chaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    Hotuba hii ya Nyerere, hakika alikuwa mdau aliyependa mabadiliko ya Sheria Mbovu kwenye chaguzi, angekuwepo leo angeihubiri 'No reforms No election'

    Wakuu Hii ni sehemu ya hotuba ya baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere aliyoitoa siku ya wafanyakazi Duniani Mei1, 1995 Mjini Mbeya. Pengine angekuwepo leo angesema 'No reforms No election' === Hoja ya kuruhusu wagombea binafsi Nataka kusema kauli ya mwisho kuhusu sheria ya uchaguzi ilivyo sasa...
  2. Mlalamikaji daily

    Kwanini CCM ilishinda, inashinda na itashinda Chaguzi zijazo zote!

    Wakuu hizi ni sababu kadhaa za kuaminika na zimefanyiwa kazi kwanini CCM watashinda kila wakati 1. Aina ya wapiga kura. Hii ni sababu mojawapo, vijana wengi na wasomi ambao pengine ndio wangeweza kuitoa CCM madarakani sio Wapiga kura!! Kwahiyo CCM ina mtaji wa watu wengi hususani wazee na...
  3. technically

    Ushauri: Tuunganishe nguvu EAC tuwaondoe kwa chaguzi Marais wote madikteta

    Tanzania- full dikteta Kenya - full dikteta Uganda - full dikteta Rwanda- full dikteta Burundi- full dikteta Kongo-full dikteta Mozambique-full dikteta Tunazidiwa na nchi Kama Zambia Vijana wa East Africa tuamke turudishe nchi zetu kwenye utawala wa Sheria Haki Uwajibikaji Uwazi Na kukomesha...
  4. B

    Kwanini CCM inatumia pesa nyingi sana kwenye chaguzi wakati wananchi wake ni maskini sana, dawa hospitalini hakuna, madawati hakuna na ajira hazipo?

    Niende moja kwa moja kwenye mada Fedha za CCM zinatumika zaidi na zaidi kwenye uchaguzi mkuu 1. Ina lipa zaidi ya TSH 5B kununua wapinzani(Kuna tetesi kuwa G55 wamepewa fedha za kutosha ) 2. Ina lipa zaidi ya tsh 1B kulipa wasanii(Kwenye kampeni zao zote hata sizizo na ushawishi na ulazima...
  5. Tlaatlaah

    Uongozi mpya wa CHADEMA utawadanganya vipi wananchi kwamba bado haijafa hali ya kua ni wazi haina sifa wala vigezo vya kisheria kushiriki chaguzi?

    Ni wazi wanachadema wengi mno watajiengua Chadema na kujiunga na vyama vingine vya kisiasa nchini kwakua Chadema haina tena sifa za kua chama cha siasa kinachoweza kuvutia wanachama zaidi, kwani kimejikita zaidi kuomba kuchangiwa pesa za matumizi ya viongozi na kujiondoa kabisa kwenye michakato...
  6. Mshana Jr

    PreGE2025 CHADEMA haitoweza kushiriki uchaguzi ndani ya miaka mitano ikiwemo wa mwaka huu

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima amesema Chadema ambayo haikusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, haitashiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu na chaguzi zote ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano. Kanuni hizo...
  7. kavulata

    Je, chaguzi zetu ziko sawa?.

    Mijadala vyuo vikuu imetoweka, vyuo vikuu vyetu sasa ni sehemu ya kuzalisha vibarua na machawa badala ya fikra. Mhitimu akipewa nafasi ya aina yoyote iwe kazi, uongozi hata ubunge yeye kwake ni kibarua kwaajili ya kulea wanawe tu basi. Hivyo kazi yake itakuwa kusifu, kusifu, kusifu na kujishusha...
  8. kavulata

    Je, chaguzi zetu ziko sawa?.

    Mijadala vyuo vikuu imetoweka, vyuo vikuu vyetu sasa ni sehemu ya kuzalisha vibarua na machawa badala ya fikra. Mhitimu akipewa nafasi ya aina yoyote iwe kazi, uongozi hata ubunge yeye kwake ni kibarua kwaajili ya kulea wanawe tu basi. Hivyo kazi yake itakuwa kusifu, kusifu, kusifu na kujishusha...
  9. Crocodiletooth

    Hii ni April, muda ni mchache mno, katika kufanya maboresho ya kanuni ya chaguzi zetu.

    Kilichobaki ni miezi mitano kabla ya uchaguzi, ni busara kwa wakati uliopo chadema ikajihusisha zaidi na kujipanga jinsi gani itapata majimbo kuliko kuutumia zaidi muda wao katika shughuli za kiuana harakati, za kina maria sarungi, na mchungaji asiye na kanisa.
  10. JanguKamaJangu

    Profesa Anna Tibaijuka: Mgombea Mbinafsi aruhusiwe katika Chaguzi za Tanzania

    Akigusia siasa nchini Tanzania, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka anasema mfumo wetu kwa sasa unatambua wagombea kutokana na vyama vyao ni wakati sasa mfumo uruhusu wagombea binafsi Kuhusu sakata la machafuko nchini Congo Profesa, Anna Kajumulo Tibaijuka anasema Tatizo ni serikali ya nchini...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Stephen Wasira: Wanaogawa hela nawajua, Wapinzani watafaidika kama chaguzi zetu zitakuwa za Rushwa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) bara, Stephen Wasira, amewataka wanachama wa CCM katika wilaya za Karagwe na Kyerwa kupunguza matumizi ya fedha katika michakato ya uchaguzi wa ndani ya chama. Akizungumza na wanachama wa CCM siku ya Jumapili mkoani Kagera, Wasira amekemea vikali...
  12. Mkunazi Njiwa

    Athari za makundi ndani ya CHADEMA ,ukata ,katiba mbovu inayoelekeza chaguzi zao kufanyika mwaka wa uchaguzi mkuu wa nchi wapelekea "No reform.."

    CCM kuwa MBELE ya wakati kumewafanya CHADEMA kutapatapa na kuja na ajenda mfu ya "no reform no elections"... Katika hotuba yake katibu mkuu John Mnyika alisoma azimio lako la kubadilisha tarehe ya uchaguzi mkuu ndani ya chama kwa kusema kunawafanya washindwe kujipanga vizuri kushindana na CCM...
  13. K

    PreGE2025 Tusikubali pesa itumike kwenye chaguzi ambazo tunajua kura zetu hazina maana

    Tusikubali kama nchi wakati ambao tuna upungufu mkubwa wa pesa kwenye afya hasa wakati huu ambao USAID imefutwa tuende kutumia pesa na kufanya chaguzi ambazo tunajua kabisa ni fake. Pesa hiyo itumike kuwasaidia wagojwa wa ukimwi ili tukoe maisha ya watu badala ya kufanya zoezi ambalo linaenda...
  14. H

    Ni wakati sasa wajiriwa wasiruhusiwe kugombea ktk chaguzi za kisiasa

    Habarini, Ni kitu cha kushangaza sana unamkuta daktari,mwalimu,injinia,wafanyabiasharan k walio katika ajira zao serikalini au binafsi na wanaukwasi wa kutosha kwenda kugombea majimboni kwa lengo la kutaka tena ulaji. Sasa kuna watu wamesomea sayansi ya siasa na hawana ajira mijini na vijijini...
  15. K

    PreGE2025 Inasikitisha: Rais Samia kasahau nchi anafikira chaguzi tu kwasasa?

    Nitawapa mambo mawili muhimu Afya: Pamopja na tatizo kubwa ya mfuko wa bima wa taifa sasa kuna watanzania zaidi ya 1.5M wenye virusi vya ukimwi ambao walikuwa wanategemea USAID. Raisi Trump wa USA kafuta hili shirika na kuzuia pesa. Sasa mpaka leo kama Raisi hajaongea lolote na hakuna mpango...
  16. Doctor Mama Amon

    PreGE2025 Ushauri kwa Mkurugenzi Mkuu wa TISS Kuhusu Kero Sugu ya Uhalifu wa Kiuchaguzi Unaofanywa na Wanasiasa Matapeli Wakati wa Chaguzi tangu 2010 hadi 2024

    I. USULI Usanifu wa hoja makini, kulingana na maandiko ya Crusius na Channell (2015:13-15) hufanyika kwa ajili ya kufanikisha angalau lengo mojawapo kati ya malengo manne yafuatayo: Kutafuta jawabu la swali linaloleta mahangaiko kwenye akili za watu (inquiry), Kufanya ushawishi ili watu...
  17. K

    Faida ya Kikwete ni zipi kwenye uangalizi wake wa chaguzi za nchi nyingine?

    Faida ya Kikwete ni zipi kwenye uangalizi wake wa chaguzi za nchi nyingine? Huyu mzee ni wa ajabu sana akienda huko Kenya na mataifa mengine anajifanya ni wa kisasa na ni mtu wa demokrasia. Akirudi Nyumbani ni kujifungia Dodoma na wana CCM na hakuna demokrasia yeyote kwa manufaa ya tumbo lake na...
  18. Lord Denning

    Walivyofanya Frelimo Msumbiji ndivyo wanavyofanya CCM kwenye chaguzi zetu kila siku

    Hakuna marefu yasiyo na ncha.Huu ni msemo wetu wa kiswahili ambao una maana pana sana. Siasa za kusini mwa jangwa la Sahara zimeanza kuchukua njia ya tofauti kabisa siku za karibuni. Vyama vilivyopigania uhuru kwenye nchi za kusini mwa Afrika vimeanza kukabiliana na vuguvugu la mageuzi...
  19. Ileje

    Mnaosema CCM wataendelea kushinda chaguzi kwa sababu ya Mbowe, ni lini uchaguzi huru umefanyika Tanzania

    Kuna dhana potofu inayojengwa kuwa kwa sababu Mbowe ameamua kushiriki uchaguzi kwa kugombea uenyekiti wa Taifa Chadema lazima atashinda na kwamba CCM watapata urahisi wa kushinda uchaguzi mkuu mwakani 2025! Eti Mbowe ni laini kwenye meza ya majadiliano! Kwamba Lissu angeachiwa ashinde uenyekiti...
  20. E

    Kwanini Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Ukatenganishwa na Uchaguzi Mkuu?

    Mazoezi makubwa matatu yanayogharimu pesa nyingi za wananchi ni vita, sensa, na uchaguzi. Uchaguzi, kwa upekee wake, mara nyingi husababisha kuyumba kwa amani na utulivu wa nchi kama tunavyoshuhudia katika chaguzi mbalimbali. Baada ya mchakato huo, viongozi na vyombo vya dola hujiona wamemaliza...
Back
Top Bottom