chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CCM wameshindwa kufanya mabadiliko ya katiba ya nchi, Wameamua kubadili katiba ya chama ili kumbeba mgombea aliyepitiahwa kwa njia HARAMU.

    Mimi nampenda sana rais Samia Suluhu Hassan lakini anachotaka kukifanya ni UDIKTETA. Tafadhali sana ndugu Samia elewa kwamba tumekuchoka, nenda ukapumzike tu kizimkazi wakati sisi tunawashughulikia matapeli wa bandarini, KIA na bonde la Ngorongoro.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wana CCM tutegemee nini marekebisho ya katiba ya chama?

    Kwa ufupi kabisa niseme: Ngoja tuone. Kumbe lolote linawezekana.
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Kiongozi huyu ni hatari kwa mustakabali wa chama na Taifa!

    a. Aliingia kupitia mtandao b. Akamtema namba mbili wake katika kipindi alichokuwa anahitajika zaidi c. Uchaguzi uliofuata akatumia familia kufanya kampeni nje ya mfumo wa chama. d. Alitumia muda mwingi nje ya nchi e. Akamuaandaa shemeji yake kuwa kumrithi wa nafasi yake. Alimanusra chama...
  4. JamiiForums Tanzania CCM imejidhihirisha ni Chama cha kidikteta!

    Ni wazi Chama cha Mapinduzi, CCM kipo katika sintofahamu kubwa kutokana na viongozi wao wakishirikiana na machawa wao kuvunja Katiba yao! Kelele zimekuwa nyingi hadi Chama kimeshidwa kuhimili na sasa viongozi wake madikteta wanataka kuwapa wanachama nusu mkate 🤣! Eti wanaitisha Mkutano Mkuu wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa chama umevunjwa, Je, itakuwaje kwa utaratibu wa Nchi?

    Ikiwa anaweza kuvunja utaratibu wa chama chake mchana kweupe na wanachama wake wengi wakakaa kimya, Je, ataweza kuheshimu na kufuata utaratibu wa Nchi?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Taja chama cha siasa duniani ambacho hakina aibu na kinafanya siasa za kitoto Karne hii ambayo watu wanaelimu kubwa ya uraia, angalizo usitukane ,

    Wakuu Leo taja Tu jina la chama cha siasa ambacho kiko popote duniani kinachoongoza nchi kwa akili za kitoto wakati kinaowaongoza wanaufahamu mkubwa kwa mambo kuliko kawaida, Taja Tu chama wala usitukane , taja chama na nchi kinayopatikana
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Hatutapiga magoti kwa mtu yeyote, kama wewe ni kiongozi wa umma lazima ukubali ukosolewe

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama hicho hakiogopi vitisho, ukandamizaji wala hila dhidi ya wapinzani, na kitaendelea kusimama kidete kutetea haki, uhuru na maisha ya Watanzania wote Akizungumza Julai 23, 2025, wakati wa kutoa...
  8. JamiiForums Tanzania Itakuwa ni fedheha kubwa sana kwa chama kuanza upya mchakato wa mgombea ni aibu na ishara ya kushindwa

    Kuna msemo unasema ukiona unapotea njia usiendelee mbele upotee zaidi , ama heri urudi nyuma ukaanze upya ama usimame ungojee huwenda utakutana na mtu akuelekeze njia sahihi. Kilichotokea katika mchakato ule hesabu hazikupigwa vizuri na sasa wamefika njia panda ambapo haijulikani waende kushoto...
  9. JamiiForums Tanzania Samia mrudishe Khery James kwenye Chama, atakusaidia kipindi hiki

    Moja ya kitu ambacho kinahitajika kwenye kufanikiwa kwa kila taasisi ni kumuweka mtu anapostahiki, kumpa mtu sifa anayostahiki lakini kumpa majukumu mtu anayostahiki zaidi eneo alilobora zaidi. Tumekuwa na tabia ya kumpa mtu nafasi kulingana na ukaribu wetu na sio ubora wake kwenye jukumu...
  10. JamiiForums Tanzania Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katika ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda

    Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katiba ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda. Nilimsikia samia anasema katiba ni kajitabu tu baada ya kupata madaraka kupitia katiba hiyo hiyo. Ni wazi katiba haina maana tena hapana tunaitaji mabadiliko. Tunahitaji...
  11. JamiiForums Tanzania Ni nani alikaua kale kapambio ka "Chama chetu cha Mapinduzi chajenga nchi"?

    Enzi hizo tulijirusha na hako kapambio hata tukiwa bar tunakunywa bia na kusakata dance... Ila kalipotea ghafla sijui ni nani aliyekaua.. Nauliza sasa ni nani aliyekaua hako kawimbo ka Nyerere aah Nyerere ajenga nchi?
  12. JamiiForums Tanzania CCM tusiruhusu majina matatu Urais, sio utamaduni wa Chama

    Ili kutunza Amani yetu ni vizuri likabaki jina moja tu. NB: Mboe aende CHAUMWA apitishwe chap kuwa mgombea Urais kuzuga wapiga Kura na wafadhili.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Majina yasiyopungua matatu vs majina yasiyozidi matatu, huyu alitaka kusemaje? Je Katiba ya chama haikuvunjwa?

    Wapendwa wana jukwaa, ni matumaini yangu mko salama. Lengo la uzi huu ni kutaka kueleweshwa endapo katiba ya chama haikuvunjwa kwa mujibu wa clip fupi hapa chini
  14. L

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kumpenda Lusinde lakini kama alifanya vile, alisaidia sana Chama chetu

    Kumbe jamaa aliwahi kuwa mkweli kusimamia utaratibu akatoswa mbaya. Huwa wanasema huyu jamaa sio msomi lakini kwa hilo amekuwa zaidi ya wasomi. Viva Lusinde Viva! Viva Kibajaj Viva!
  15. JamiiForums Tanzania NUKUU: Vikao vianze tu hivyo hivyo, hata kama hayupo, amesusa au hajulikani alipo!

    "Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa shtuma za uvunjifu wa katiba ya chama wazi wazi ya CCM mwenyekiti alipaswa kujiuzuru

    Kwa shtuma za uvunjifu wa katiba ya chama wazi wazi ya CCM mwenyekiti alipaswa kujiuzuru. Kuna uvunjifu mkubwa wa katiba ya CCM hasa kipindi hiki ikiwemo mchakato wa wagombeaji kupatikana kinyume cha katiba. kama mtu atavunja katiba ya chama basi atavunja katiba ya nchi hatoweza kuheshimu ni...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Sheria yetu ya uchaguzi, inaruhusu mgombea uraisi kugombea bila kuwa na wadhamini wa ndani ya chama chake?

    Naomba wanasheria na wadau wengine wa mambo ya uchaguzi watusaidie kutupa ufafanuzi juu ya hiili. Pia, nini maana na wajibu wa kisheria wa wanaoitwa wadhamini ili tuone implication yake katika sheria na zoezi zima la uchaguzi wa Raisi. Na je, kisheria, kuna uhusiano gani kati ya sheria ya...
  18. JamiiForums Tanzania Katiba ijayo isiruhusu mwenyekiti/ kiongozi mkuu wa chama cha siasa kuwania nafasi ya uraisi ili kuleta mizania katika uongozi wa Taifa

    Katika muktadha wa uongozi wa Taifa letu la Tanzania, kumekuwepo na mijadala mingi kuhusu namna bora ya kuhakikisha uongozi unaendeshwa kwa misingi ya uwazi, demokrasia, na uwajibikaji. Miongoni mwa hoja zenye uzito mkubwa ni ile ya kutenganisha madaraka ya chama na dola. Nikiwa Mtanzania...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Hatutoi Fomu za urais. Hamtaki hameni chama

    Na bado! Kama mlidhania tutarudi nyuma, mtazimika! Fomu hatutaziwachia, na hakuna cha kufanya. Hamtaki? Hamaneni chama! Hii nchi ni ya kidemokrasia, sio lazima mkaye CCM. Hamaneni! Hatutawazuia, lakini fomu za urais, hatutoi! Na bado
  20. JamiiForums Tanzania Maandamano rasmi Kwa wananchi haihusiani na chama chochote ni sisi wananchi tumeamua

    Kama sio Leo Ni lini twendeni ikulu Dodoma hamna kusubiri Hawa watawala watatumaliza tarehe 28 tupo ikulu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…