chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mtarajie chuki dhidi ya CHADEMA na Lissu kutoka kwa vibaraka wa Mwendazake kuanzia sasa

    Washabiki, wafuasi na vibaraka wa Mwendake, akili zao ni za hovyo kupindukia na huwa wako teyari kufanya lolote kwa yeyeote ataesema jambo baya kuhusu Mwendazake hata kama kweli huo ubaya ulifanywa na Mwendazake. Niwaambie tu, hata mauji ya Mzee Kibao yangefanywa na Mwendazake, wangetetea kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kujizuia kuificha furaha yangu kwa haya yanayoendelea nchini dhidi ya CHADEMA na wafuasi wao.

    Initially I was low-key loving it. Not because it’s the right thing to do [what’s happening to them]. As a matter of principle, I don’t countenance it. But, just out of spite, I’m Mickey D’s lovin’ it. Walizidi mno kuchonga midomo yao kana kwamba hayo mambo yalianzia wakati wa Ngosha tu...
  3. JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA yamelipaka matope taifa

    Kitendo cha vyombo vya kimataifa kuripoti maandamano haya kwa sura kwamba raifa sasa limerudi nyuma kwenye kiasi cha kulinganishwa na nchi za kidikteta ni jambo ambalo kama watanzania limetupa hisia mbaya. Maandamano ya chadema ambayo kwa nje yanao ekana kuto fanikiwa lakini impact yake...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa Polisi kuendelea kuzingira ofisi za CHADEMA wakati kuna uhalifu wa watu kutekwa unaendelea

    Jeshi la Polisi Tanzania limeonekana likizingira ofisi za CHADEMA Mikocheni hadi leo hii sijui sababu hasa za kufanya hivi ni nini. Kuna matukio mengi ya uhalifu yanaendelea nchini ni vyema polisi wakasambazwa kushughulikia matukio haya kama walivyasambazwa kushughulika na waandamanaji.
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kwa kiwango gani maandamano ya CHADEMA yataathiri matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa wagombea wa chama hicho?

    November 27.2024, patafanyika uchaguzi wa kihistoria nchini, kwa ngazi za serikali za mtaa na vijiji nchi nzima. Vyama vya siasa vilivyo jizatiti kushiriki kikamilifu katika uchaguzi huo muhimu sana, vinaendelea na maandalizi ya kujipanga na kujiandaa vizuri ndani ya vyama vyao. Unadhani kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Watanzania waambie waandamane kwa ajili ya Simba au Yanga, wataandamana hata uchi

    Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi. Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA muda upo upande wenu sana, hakikisheni mnaandaa maandamano tena na tena mpaka yafanyike kwa mafanikio

    Salamu kwenu wanaCHADEMA Nakupeni pole na kuwapa pole wabongo wenzangu kwa matendo ya utekwaji na mauaji ya wananchi wasio na hatia. Kwa kweli nchiyetu kwa sasa hali inatisha, ombea usiingie katika mikono ya hawa chinjachinja, wauaji ambao mikono yao imeloa damu. Niwapeni pongezi kwa jitihada...
  8. JamiiForums Tanzania Boniphace Mwabukusi: CHADEMA njia waliyoitumia ni sahihi, hata Katibu Mkuu wa CCM anakubali kuna shida

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilikuwa sahihi kutumia njia ya maandamano kufikisha ujumbe pamoja na kushinikiza serikali pamoja na jeshi la polisi kutoa majibu na kuwajibika juu ya kupotea na...
  9. JamiiForums Tanzania Polisi wazingira ofisi ya za CHADEMA, Muliro adai wanaimarisha ulinzi wasijesema wametekwa

    Siku moja baada ya Jeshi la Polisi kuzima maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yaliyopangwa kufanyika jijini Dar es Salaam Septemba 23, 2024, baadhi ya askari wameonekana wakizingira ofisi ya makao makuu ya chama hicho Mikocheni. Mwandishi wa Mwananchi aliyefika katika...
  10. JamiiForums Tanzania LGE2024 Ushauri kwa CHADEMA: Susieni uchaguzi wa serikali za mitaa

    Kutokana na Hali iliyojitokeza jana , nashauri ya kwamba CHADEMA watangaze kususia uchaguzi Mkuu ujao na uchaguzi wa Serikali za mitaa. Hii ni kutokana kwamba Serikali kupitia polisi imeshaonesha biasness na kwamba uhalifu wowote dhidi ya CHADEMA polisi hawatashughulika nao. Itakuwa ni aibu kwa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ruto anaenda New York kuleta wawekezaji Rais Samia anaikimbia Chadema yuko Ruvuma

    Kuna mazuri mengi sana ya demokrasia pamoja na kupigwa watu wanaishi pamoja kwa raha na kujali nchi. Raisi wetu imebidi amtume Majaliwa kwasababu ya kuogopa maandamano huko NY. Mwenzake mfano Ruto wiki chache zimepita ameshaingia mkataba tena na German ambao tuna uhusiano nao wa kupeleka...
  12. JamiiForums Tanzania Chadema wamesahau kutuambia sasa hivi Polisi wameizingira makao makuu yao.

    Mbowe alikuwa anasema asubuhi hii watakwenda kwenye ofisi yao ya Mikocheni lakini polisi wapo pale. Video zipo YouTube.
  13. JamiiForums Tanzania Maandamano yanahitaji watu, watu hawajajitokeza Upinzani hamna!

    Wanaukumbi. Maandamano yanahitaji watu. Watu hawajajitokeza. Swali: 1. Ni uwoga au CHADEMA haivutii Watanzania? 2. Kama ni uwoga, na people’s power hakuna bargaining power ya CHADEMA ni nini? 3. Bila ya bargaining power CHADEMA wataweza kushinikiza CCM walete mabadiliko ya MFUMO? 4. Mbowe...
  14. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani hususani CHADEMA rekebisheni makosa mdogo mtafika mbali, Watanzania watawaunga mkono

    Wasalaam ndugu zangu, Kufuatia hali ya waandamaji na maoni ya baadhi ya watanzania kwenye mitandao ya kijamii, nimegundua CHADEMA hawana nguvu wala watu wengi kutoka na kukosa ushawishi. Chama cha CHADEMA kina misingi mizuri hasa ukiangalia sera zake za awali hata jina lake ni zuri (CHAMA CHA...
  15. JamiiForums Tanzania SI KWELI LGE2024 Marekani kupanga kuisaidia CHADEMA kufanya maandamano

    Nimekutana na poster yenye taarifa kuhusiana na ubalozi wa Marekani kuisaidia CHADEMA kufanya maandamano, je ni upi uhalisia wake?
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Maandamano ya CHADEMA yamefanikiwa kwa 100%

    Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho...
  17. JamiiForums Tanzania Kutokufanikiwa kwa maandamano ya CHADEMA: Uhalisia wa maandamano yasiyo na nguvu kwa maslahi ya wananchi

    Maandamano yaliyofanyika jana, yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yameonyesha wazi changamoto kubwa ambazo chama hicho kinakabiliana nazo katika kuhamasisha wananchi na kuonekana kama nguvu halisi ya upinzani. Hii ni mara nyingine ambapo CHADEMA imeshindwa kufanikisha...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Chadema haina wanamikakati wabobezi na ispojirekebisha itaendelea kusinyaa

    Ni dhahiri ya kwamba chama cha makamnda kimeshindwa kabisa kuwa na mikakati yenye kuvitia watanzania wa rika mbali mbali . Kushindwa kuwa na mikatati thabiti kunasababishwa na yafuatayo: 1:Viongozi waandamizi wa hiki chama hawana elimu dunia inayoelewaka na nitor mifano michache,Sugu...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwandishi wa EATV asimulia alivyokamatwa na polisi wakati wa maandamano "Nilizuiwa kuongea na simu"

    Wanabodi, Mwandishi wa EATV ambaye jana alikamatwa kwenye maandamano ya CHADEMA siku ya jana, amezungumza kwenye kipindi cha The Drive ambapo alisehoji kuhusu kukamatwa kwake na jinsi ambavyo baadhi ya askari wa jeshi la polisi lilimkataza kupiga simu kuwataarifu watu wake kuwa amekamatwa...
  20. JamiiForums Tanzania Benson Kigaila, Wenje, John Heche, Halima Mdee na Salumu Mwalimu jipangenin a mjiandae vizuri kushika hatamu za uongozi wa juu CHADEMA. Hawa wamefeli

    Ni wazi chairman na msaidizi wake Taifa hawana tena mawazo mapya wala fikra mbdala kuiongoza chadema ikapiga hatua au kufanikisha chochote kisiasa. Taasisi imekuwa haina mipango mikakati endelevu, sera mbdala, dira wala uelekeo muafaka unao eleweka na wenye kuleta matumaini au ahueni ya kufika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…