya kugombea tena katika nafasi ya uenyekiti CHADEMA TAIFA , lakini hakuelezea ni hoja zipi zimemsukuma agombee tena nafasi hiya zaidi ya kutoa historia alikokitoa chama ...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe yupo kimya anatafuta kura, Lissu yupo bize mitandaoni kukilaumu chama

    The difference is clear. Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama mpiga kelele. As a result ukishindwa unaanza kusingizia umeibiwa kura kumbe muda mwingi uliutumia kutoa lawama kwa mshindani wako...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini FAM alibadilisha Katiba ya Chama Mwaka 2006 ili atawale milele na Kuondoa ibara ya 6.3.2 (C)

    Mwaka 2006, Katiba ya Chadema ilifanya marekebisho yaliyoruhusu wanachama kugombea uongozi bila ukomo wakati awali, waliruhusiwa kugombea kwa vipindi viwili vya miaka mitano. Tukikumbuka Mabadiliko hayo Hayakuwepo Kipindi cha Mtei au Bob Nyanga Makani.. Tujikumbushe Kidogo... Jumatatu, Juni...
  19. JamiiForums Tanzania Namtetea Mbowe, Chadema, Hakuna Ubaya Wowote, Mtu, Chama Kusaidiwa na Kupokea Fedha Zozote Toka Popote na Kwa Yeyote!. Sio Kila Pesa ni Rushwa!

    Wanabodi Merry Chritmas Mjadala wa tuhuma za rushwa unaovurumishwa na Tundu Lissu, umezidi kushika kasi, tuhuma zilianzia majukwaani, zikahamia mitandaoni sasa zinaendelea kule Club House, spaces na X- tweeter. Hivyo najitolea kumtetea Mbowe, Chadema, wengine wote wanaotuhumiwa kwa tuhuma za...
  20. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naishauri CHADEMA imchukulie Lissu hatua kali sana za kinidhamu na kumpa onyo kali kwa kukichafua Chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake

    Ndugu zangu Watanzania, Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda. Tena kama kwenye chama changu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…