chama cha mapinduzi

  1. JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi kimepoteza wabunge watatu kwa muda mfupi kuanzia Disemba 2025 hadi February 2026

    Chama cha mapinduzi kimepoteza wabunge watatu kwa muda mfupi kuanzia disemba 2025 mpaka February 2026 Mbunge Jenista Mhagama alifariki 11 Disemba 2025 Mbunge Halima Nassor alifariki 18 January 2026. Munde Tambwe alifariki tarehe 3 February 2026 Pole ziende kwa rais na chama chake.
  2. JamiiForums Tanzania The 19 Goals and Objectives of Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) is Tanzania’s ruling political party, founded on the principles of nationalism, unity, social justice, and democratic governance. Its goals and objectives reflect the historical struggles of Tanzania and its vision for a just, prosperous, and united nation. The...
  3. JamiiForums Tanzania Ukisikia habari ya Kambona, ukimuangalia Warioba, ukiona walivyofanyiwa na Chama cha Mapinduzi na Serikali zake utaelewa kwanini Tanzania ni masikini

    Mkwamo wa Tanzania tangu kuanzishwa kwake umetokana na sababu kuu mbili. 1. Kuwapa kipaumbele zaidi wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili. 2. Rushwa na Ubinafsi. Kuhusu kuwapa kipaumbele wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili. Kabla ya kifo chake. Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kuandamana kupinga furaha za watanzania wanapofariki viongozi kutoka CCM

    Badala ya kutoa taarifa, sasa Jeshi la Polisi mmejipa mamlaka ya kuombwa ruhusa ya kuandamana. Haya, mimi Sifi Leo sifurahishwi na raha na furaha wanayokuwa nayo vijana wa Kitanzania pale anapokufa kiongozi yeyote kutoka Chama Cha Mapinduzi. Hili ni doa kubwa mno katika taifa. Maandamano...
  5. JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi, mnaogopa MAPINDUZI? Mnatuonaje watanzania?

    Nilitarajia chama hiki cha MAPINDUZI kutokuwa na mashaka na Mapinduzi kwani ndiyo asili ya chama hiki. Inakuwaje panic mode imekuwa activated kwa kiwango kikubwa namna hii? Mna povu sana kwa sasa, what went wrong with this “revolutionary” party?
  6. JamiiForums Tanzania Kwaheri ccm kwaheri Chama Cha Mapinduzi

    Ukweli usemwe ccm imefikia mwisho. 1977-2025. Huwezi kushindana na wakati.
  7. JamiiForums Tanzania Watu wote wenyeakili wanajua; Mipango yao ime fail, CCM inazidi kuwa imara, Kidumu Chama cha Mapinduzi (Jipangeni tena for 25 years)

    Watu wanaotumia mihemko wataendelea kupiga kelele. Lakini ukweli ni kwamba mipango yao waliyoisuka kwa miaka mingi imezimwa kama mshumaa. Wao wanapanga CCM inapanga. CCM imevuka vikwazo vingi mno, imepita kwenye milima na kwenye mabonde mazito. Imepenya majaribio mengi. Walitumia maafisa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi jijini Dodoma, Jumatano, Novemba 5, 2025.
  9. JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi (CCM) ni kati ya vyama 10 vikubwa duniani - Fahari ya Tanzania na Afrika; Je, mnalijua hili?

    UTANGULIZI Je, unajua kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa vyama vya kisiasa vikubwa duniani? Wengi hawajui, lakini Chama cha Mapinduzi (CCM) chama tawala cha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni miongoni mwa vyama vikubwa zaidi duniani kwa idadi ya wanachama. Hii ni heshima kubwa...
  10. JamiiForums Tanzania Tamaa ya madaraka ya Chama cha Mapinduzi imeangamiza Vijana wetu

    GT Tamaa ya madaraka.ni kitu mbaya sana. Nawashangaa sana hawa wanaomwita Samia kuwa ni rais. Binafsi simtambui hadi mwisho wa dunia Unajua kwamba. 1. Lissu yupo gerezani kwa sababu watu hawataki kuuachia madaraka? 2. Wajua kwamba CHADEMA inateseka kisa watu hawataki kuachia madaraka? 3...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi kuleta mradi wa Big Z kuongeza maduka ya kisasa kwa wafanyabiashara Zanzibar

    Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuleta Mradi mkubwa wa Big Z ambao utahusisha ujenzi wa maduka ya kisasa pamoja na uimarishaji wa barabara katika maeneo ya Mjini Dkt Mwinyi ameeleza hayo wakati akizungumza na wafanyabiashara...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania mpya: Chama cha Mapinduzi (CCM) kifutiwe usajili Tanzania

    Tumefika hapa tulipo ni kwasababu ya CCM. Chama hichi kimeshapoteza misingi yake na dira, viongozi wanauana kwa sumu, utekaji na mauaji, ukandamizaji wa haki, ufisadi wa kufuru, yaani yale yaliopo kwenye kitabu cha msajili wa vyama kuhusu hichi chama yamekiukwa na inapaswa kufutiwa usajili pale...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

    https://www.youtube.com/watch?v=W05IF22nAfI Kupitia YouTube, Kapteni Tesha anaanza kwa kusema.. "Habari za wakati huu watanzania Kwa majina naitwa K Tesha afisa kutoka jeshi la wananchi wa Tanzania katika kikosi [00:03] cha Saki kwa maana kwamba ni shule ya anga ya kijeshi Awali ya yote...
  14. JamiiForums Tanzania Wanajeshi kutojihusisha na siasa ni pale wanapounga mkono vyama vya Upinzani? Mwanajeshi Mkufunzi kusema anakishukuru chama chake CCM ni sawa?

    Nimeona video inayomuonesha mkufunzi mmoja wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) akizungumza mwaka 2024, ambapo anasikika akikipongeza chama chake, Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa kile alichokiita “kazi nzuri,” na hata kumpongeza kiongozi wa chama hicho. Kauli kama hii mara chache...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi: Nitaifanya Tumbatu kuwa Wilaya

    Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewaahidi wananchi wa kisiwa cha Tumbatu katika miaka mitano ijayo atahakikisha anaifanya kisiwa hicho kuwa wilaya. Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza katika mkutano wa kampeni...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi aahidi kuongeza barabara na skuli za ghorofa pangawe - Zanzibar

    Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuimarisha miundombinu ya barabara na sekta ya elimu ili kuleta maendeleo makubwa Unguja na Pemba. Akizungumza na wananchi wa Jimbo la Pangawe, Mkoa wa Mjini Magharibi, Dkt. Mwinyi amesema serikali...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Nape: Anaehoji utu wa Rais Samia anajitoa ufahamu

    Mgombea Ubunge katika Jimbo la Mtama mkoani Lindi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amesema wanaohoji utu wa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan anatakiwa kupingwa kwani amefanya mengi makubwa ikiwemo kumimina...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Haji Manara: Tuombee Mvua isinyeshe Oktoba 29, 2025 wasipate sababu, tukamchague Rais Samia

    Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Haji Sunday Manara, ametoa wito kwa wanachama na wafuasi wa chama hicho kuombea mvua isinyeshe tarehe 29 Oktoba, 2025 siku ya Uchaguzi Mkuu nchini ili kuhakikisha kila Mtanzania anashiriki kikamilifu katika zoezi la kupiga...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Tutalipa fidia zote, Serikali ya Chama cha Mapinduzi haidhulumu mtu tutakuja kulipa

    Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kigoma Mjini leo Septemba 14, 2025 akiendelea na kampeni za CCM amewahakikishia wananchi kuwa katika miradi yote iliyoanzishwa na kutekelezwa na serikali kama kuna maeneo ya wananchi...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Huwezi sikia mtu wa CCM akisema tukiwashe kwa fujo, wakisema tukiwashe ni King'amuzi cha Azam

    Mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, akiendelea na kampeni Kasulu Mjini, Kigoma leo Septemba 13, 2025), amesema chama chake hakina utamaduni wa vurugu. "Humsikii Mtu kwenye Chma Cha Mapinduzi (CCM), anasema tukiwashe, wakisema tukiwashe ni kile King'amuzi cha Azam, lakini sio tukiwashe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…