chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CHADEMA, wale wanao unga juhudi ambao ni viongozi wa either mkutano mkuu au Baraza kuu Taifa, wawe replaced faster, kuna move

    Kuna Move inachezwa hii ni zile move za Kikorea, Wanao jiondoa hasa wale wa Baraza kuu taifa au mkutano mkuu taifa lengo lake ni kutengeneza upungufu wa akidi, sasa sijajua kama wakina Mnyika au Heche walisha nyaka hilo. Kuna project ya kutengeneza upungufu wa akidi ya either Mkutano mkuu au...
  2. JamiiForums Tanzania Huyu mtu aliyebuni slogani ya "No reforms No election" ndani ya CHADEMA ana akili sana, tumpe maua yake!

    Serikali ya CCM ,inalala na viatu, inahaha, kila mbinu chafu wakileta unashindwa kuuzima moto wa No reforms No election. Hapa kila Mtanzania anaimba , huu wimbo, "CCM wanaimbia kimoyoyo" , mpaka viongozi wa dini mashekhe, mapadirii,wachungaji, maskofu, yaani kila kona ya nchi ni No reforms No...
  3. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Kuna mkakati wa kutumia msajili wa vyama vya siasa na polisi kuteka ofisi za CHADEMA

    Serikali ya CCM, Rais Samia kama kuna watu wanakushauri haya basi wanakupotosha sana. Nafikiri hamjui kiu ya Watanzania kutaka mabadiliko. Kila hila mnazopanga na kufanya dhidi ya chama chetu mnakiimalisha zaidi.Sisi hatutawapigia magoti.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Madhila yanayoipata CHADEMA ndiyo yanayowafanya wananchi wakiunge mkono

    Nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi yetu kwa sasa CHADEMA kinaonekana kushika chati kwa misingi kuwa wananchi wanakiona kama chama kinachobeba ajenda za wananchi. Viongozi wa dini wanakielewa, wanasheria, NGO na nje ya nchi nao wanawaunga mkono kwa vile tu kinapitia madhila mengi kuuawa...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mabomu ya Machozi yarindima Musoma kusambaratisha Wafuasi wa CHADEMA wakisindikiza msafara wa Heche

    Wakuu! Jeshi la Polisi Mkoani Mara limelipua mabomu ya machozi na kutawanya maelfu ya wananchi waliokua wakimsindikiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, John Heche mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Musoma. Wanadai wananchi kumsindikiza Heche kwa umbali mrefu ni sawa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yanayo endelea CHADEMA ni matokeo ya kutodhibiti nidhamu ya wanachama wake

    Niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Ili uweze kujenga jamii ya Heshima na Nidhamu kwenye taasisi yeyote ni lazima kuwe na miiko ya taasisi. Chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema, kilifanya kazi kubwa ya kujijenga kisiasa kika sahau kujenga nidhamu kwa Wanachama wake. Ndani ya chama kila mtu...
  7. JamiiForums Tanzania Waraka mfupi sana kwa Wantanzania

    Ndugu zangu na watanzania wenzangu ni matumaini yangu mbukheri wa afya na km haupo sawa Mungu akupe nguvu,Amina. Kwa Leo nimewiwa kuongea na watanzania wenzangu wapenda maendeleo na wazalendo wa kweli wa nchi hii Tanzania. Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu,pamoja na uchaguzi mkuu Tanzania...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe unaonaje ufanye mapinduzi ya kiuongozi ili uinusuru CHADEMA?

    Mapinduzi sehemu nyingine ni kitu cha kawaida kabisa. Angalia Kagame alivyoijenga Rwanda. Mbowe pindua uongozi uliopo uiponye CHADEMA na anguko kuu. Huoni hii hama hama ya wanachama na CHADEMA kutoshiriki uchaguzi 2025?
  9. JamiiForums Tanzania π—šπ—”π—­π—˜π—§π—œ π—Ÿπ—” 𝗠π—ͺπ—”π—‘π—šπ—”π—­π—”: CHADEMA yafa kifo cha Mende!

    Mwenye macho haambiwi tazama
  10. JamiiForums Tanzania Mozah Ally: Nimeondoka CHADEMA sababu hatuwezi kujinasibu tutazuia Uchaguzi halafu hatuingii kwenye vyombo vya maamuzi

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa, Moza Ally, ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya CHADEMA, akilalamikia ukosefu wa mwelekeo wa kisiasa ndani ya chama hicho na kukosekana kwa mkakati wa wazi kuhusu ushiriki kwenye uchaguzi mkuu...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA ina ushawishi zaidi mitandaoni

    Kila siku habari kuu na mijadala iliyopo mtandaoni ikiwepo hapa JF ni kuhusu Chadema kuliko vyama vingine, ni kama ambavyo CCM inapata airtime kubwa kwenye TV na Radio ila kwenye social medial ni Chadema zaidi pamoja na kuwa na kundi kubwa la watu wenye ushawishi na majina wakiwepo wasanii...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Kuna mgogoro mkubwa ndani ya CHADEMA, inaenda kufa, Heche msitafute mchawi

  13. JamiiForums Tanzania Ni wajumbe au ni vikao gani vya chama wa/vinaochagua viongozi wa sekretarieti kuu ya chama cha chadema?

    Hofu yangu ni huku kuondoka kwa baadhi ya viongozi wa mikoa, wilaya na hata wale wa kanda. Kama chama kitaamua kuitisha kikao kwa ajili ya kupitisha majina ya watu ambao watakuwa ndio wajumbe wa sekretarieti kuu ya chama, je akidi itatosha? Kama haitatosha, nini cha kufanya. Tutarudi kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hashim Rungwe: Waliojiondoa CHADEMA bado hawajafika CHAUMMA

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikiendelea kukumbwa na mtikisiko wa ndani, mamia ya wanachama wake wanaripotiwa kujivua uanachama, huku wakihusishwa na mpango wa kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kikiwa miongoni mwa vyama 19 vilivyosajiliwa rasmi nchini...
  15. JamiiForums Tanzania Asili haiongopi: Kuna namna CCM wameanza kuongea lugha ya CHADEMA

    Si kwasababu ya NO REFORMS NO ELECTION.. Bali ni madhila, uonevu wa wazi, dhuluma na mateso ya kila aina wanayopata CHADEMA kupitia vyombo vya ulinzi kwa baraka za CCM CCM nao wameanza kuumizwa na hii hali kwakuwa sasa Watanganyika wamekuwa na mwamko mkubwa wa kuona uhalisia na kuamua kuiunga...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msajili wa vyama vya siasa Mulika mchakato wa kumpata mgombea Urais wa CCM mwaka huu una kasoro nyingi

    Wana CCM tumekaa kimya wengi wetu si kuwa tumeridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea la hasha ni kuwa hatuna la kufanya waswahili wanasema mwenye nguvu mpishe. Nimeona umechukua hatua kwa viongozi wa Chadema na kutangaza kutotambua wajumbe wa secretariat. Nakusihi na huku kwetu CCM umulike...
  17. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Wimbo wa Usiogope utambulike kama wimbo rasmi wa Chadema nyakati hizi za Kupigania Ukombozi

    John Mnyika Leo katika kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii kuna kipande cha wimbo unaoitwa Godbless Lema Usiogope kinasambaa sana. Napendekeza wimbo ule urekodiwe tena na kuwekwa maneno ya Chadema na Watanzania wapenda mabadiliko Msiogope. Maneno ya ule wimbo yawatie moyo Chama cha...
  18. JamiiForums Tanzania G 55 Acheni Drama za kutoka CHADEMA, anzisheni chama chenu msonge mbele!

    Tangu waliokuwa wanachama wa CHADEMA waanze kutoka Baada ya uchaguzi wa tarehe 21,22/01/2025, sasa limekuwa kama ni igizo lisilo na mwisho. Kwa Sasa kwa wao kutoka CHADEMA imekuwa siyo habari tena maana watanzania washajua wapo watakaotoka CHADEMA na sehemu kubwa ya watanzania washajua kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaohama chadema G55. Wahame kwa maandishi wasiishie kuita Press tu. Watakuja kuruka baadae

    GT. Chadema hakikisheni hao wapuuzi wanakabidhi nyaraka za kuhama chama la sivyo.muwafukuze au muendlee kuwatambua. Najua ujinga wa CCM wanaweza kurudi kwa mlango wa nyuma wakidai ni wanachama halali na kuanza kuvruga tena kwa Mara nyingine. Chukueni hii tahadhari. Pili Pangeni kampeni ya...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 G55 Henry Kileo, Moza Ally, Patrick Assenga, Asha Abubakari na Glory Tausi wajiondoa CHADEMA

    Wakuu, Ni mwendo wa kuendelea kuangalia panapovuja mpaka iache kunyesha. https://www.youtube.com/live/7DyNX31-xaQ?si=rDbUhzxMfwptm2Q- Meza Kuu inajumuisha; Henry Kileo - Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Kinondoni - Nimekaa kwenye chama kwa uaminifu sana, lakini chama sasa kimepoteza muelekezo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…