chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Wenje: Wengi Kamati Kuu CHADEMA walipinga 'No Reforms No Election'

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema asilimia 80 ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA hawakukubaliana na msimamo wa 'No Reforms, No Election,' ndiyo maana wengi wamekihama chama hicho.
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya vigogo CHADEMA kukiuka amri ya Mahakama leo Oktoba 28

    Kutoka kwenye chumba namba tatu (3) cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumanne Oktoba 28.2025 kesi ya kukiuka amri ya Mahakama inayowakabili viongozi waandamizi wa CHADEMA wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania Bara John Heche inaendelea. Soma pia: Kesi...
  3. JamiiForums Tanzania Maandamano Bila kikomo - Oktoba Tunatoka

    Kitendo kinatokana na neno GO 🔥 buti ardhini 💪🏿 Na 👇🏿 ujasiri, uthabiti, Uamuzi, kujitolea, kuzingatia, Itikadi, Ustahimilivu, Mwendelezo, Chanya, Umoja, Umoja, Mtazamo wa kawaida Dikteta #Samia_Suluhu hastahili muda wa kujiandaa wala kupata kasi,,,kwa sababu tu alikataa kusikiliza...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Tangu Oktoba 1 hadi 25, wametekwa watu 52

    TAARIFA YA UTEKAJI Chadema tumeendelea kufuatilia kwa karibu matukio mbalimbali ya utekaji wa watu yaliyotokea nchini ndani ya siku ishirini na tano kuanzia tarehe 01 hadi 25 Oktoba 2025. Katika kipindi hiki, jumla ya watu 52 wametekwa, wengi wao ni viongozi na wanachama wa Chadema, pamoja na...
  5. JamiiForums Tanzania Mo29-Oktoba29 Tunatoka siku 3!

    Number 3 is a magical number 🔥 Bafo siku 3 na nina imani kila mtanzania amejiandaa ni mwendo wa #OktobaTunatoka #MO29 is a movement 💪🏽
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Kagera: Viongozi wa CHADEMA washikiliwa na Polisi kwa kuchochea vurugu

    Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewakamata baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa tuhuma za kuhusika na kupanga mikutano na maandamano kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Brasius Chatanda, amethibitisha kukamatwa kwa viongozi hao na kueleza...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Kimati: Najivua uanachama wa CHAUMMA, narudi CHADEMA

    “NARUDI ZANGU CHADEMA” Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Jimbo la Arusha Mjini, Amani Kimati, ametangaza kujivua rasmi uanachama wa chama hicho na kuhamia CHADEMA, chama ambacho awali alikihudumia katika nyadhifa mbalimbali ikiwemo kuwa Katibu Mwenezi wa Kata ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA fungueni kesi Haraka sana kumshtaki IGP aoneshe Heche Alipo kabla hawajamdhuru

    Kwa hali ilivyo huyu makamu mwenyekiti wa chadema anaweza kuuwawa. Kwasabau alichukuliwa katika viwanja vya mahakama na mpaka sasa hajafikishwa tarime ni vyema mkafungua shauri mahakamani Haraka sana .kwa hali ya sasa zikipita siku 2 au 3 wanaweza kumpoteza. Hali si nzuri Tena kwa sasa Poleni...
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Kanda ya Kusini, Aden Mayala atimkia CCM

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Kusini wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mjumbe wa Kamati Kuu, Aden Mayala amekihama chama hicho na kutimkia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Oktoba 22, 2025 wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika viwanja...
  10. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CHADEMA mko wapi wakati huu viongozi wenu wakisulubiwa?

    Kuna wakati CHADEMA hawakuwa watu wanyonge namna hii, Askari anakamata viongozi wa chama bila maelezo na kinyume na sheria na wafuasi mmekaa mnatazama tu! Askari wanajifanyia wanavyojisikia na kutumiwa na CCM lakini CHADEMA mmekuwa wanyonge mno! Huenda viongozi wana sababu kujiweka mbali na...
  11. JamiiForums Tanzania John Heche akamatwa akiwa Mahakama Kuu akijiandaa kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu

    Makamu Mwenyekiti Bara wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche mapema leo asubuhi amekamatwa na jeshi la Polisi Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, alipofika kwa ajili ya kufuatilia shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu. Pia soma > John...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Mashauri wawili kuhusiana na viongozi wa Chama kusikilizwa kesho Mahakama Kuu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauatangazia umma kwamba, kesho tarehe 22 Oktoba, 2025 kutakuwa na mashauri mawili Mahakama Kuu, Masijala ya Dar es Salaam. Shauri la kwanza, ni la Uhamini linalomkabli Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Antipas Lissu ambapo Mahakama Kuu itatoa...
  13. JamiiForums Tanzania Nataka kujiunga na CHADEMA, nifanyeje ?

    Kutoka moyoni kabisa nataka kujiunga na CHADEMA process zake zikoje? Natamani kuungana na makamanda katika harakati za kuiondoa CCM. Nisaidieni makamanda na pia mniunge kwenye group la makamanda.
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Je, wanaharakati wana haki ya kuzuia wengine wasipige kura?

    Je, wanaharakati wana haki ya kuzuia wengine wasipige kura? Tuna siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025. Uchaguzi huu umegubikwa lindi la kukosa uhalali pengine kuliko uchaguzi mwingine wowote Tanzania. Hata mgombea wa CCM ameshutumiwa na mpaka kufunguliwa kesi kuwa kajipitisha bila...
  15. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Gari la Heche limeshambuliwa kwa risasi za moto Oktoba 18

    Mkurugenzi wa Mawasiliano CHADEMA, Brenda Rupia akizungumza na waandishi wa habari kwa njia ya mtandao Oktoba 19, 2025 ameeleza kuwa siku ya jana (Oktoba 18, 2025) gari la Makamu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche lilishambuliwa kwa risasi za moto na kupasuliwa matairi kisha kuvutwa hadi...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Wenje: Sikuwahi kujua kuwa CCM ni Chama chenye ushawishi Mkubwa Barani Afrika

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje ameeleza sababu ya yeye kuhamia Chama Cha Mapinduzi(CCM)ambapo amesema kuwa hakuwahi kujua kuwa CCM ni Chama chenye ushawishi Mkubwa Barani Afrika Akizungumza na Wasafi Media katika uwanja wa Shule ya...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Heche bado yupo nchini. Taarifa ya idara ya Uhamiaji inapotosha umma

    Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kitazungumza na waandishi wa habari saa nane kamili mchana. Pia Soma >> CHADEMA: Gari la Makamu Mwenyekiti limeshambuliwa kwa risasi za moto Oktoba 18 https://www.youtube.com/watch?v=ZtFOeA1qkhk Updates Akizungumza na waandishi wa habari mkurugenzi...
  18. JamiiForums Tanzania Hesabu chini - zimebaki siku 10! kufika Oktoba 29

    !!! MIKAKATI YA KUPELEKA NA UTAWALA!!! _______________________ JE, UKO TAYARI Dokezo! Ujumbe kwa nafsi yako ✍🏿 Wapo baadhi ya viongozi mashuhuri kwa mfano wabunge wanaojifanya upinzani ambao wanaweza kutumika kuwanyamazisha wapiga filimbi, au mstari wa mbele wa mapambano. Siku zote...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali inawapa sana hype na kick zisizo za lazima viongozi wa CHADEMA

    Jioni hii heche kazuiliwa kwenda msibani habari imeenda viral kila mtu amejua mfano asingezuiliwa kwenda msibani ni watu wachache wangejua heche ameenda msibani wengi wasingejua ila kwa tukio la jana watanzania wengi sana wamejua Kuna mambo serikali inabidi iyapuuzie sababu yanawapa kick...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Katibu wa BAVICHA kanda ya Victoria ahamia CCM

    Kijana kakikacha chama chake bila shaka kafuata maokoto ya CCM ================= Aliyekuwa Katibu wa Baraza la Vijana Wa CHADEMA (BAVICHA Alon Kalomba amemuhakikishia Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Tarehe 29, Oktoba hakutakuwa na Maandamano. Alon ametoa kauli hiyo kwenye mkutano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…