chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini Mchungaji Msigwa afunguka sababu 4 za kuondoka CHADEMA

    Kama unaamini kuwa CHADMA ni Chama cha Siasa basi karibu umsikilize mchungaji Msigwa atakavyokuprove wrong. Mchungaji Msigwa anaijua CHADEMA nje ndani na ametuomba wana CCM tuamini anayosema kwa sababu yeye ni mtumishi wa Mungu. Karibuni sana na mkutano utarushwa mubashara na Vyombo mbalimbali...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uandaliwe mpango mkakati wa kuiondoa CCM madarakani. CHADEMA somesheni vijana!

    Mpango mkakati wa CHADEMA nadhani umejikita katika kipindi kifupi na ndiyo mkakati ambao umetumiwa na vyama mfu vya upinzani kuindoa CCM Madarakani. Nilishangaa sana CHADEMA kumpokea LOWASA na LAZARO NYALANDU wote hawa hawakua chaguo sahihi kwa chama kikubwa cha upinzani. Mipango mkakati ya...
  3. JamiiForums Tanzania CCM itakaa madarakani milele kwa sababu ya upinzani dhaifu

    Kwa jinsi nilivyoona siasa za hii nchi yaani chama kama CCM hakitotoka madarakani. Sababu moja wapo ni upinzani dhaifu nikisema hivyo nadhani mnanielewa. Kila siku wapinzani wanalalamika wanaibiwa kura halafu uchaguzi unaofuata wanashiriki tena hivi hii ni akili au kichaa kingine wapinzani hao...
  4. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA haina Uwezo wa kuweka Mawakala kwenye vituo vyote vya Uchaguzi kwahiyo kilio cha kuibiwa kura hakitaisha hata wasipoibiwa!

    Huo ndio ukweli Chadema haina Uwezo wa kusimamisha Wagombea Ubunge Majimbo yote achilia mbali kuweka Mawakala Fikiria Majimbo kibao Wabunge wa CCM wanapita bila kupingwa maana yake kulikuwa hakuna washindani Nini kifanyike? Chadema ishushe Ruzuku hadi majimboni Ili kuhamasisha Wapiga kura...
  5. JamiiForums Tanzania Hoja za CHADEMA zinajibiwa kirahisi na muda na Mungu

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/biashara/bidhaa-zashuka-bei-wachumi-watoa-somo-4695482
  6. JamiiForums Tanzania Huyu alilazimishwa kuhamia CCM utokea Chadema ukimsikiliza vizuri.

    Embu tumsikilize!!
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA Kigoma kwafukuta, sarakasi za mwenyekiti wa chama mkoa zapingwa vikali

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kigoma, Rajabu Mfaume Bujoro, agomewa na wenyeviti wa wilaya na majimbo kwenye ajenda ya kupinga maamuzi ya kanda ya Magharibi, kuhusu kuthibitishwa kwa katibu wa chama hiko Mkoa wa Kigoma kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA. Tukio...
  8. JamiiForums Tanzania Hashtag Kataa Eacop: Vijana wa CHADEMA Wanatumika na Wanaharakati

    CHADEMA na kale kakundi ka @MariaSTsehai wanapush hushtag #KataaEACOP kwa lengo la kudhoofisha ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda mpaka bandari ya Tanga. Acheni kutumika kiboya. EACOP stand for East African Crude Oil Pipeline. Ni kampuni lenye share holders wanne yani...
  9. JamiiForums Tanzania Athari Za Kuwa Chini Ya Utawala Wa Aina Moja Kwa Muda Mrefu

    Wakati nchi inapoongozwa na chama kimoja cha kisiasa kwa muda mrefu, hata ikiwa ni kwa njia ya kidemokrasia, hatari kadhaa zinaweza kujitokeza: Kudhoofika kwa Demokrasia: Utawala wa muda mrefu wa chama kimoja unaweza kudhoofisha demokrasia kwa kupunguza ushindani wa kisiasa. Bila upinzani...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA na CCM wameamua kumpuuza Msigwa?

    Amekosa mvuto. Amekuwa si riziki kabisa. Hata ndani ya Chama hapati heshima yoyote. Wameona hana impact pamoja na kujaribu kumjenga ila wanaonga hajengeki. Chadema. Wameshamsahau. Mi ningekuwa ni mshauri wa Msigwa ningemshauri agombee nafasi Chadema. Ashinde kisha akishinda ajiuzulu ahamie CCM...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia mbona umeanza kampeni mapema? Unaogopa nini?

    Huyu Rais kaanza kampeni mapema kabla ya muda. Sijui anaogopa Nini? Tume ya Uchaguzi ni ya kwake, Polisi wa kwake, JWTZ wa kwake nk ila kaanza kampeni kabla ya muda. Naomba nimpe Rais ushauri ufuatao; 1. Achana na kampeni kabla ya muda. Wewe kama Rais wa Nchi unatakiwa kuwa namba moja Kwa...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sioni madhaifu ya CHADEMA kwa hoja za Mchungaji Msigwa

    Mambo yote anayokosoa msigwa katika chama alichotoka kukihama kwa mtu mwenye akili timamu sioni hoja za msingi kuwaaminisha watu kuwa chadema ni chama dhaifu ni chama gani kwa sasa hii utakipima kwenye mzani kikawa sawa na chadema kwa sera Sera za ccm miaka nenda rudi ni zile zile tumejenga...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Chadema tushukuru kwamba CCM wameanza kuropoka hadharani mbinu zao za kushinda chaguzi. Nape ni mkweli tusimlaumu, tatizo ni mfumo CCM.

    Badala ya kuona kuwa Nape amekosea kusema aliyosema, tumwone Nape kama mtu aliyesema ukweli kuhusu chaguzi za Tanzania. Ni kweli kwamba matokeo ya kura hutegemea nani anahesabu kura na mara nyingi sana matokeo hupangwa kabla hata ya kura kupigwa. Tatizo sio Nape bali ni mfumo CCM. Mnakumbuka...
  14. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msigwa: Mbowe aliacha tuliyomtuma Ikulu akaenda kushughulikia Billicanas. CHADEMA hakuna Sera ni kudandia mambo ya CCM tu!

    Mchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM kimesema nini Ili wao wakosoe basi Source: Mwanahalisi Digital My take; Makapi kutoka Ufipa st ni...
  15. JamiiForums Tanzania Kinachofanywa na Mchungaji Msigwa hakina tofauti na kinachofanywa na CHADEMA, nadhani kuna haja ya kubadilika

    Kiuhalisia ukitoa sehemu ndogo ya watu ambayo ni watumishi wa Serikali na wanasiasa Asilimia kubwa ya wananchi wanaamini katika Hayati Magufuli na wanampenda . Ukiingia humu jukwaani ,ukiwa ofisini na ukiwa kwenye kundi la wanasiasa utaona mnaongea lugha moja kuhusu JPM ambayo ni kama 80% siyo...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi hakuna uwezekano CCM ikaungana na CHADEMA kuelekea uchaguzi 2025 ?

    Naona CCM inatumia nguvu nyingi sana kusajili wanasiasa wazuri kutoka CHADEMA . Ni wazi CHADEMA kuna vichwa , Nadhani ni vyema 2025 waangane tupate viongozi wazuri . Muwe na siku njema
  17. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Kwenye mahoteli yetu wameajiriwa Wakenya

    "Mna tabia ya kufikiri Wakenya wana akili sana, Wakenya hawana akili yoyote ya maana kuliko Watanzania ila tofauti yao na sisi wale walifundishwa Kiingereza tangu chekechea kwahiyo ukienda kwenye mabenki yetu, mahoteli ya mbuga za wanyama huko wameajiri Wakenya kwa sababu waliandaliwa kushindana...
  18. JamiiForums Tanzania Dar: Anayedaiwa kutekwa naye asakwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za utekaji

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na mamlaka zingine za kisheria tunaendelea kufuatilia kwa karibu matukio ya ubakaji na kulawiti kwa watoto wadogo ambapo tangu mwezi Machi mpaka Julai Jeshi la Polisi limepokea taarifa nne kutoka kwa wazazi wa Mbagala na Temeke...
  19. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA mnashindwa kuwa na Tv, radio kweli?

    Chadema mnakwama wapi? Naangalia Channel Ten, ni habari za CCM tu! Tunakumbushana tu! Jamani publicity ni muhimu sana katika propaganda za Siasa. Piga ua chadema mnahitaji TV na Radio. Erythrocyte , rafiki tunakwama wapi? Pia Soma - CHADEMA anzisheni kituo cha television kabla ya uchaguzi...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Ally Kadogoo: CHADEMA siyo chama cha kikristo wala kiislaamu, CHADEMA ni chama cha kisiasa

    "Uadui wa Uislamu na Chadema unatokea wapi? na watu bila kuangalia na kufikiria chochote wanaipokea propaganda hii. Chadema siyo chama cha kikristo wala kiislaamu, Chadema ni chama cha kisiasa." Shekh Ally Kadogoo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…