Ni wazi sura na taswira ya Chadema kwa sasa inajionyesha wazi kwamba ni kichaka cha mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magaharibi, wanaokusudia kuvuruga umoja, amani na mshikamano miongoni mwa waTanzania kwa maslahi ya hao mabwenyenye ya magaharibi wanaowafadhili chadema na kuwafadhili...
Maajabu mwenyekiti achaguliwe na chama alafu msajiri aje amtengue kwani mwenyekiti wa chama cha siasa aliteuliwa na msajiri?
Kwani msajiri ndio alimpa kazi mwenyekiti wa chama cha siasa haya mambo yalianza kama utani baada ya kuanza kuchezea chadema na ACT kwa kutumia ofisi ya msajiri sahivi...
Mapinduzi makubwa ya Chama mapinduzi ni kuacha Genge la wauaji na watekaji Kwa wananchi
Hakuna maendeleo yanayozidi haki ya kuishi Kwa raia hata mmoja
Hata wakoloni walileta maendeleo makubwa sana
Kabla ya ukoloni haikuwepo nchi iliyoitwa Tanganyika Wala Tanzania
Kabla ya ukoloni haikuwepo...
Chadema ndicho chama pekee kikubwa kuliko vyote ambacho kina support ya wananchi kwa mapemzi ya kutoka moyoni.
CCM iko kwa sababu ya polisi ma watu kutafuta RIZIKI. CCM ikitoka madarakani hutamuona mtu kule.
CHADEMA IPO BILA RUZUKU, BILA BIASHARA LAKINI WATU WANAIKIMBILIA NA KUIAMINI NA...
VIONGOZI watatu wa Umoja wa Bodaboda Jiji la Arusha (UBOJA) akiwemo Mwenyekiti wao Costantine Okelo, Katibu Hakimu Msemo, na mwingine aliyetajwa kwa jina moja la Hemedi maarufu kama Osama, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha kwa zaidi ya wiki moja wakikabiliwa na tuhuma za kula fedha...
Huu ni uchunguzi wangu huru Kwa sasa Kwa kuangalia Ratio kati ya Idadi ya watu kwenye nchi dhidi ya chama Cha siasa kinachoongozwa kwa kupendwa.
Sasa na wewe uko huru kufanya utafiti wako ila ukweli CCM is the most current Loved Political Party in the World.
Ccm ni kama yule malaika mkuu aitwae Lucifer Ambae alilewa sifa akatamani kuwa mungu !! Akatupwa na Sasa tunae mpaka ndani ya nyumba takatifu za ibada !! Ccm ni wakongwe wa hizi mambo ndani ya vyama vya upinzani vyote wanapeleka watu wao na wengine ni usalama wa taifa wanakuja kama raia...
“Chama cha siasa si mali binafsi ya mtu, bali ni mali ya umma kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sheria ya Vyama vya Siasa. Hivyo kinapaswa kuendeshwa kidemokrasia, kwa uwazi na kwa maslahi ya wananchi wote.” -Alloyce, P.R.
Hebu wananzengo tuongezeane uelewa kwenye nyanja ya football:
Je, kuna kifungu kwenye katiba ya FIFA, CAF, CECAFA au TFF kinachokataza chama cha siasa kumiliki timu ya mpira wa miguu?
Je, FIFA inakataza chama cha siasa kusaidia kifedha au usajili timu ya mpira wa miguu?
je, FIFA na TFF katiba...
Wakuu
Leo taja Tu jina la chama cha siasa ambacho kiko popote duniani kinachoongoza nchi kwa akili za kitoto wakati kinaowaongoza wanaufahamu mkubwa kwa mambo kuliko kawaida,
Taja Tu chama wala usitukane , taja chama na nchi kinayopatikana
Katika muktadha wa uongozi wa Taifa letu la Tanzania, kumekuwepo na mijadala mingi kuhusu namna bora ya kuhakikisha uongozi unaendeshwa kwa misingi ya uwazi, demokrasia, na uwajibikaji. Miongoni mwa hoja zenye uzito mkubwa ni ile ya kutenganisha madaraka ya chama na dola.
Nikiwa Mtanzania...
Elon Musk alitishia kuanzisha Chama Cha Siasa endapo muswada wa BBB utakaoongeza gharama za maisha utapitishwa na Bunge
Je Unadhani kuna Siku Rostam Aziz anaweza kuanzisha Chama Cha Siasa?
Nawatakia Sabato njema 🇹🇿🇮🇱🙏
===
Elon Musk has started multiple successful companies that have...
Habari Tanzania !
Hivi vyama vya siasa wana haki ya kuanzisha miradi ya kiuchumi - jamii kama chanzo cha mapato kwa lengo la kujiendesha?
Natamani tuwapime kwa Uwekezaji ndani ya vyama vyao ndio sisi wananchi tuwe tunawapima uwezo wao kujiendesha na uwezo wa kiuongozi.
Asante.
"Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali kuhusu mienendo ya vyama vya siasa, chama cha siasa hufikia mwisho wa uhai wake, 'kifo cha mende' si kwa kupigwa marufuku rasmi au kushindwa kwenye sanduku la kura, bali kinapopotoka kimaadili na kisera kwa kujikita katika ulaghai na siasa za porojo.
Dalili kuu...
Baada ya andiko la Mwanachama wa JamiiForums.com lililokuwa na kichwa cha Habari ~ John Shibuda alinunua chama cha Siasa cha Oscer Kambona kisha akakiuza Unguja kwa Wapemba, kwenye Siasa lolote linawezekana Mbowe siyo wa kwanza!
Shibuda mwenyewe Amejibu kuhusu andiko hilo kwa kuandika haya...
Katika zama hizi za dunia kiganjani hata yule mtu aliyekijijini kwanza anataka kujua kipi kinaendelea mitandaoni.
Kupitia mitandao ya kijamii chama cha siasa kina uwezo wa kupata uungwaji mkono wa hali ya juu kwa kila rika, yaani vijana , wazee, watoto n.k.
Kwa zama hizi kiongozi au chama cha...
Viongozi na wanachama wa CHADEMA kila ukiwasikiliza kwenye mitandao na mikutano ya kisiasa ni lazima wataje CHAUMA ua G55.
Niwaambie CHADEMA adui wenu ni CCM chama kilicho na dola. Kinyume na hapo hamtaweza kukiondoa madarakani CCM kwa sera mbovu na mikakati mibovu mliyonayo.
Kelele nyingi...
Katika mazingira ya kisiasa ya sasa, ni muhimu kutambua kwamba chama cha siasa kinapokuwa na nguvu kubwa katika kuendesha serikali, kuna hatari kubwa inayoweza kutokea.
Muundo wa chama na muundo wa serikali unapaswa kuwa tofauti ili kuhakikisha kwamba kila moja inafanya kazi kwa ufanisi bila...
Upendo na huruma imenijaa kama mTanzania walau kujua maendeleo ya afya zao baada ya masaibu waliyokumbana nayo jana.
Hata hivyo, je,
wale ni wanachadema kweli au ni kikundi cha vibaka tu na wezi waliokusudia kupora watu maeneo ya mahakamani?
Maana ukweli ni kwamba ukumbi wa mahakama ya kisutu...