chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa sawia kuwakataa CHADEMA, ni matapeli wa kisiasa

    Utashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo yao? Namna taifa linavyokwenda chama makini cha upinzani kisingekubali na kukaa kimya. Kulamba asali na kusahau kutetea maslahi ya umma ni jibu kuwa Chadema ni matapeli wa kisiasa. Hawafai hata...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA mtamkumbuka hayati Magufuli, mlijifanya bichwa ngumu

    Sasa mnalilia nini? 👇
  3. N

    JamiiForums Tanzania Chadema imekataa kuweka wagombea EALA lakini usishangae wakawepo na kushinda

    Kama "signature" inayosemekana ni ya mnyika ilifanikisha kumtoa mwanadada aliyekaa jela siku 120 kesho yake akaapishwa kwenye gereji na wenzake 18 kuwa wabunge hii itashindikanaje Covid 19 wanatamba wana kebehi majaji wanashikwa na kigugumizi wafate sheria au maagizo toka juu kwenye jikesi lao...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA yasusia Uchaguzi Wabunge wa EALA

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema chama hicho hakitashiriki uchaguzi wa kuwapata wabunge watakaoiwakilisha Tanzania kwenye Bunge la Jumuiya ya Afrika ya Mashiriki (Eala). Uchaguzi huo utafanyika katika mkutano wa Bunge la Tanzania utakaoanza Septemba 13, 2022 jijini Dodoma. Mnyika...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA ni paka mwenye roho ngumu, ila kiuhalisia amekufa!

    Nianze Kwa kutaja miamba iliyoondoka chadema na sifa zao na hawakutakiwa kutoka! David silinde, huyu jamaa alikuwa jemedari wa nyanda za kusini aliishika sana Tunduma, sijajua kwanini CHADEMA waliruhusu mazingira yamuondoe! Dr. slaa, huyu aliishika nchi kisawa sawa, watu hawakuwa wanaogopa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kesi ya wabunge 19 kupinga kuvuliwa Ubunge na CHADEMA iwe live

    Habari Jf, nimefuatilia baadhi ambazo zinakuwa zikirushwa mubashara kuna kitu fulani kinaongezeka katika kuonyesha haki inatendeka. Itapunguza mambo mengi kufichwa na udanganyifu. Mtu akisema mimi nafanya kazi central au naishi Morogoro maana yake kuna watu wengi watamuona kwa sura na itasaidia...
  7. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 One Year of Tanzanian President Hassan: What’s Changed

    March 19, 2022, marks the one-year anniversary of Tanzanian president Samia Suluhu Hassan’s inauguration. As the country’s former vice president, Hassan became the constitutionally mandated successor of late president John Magufuli after he allegedly died from Covid-19 in early March 2021. Her...
  8. JamiiForums Tanzania Katiba bora Tanzania imara

    UTANGULIZI Maisha ya mwanadamu yamejikita katika ngazi mbalimbali za kijamii kulingana na muundo au mfumo ambao jamii husika hujiwekea. Ukubwa wa jamii zetu huanzia chini kabisa na hatimae kupanda juu kutoka ngazi moja had Ngazi nyingine. Ngazi hizi ni kama vile, familia, ukoo, kabila, taifa...
  9. JamiiForums Tanzania SoC02 Njia mbili za kifikra kati jambo moja na maamuzi sahihi | siasa, ndoa, dini...

    Kupitia jukwaa hili nataka kuwafikishia elimu hii watumiaji wa jukwaa hili la jamii kuhusu NJIA MBILI ZA KIFIKRA KATIKA JAMBO MOJA NA MAAMUZI CHANYA. Kwa ufafanuzi zaidi ili kuleta maana harisi niliyotazamia katika jambo nalotaka kuzungumzia tuchukulie jambo hilo labda ni kosa katika sehemu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kiukweli Uchaguzi Mkuu unasimamiwa na Wakurugenzi wa Halmashauri, sijui kwanini CHADEMA hawalioni hili

    Wakurugenzi wa Halmashauri ndio mikono ya Tume ya Uchaguzi hapa nchini, yaani NEC analishwa na DEDs, kimsingi DED ndio NEC. Siyo siri kwamba baadhi ya Wakurugenzi ni makada wa CCM na wengine walishawahi kugombea ubunge, halafu mnataka tuamini CHADEMA ni chama cha Upinzani, kweli? "Watanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna mapito ambayo yaliipoteza nguvu Chadema na kuifarakanisha na Umma usio wa Kihayawani

    Huwezi amini.lakini ndo ukweli kuwa kuna wakati Chadema walikuwa wanamwona Nape Nnauye ni Shujaa wao. Ni jasiri wao. Huwa naumia sana ninapokumbuka kipindi hicho. Nilikuwa nawaza yaani Chadema kweli walikengeuka kiasi kikubwa namna hiyo? Nikawa nawakumbusha kuwa Nape hajawahi kuwa shujaa. Nape...
  12. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA huwatetea wananchi kwenye mambo gani?

    Kila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani? Mungu ni mwema wakati wote!
  13. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu: Dunia nzima inamkubali Mwigulu Nchemba isipokuwa CHADEMA tu, atakuwa Rais wa Benki ya Dunia

    Akiwa Tabora kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amewataka wananchi wapuuze taarifa zinazoenezwa kuhusu tozo, amedai tathmini ya kina ilifanyika kabla ya kuja na tozo hizo na walijiridhisha kuwa zinahimilika. Pia amewataka wananchi wapuuze uzushi wa kuwa waziri wa fedha...
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Nchi anaitwa Nyapara! CHADEMA ni vyema muwadhibiti hawa vijana wenu akiwemo Mdude

    Rejea kichwa tajwa hapo juu Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani. Lakini wakuiondoa ni Akiwemo Mdude? Chadema jifunzeni. Hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu Mkanyeni huyu. Kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa, anaweza kupotezwa vibaya sana Huyu ndio...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi kwa kuzaliwa

    Ndugu zangu Nazani mmewahi kusikia Kuna swali linaulizwa iwapo kiongozi Bora anazaliwa au anatengenezwa, Ndugu zangu ukimfuatilia mh Rais mama Samia suluhu Hassani Tangia wakati ule wa bunge maalumu la katiba namna alivyookuwa anasimamia bunge lile lililokuwa limesheheni vichwa vya kila aina...
  16. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watashiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024?

    Nauliza tu kwa sababu huku mitaani hakuna ofisi wala bendera za Chadema Ni vema watutaarifu mapema maana kupanga ni Kuchagua Mungu ni mwema wakati wote
  17. J

    JamiiForums Tanzania SHAKA: Atetema na Kunyunyiza Tabora wafuasi wa CHADEMA washindwa kujizuia waunga msafara

    Tabora wanafuraha sana kumuona Katibu Mwenezi ndg. Shaka Hamdu Shaka mapokezi ni Makubwa sana hata Freeman Mbowe hapokelewi kwa shangwe hivi pale Hai kwao pamoja kuwa ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa. Kweli CCM chama kubwa mkubali hapo kaja Mwenezi tu Hali ipo hivyo. Hivi CHADEMA Mwenezi wa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CHADEMA: Mwenyekiti Mbowe na wenzako, mumshirikishe Ansbert Ngurumo kama one of your think tank

    Mumshirikishe Ansbert Ngurumo katika harakati zenu za katiba mpya na Tanzania mpya mnayoitafuta! Huyu ana mawazo ya kuwasaidia kufika huko tunakokutarajia, katiba mpya! https://www.jamiiforums.com/threads/sikiliza-busara-za-ansbert-ngurumo-kutoka-juu-ya-funzo-kutoka-uchaguzi-wa-kenya.2011259/...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA inapigania ustawi wa Tanzania, kwanini unaipinga?

    Wakati mwingine ukiangalia chuki walizo nazo baadhi ya watu dhidi ya CHADEMA, jambo unaloligundua kwa urahisi ni kwamba watu hao fikra zao na mwenendo wa maisha yao umeshazoea kugandamizwa. Ni kazi sana kwa mtu aliyezoea kuwa mtumwa na kuona "manufaa" ya kuwa mtumwa kukubaliana na mtu...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Hata kama Mbowe akiwa Mwenyekiti na Lissu Mkurugenzi wa NEC Mnyika awe IGP bado CHADEMA ya sasa haishindi uchaguzi

    Ukweli ni kwamba hali ya kisiasa ya sasa hapa nchini inakatisha tamaa sana. Ukisoma maandiko mengi humu ndani ya wenye mrengo wa upinzani, wanailaumu ccm kuwadhoofisha huku wakisahau kwamba hakuna chama siasa chenye jukumu la kuruhusu chama pinzani kisitawi. Ukiwa kama mpinzani unalazimika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…