chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chadema inatakiwa kujenga sera na imani zake na kuziandika na kuzifundisha. Mkiendelea kuamini watu Ata Heche anaweza kubadilika.

    Kupitia Mbowe Chadema tunapaswa kujifunza tu. Watu hawapaswi kabisa kumwamini mtu tena. Inapaswa kuandika "BIBLIA YAKE" kuwa na viapo vyake, Na Katekisimu zake za kufuata Sio kutembea na upepo na kauli za viongozi. Sasa naijua siasa vizuri. Ndio maana nafsi ya Kwanza inabaki hapa ya pili...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Moto wa CHADEMA balaa huku BAWACHA kule Heche. Liwake jua ama inyeshe mvua Watanzania tutaikabithi CHADEMA nchi

    Moto wa CHADEMA balaa huku BAWACHA kule Heche. Liwake jua ama inyeshe mvua Watanzania tutaikabithi CHADEMA nchi Aisee strategist wa CHADEMA nampa maua yake. Literally CHADEMA ndio chama tawala ni swala la muda mfupi tu
  3. JamiiForums Tanzania Hatua ya John Heche kutamka kwamba Tundu Lisu ni Makamu mwenyekiti wa chadema taifa inatoa ujumbe gani mzito kwa wanachadema?

    What coded massages is John Heche trying to communicate to chadema party members politically speaking? Ni kipi hasa John Heche ana uhakika nacho hadi kufikia hatua ya kudai na kutamka hadharani kwamba Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa na sio mwenyekiti kamili? Je, ukiwatazama...
  4. JamiiForums Tanzania Chadema copy and paste hii badala ya kuorodhesha kero tu.

    Nimewapenda sana hawa jamaa hata sijui kama wanadanganya au la. Vyama vyetu vya siasa hapa tz ni kama vyama vinavyoikumbusha CCM na serikali kitu gani wamesahau kufanya wakifanye. Hebu sikiliza njia mbadala za kutatua shida za wakenya. https://youtu.be/xbdGgaVIK3k?si=4OqsHd7X7yeJjdce
  5. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hai wajipanga kususia mkutano wa Heche ,wadai aombe radhi kwa Mbowe

    Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, wametangaza msimamo wa kutoshiriki mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, John Heche, unaotarajiwa kufanyika jimboni humo. Wanachama hao wameweka sharti kuwa Heche...
  6. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Hai wajipanga kususia mkutano wa Heche, wataka amuombe radhi kwanza Mbowe

    Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, wameeleza msimamo wa kutoshiriki mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, John Heche, unaotarajiwa kufanyika jimboni humo, wakitaka kwanza atoe ufafanuzi na kuomba radhi kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hatutambui Ubunge wa wale wabunge 19 lakini Ruzuku hatuachi. Hii ni kauli ya Lissu, tunaposema chadema ni makanjanja muwe mnaelewa.

    Pia Lissu aliongeza kwa kusema hatambui ubunge wa Aidan khenan lakini Ruzuku tutachukua hii nini hii watz wenzangu hivi mnaelewa kweli 😭.....hebu jiulize walichukua ruzuku kwa sifa zipi ili hali wanazikana sifa zinazowapa ruzuku, kama siyo UTAPELI na WIZI, Watanzania chadema ni kikundi cha...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chadema na mpira wa miguu na mziki wa bongo fleva havitangamani, hivyo ikitokea wakaingia madarakani, watafutilia mbli soka na bongo fleva

    Hawa wabwabwajaji wa Chadema Wana yochukia mpira wa miguu na mziki wa bongo fleva wakifanikiwa kuibgia madarakani, jambo ambalo naona haliqezekani hata miaka kadhaa ijayo, watafutilia mbali soka na bongo fleva, wananchi tubaki tukiwatukuza lissu na heche
  9. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imeelani vikali kukataliwa kwa dhamana ya John Pambalu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani kitendo cha Jeshi la Polisi kumnyima dhamana kiongozi wake, Mhe. John Pambalu, baada ya kukamilika kwa mahojiano yake. CHADEMA kimeeleza wasiwasi wake kuwa hatua hizo zinaashiria mpango wa kumfungulia kesi za ugaidi au uhaini ambazo hazina...
  10. JamiiForums Tanzania Huwezi kutenganisha shutuma za Rais wa TLS na CHADEMA. Anyway tuviache vyombo vyetu vya Dola vifanye kazi yake nadhani Kila mtu atafikiwa

    Nianze na ku appreciate kazi, uzalendo na weledi mkubwa wa vyombo vyetu vya Dola katika kulinda ustawi wa Taifa letu kwa kuzingatia Sheria na maadili ya Taifa letu la Tanzania. Ni kipindi pekee ambacho TLS Imekosa heshima Mbele ya umma watu wanashindwa kutofautisha kati ya shughuli za TLS na...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania tunapenda kutapeliwa. Hivi sasa Kuna mtu yupo busy anacheza kindege, mwingine analipia app ya Mange, mwingine anawachangia CHADEMA

    Sijui ni kukosa elimu ya fedha au ni ujinga tu, hivi inakuwaje mtu na akili zako ufilisike kisa kucheza kamali? Inamaana huwezi kuacha au mnalogwa au ni laana? Watu wamekuwa vichaa kisa kamali lakini watu bado🤣 Ukiona unafilisika kisa kamali si uache Kuna haja gani kuchukua mkopo bank ili...
  12. JamiiForums Tanzania Je! Zile hela za Donation za kulisha mkutano mkuu wa chadema bado zipo? Maana naona CHADEMA Kuna UTAPELI mwingine wanataka waucheze kupitia Pambalu

    Watanzania shitukeni Kuna UTAPELI mkubwa sana ndani ya chadema, mpaka sasa mkutano mkuu haujafanyika ili hali watu walishashangishwa Hela nyng ambazo inasemekana zimeliwa na viongozi wa chadema. kama hela hazijaliwa basi viongozi wa chadema wajitokeze waseme zipo wapi na zipo sh ngapi mpaka...
  13. JamiiForums Tanzania Najisikia huzuni kuiona chadema ya Mbowe ikiwa hivi. Haiko tayari kukamata dola.

    Hebu sikiliza sababu zinazotolewa kwanini chadema ipewe nafasi ya kuiongoza nchi. Eti mkoloni ni bora kuliko Nyerere na Magufuli n Samia. https://youtu.be/v_NMqvJKnkI?si=6HyhDA0-hWFRnzcS
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wako kwenye Mikono salama

    Shalooom Makamanda!!!! Jeshi la Polisi likiwa katika majukumu yake ya kawaida limeweza kuwakamata wahalifu jijini Arusha , Taarifa zinazotufikia hivi punde zinasema kuwa gari la Kanda ya Kaskazini aina ya Toyota Land Cruiser, lililowabeba makamanda wetu, akiwemo Katibu Mwenezi wa BAVICHA Taifa...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA: John Pambalu akamatwa na kupelekwa Central Police Arusha

    Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi Mhe. John_Pambalu pamoja wenzake waliokuwa kwenye gari ya Chama walikamatwa na Jeshi la Polisi na kupelekwa Central Police Arusha. Baada ya kufika kituoni Jeshi hilo limesema linamhitaji John Pambalu tu ××××××××
  16. JamiiForums Tanzania Huenda CHADEMA ingekua na wabunge zaidi ya 100 wa majimbo kwa sasa, ikiwa Freeman A. Mbowe angeendelea kuwa mwenyekiti wake

    Lakini baada ya wavurugaji, vibwengo na micharuko wa kisiasa kuikamata, wameiharibu kabisa chadema na kuifanya ikose kabisa hata sifa tu za kisheria za kushiriki uchaguzi wowote ule humu nchini. Unadhani chadema walijichanganya wapi hata ikaangukia mikononi mwa vibaka wa kisiasa? Ni somo gani...
  17. JamiiForums Tanzania Lissu na Heche walipokuwa wakiomba kuwa viongozi wa CHADEMA Taifa, walidai Katiba ya CHADEMA ni mbovu sana wataibadilisha. Je, wamebadili nini?

    Au baada ya kupata uongozi ambao walioupata kwa hila, ghiliba na kutweza utu wa wengine, je, katiba hiyo waliyoiita mbovu sana ya chadema, sasa imekua nzuri, haina matatizo na sio mbovu tena na haihitaji marekebisho? Na mbona hakuna hata siku moja tangu hawa majamaa waropokaji wamekua viongozi...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Sina Huruma na CHADEMA Mimi. Kila Baya Liwe Juu Yao. Siwapendi Kwa sababu ya Matusi yao kwa Rais wangu

    Ndugu zangu Watanzania, Huruma siyo Malezi,sina huruma na CHADEMA Mimi wala sina nachowaombea kizuri chochote kile. Kila Baya Liwe juu yao . Wapitiage mabaya tu na kukutana na mabaya tu na kila aina ya Dhoruba itakayo wapa msongo wa mawazo na mateso ya akili . CHADEMA wasipate amani ya moyo...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Polisi semeni ni Wapi mmepeleka Jose Mbeya Mwanachama wa CHADEMA?

    Kwa masikitiko na wasiwasi mkubwa, tumepokea taarifa kuwa Mr. Jose Mbeya, ambaye ni mwanachama wa CHADEMA, amechukuliwa leo alfajiri na watu waliojitambulisha kuwa ni maafisa wa Polisi. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na ndugu zake, watu hao walieleza kuwa wanampeleka katika Kituo cha Polisi...
  20. JamiiForums Tanzania Kulikoni ghafla tu wafaddhili wanasita kuichangia pesa na wakopeshaji wanakwepa kuikopesha tena chadema?

    Unadhani wametathimini, wamegundua na wameshtuka au kuona kitu gani hapo mbeleni, hata kusitisha mambo hayo ambayo ndio yalikua yakifanya chadema kua hai, japo haina sifa za kisheria kushiriki uchaguzi wowote ule kote nchini Tanzania?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…