chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwanini Makada wa CHADEMA waliopo humu JF hawakwenda Mbeya? Je ni waoga.

    Wenzao wamechakazwa kwa kipigo. Lakini wao wamo humu ndani JF wakitiririka kwa comment za kihuni. Makada wa CHADEMA acheni uoga basi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kama Lissu Mgonjwa kwanini anahangaika?

    Kwa mara ya kwanza CHADEMA imekubali kwamba Tundu Lissu ni mgonjwa na anatumia dawa. Wamekubali hili baada ya Lissu kukamatwa na kukaa saa 24 bila kutumia dawa zake. Inakuwaje mtu huyu ambaye ni mgonjwa anayerudi nchini Ubelgiji mara kwa mara kupata matibabu mnamtanguliza mbele katika jambo...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Yanayoipata chadema sasa yangekuwa na impact kubwa sana endapo tungekuwa na uongozi wa juu wa chama damu changa.

    Najaribu tu kuimagine Heche - mwenyekiti Lissu - makamu Mrema - k/mkuu Mnyika - n/mkuu Halafu eti yatokee yaliyotokea nchi ingekuwa inachemka muda huu.
  4. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Wana Mbeya shitukeni, CHADEMA wamegeuza jiji lenu maabara ya sera zao

    Mwanzilishi wa CHADEMA ni Edwin Mtei na nyumbani kwake ni Tengeru, Arusha. Mwenyekiti wa muda wote wa CHADEMA ni Freeman Mbowe na kwao ni Hai, Kilimanjaro. Katibu Mkuu wa CHADEMA ni John Mnyika kutoka Singida lakini mama yake ni wa Moshi Vijijini. Makamu Mwenyekiti Lissu kwao ni Singida...
  5. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni kutetea Polisi wa Tanzania, waacheni wapambane na hali yao

    Viongozi wa CHADEMA ifkike mahala mkubali kuwa hawa watu so rafiki kwenui kwa vitendo wanaowafanyia, hivyo ni busara kuacha kabisa kwasemea ikiwemo kutetea masilahi ya Polisi wa nchi hii kama ambavyo mmekuwa mkifanya Bungeni na kwenye mikutano ya hadhara. Acheni kabisa kuongelea hali za makazi...
  6. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ninahisi nguvu ya sasa ya CHADEMA ni kwa hisani ya CCM, tunahitaji Upinzani halisi

    Tanzania ina Jumla ya vyama vya Siasa 19, ACT Wazalendo kikiwa ni chama mwisho kusajiliwa May 2014. CUF na NCCR MAGEUZI ya kina Mbatia walijaribu kuwa wapinzani halisi lakini wakadhohofishwa. CCM ni chama kikubwa na kina mbinu Nyingi sana ninahisi kinaipa nguvu ya kifedha CHADEMA kwa faida...
  7. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kuna Tengua, Hamisha, teua usiku wa leo, lengo kuzima mjadala ya CHADEMA

    Nimepenyezewa habari kutoka chanzo cha kuaminika kabisa kabisa kwamba usiku wa leo, kuanzia mida ya saa 3 usiku kuna mkeka utatoka huo mkea haukuwa kwenye mpango wa Samia ila ni maalumu kwa ajili ya kudivert habari za CHADEMA Mkeka umeanza kusukwa tangu juzi baada ya seke seke la Mbeya na...
  8. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Swali: Ujasiri wa kumburuta Tundu Lissu mnautoa wapi?

    Salaam, Shalom!! Wote tunajua masaibu yaliyomkuta TUNDU Lissu, Hadi tunavyoongea risasi Moja haijatolewa mwilini mwake. Hakuna askari Nchi hii asiyemjua TUNDU Lissu na Hali yake kiafya na ulemavu aliosababishiwa, mliowatuma askari kumburuta TUNDU Lissu mtetezi wa Haki za wananchi mnalenga...
  9. econonist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi inteligensia ya Polisi ipo CHADEMA pekee?

    Najiuliza swali kubwa Sana. Hivi inteligensia ya Polisi wa Tanzania ni Kwa CHADEMA tu?. Yani CHADEMA ndio pekee wanaomulikwa na polisi? Binti anabakwa na vijana Sita na polisi hawajui mpaka Video ilipowekwa hadharani ndipo wakaanza kuhaha ila mpaka Leo hakuna hatua iliyochukuliwa. Nikawa...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama Mikocheni, Dar es Salaam

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, atazungumza na Dunia kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika 14/08/2024 kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Mikocheni, Dar es Salaam. Miongoni mwa watakaohudhuria mkutano huo ni Mabalozi kadhaa wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania...
  11. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ni saccos ya mtu

    Ndugu zangu Watanzania, Mtumishi wa Mungu Mchungaji peter Msigwa ambaye kwa sasa ni kada mtiifu na Mzalendo kwa chama cha Mapinduzi na ambaye anajutia uamuzi wake wa kupoteza nguvu zake na muda wake wa miaka takriban 20 kuwa ndani ya CHADEMA. Amsema kuwa CHADEMA ni Sacco's ya mtu ,ambapo...
  12. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Kamata kamata bila haki na kuweka ndani watu haivurugi Amani kweli?

    Tukio la kamatakamta la CHADEMA limetikisa nchi na kumchafua mama. Watu wameingiwa na hofu kuhusu uchaguzi ujao, je tufanye nini sasa? Polisi lazima waangalie upya utendaji wao, wafanye kazi kwa weredi vinginevyo kwa tabia ya watanzania wanachukizwa sana na upendeleo wa chama kimoja. Hii ni...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Chadema inabagaza sera ya Rais Samia ya 4R

    Hii si sawa na lazima isemwe. Mhe.Rais samia ameendelea kuwa mwenye nia njema sana ya kuondosha malalmiko ya jamii hususani katika muktadha wa kisiasa. Baada ya tuhuma za uongo na zilizosukwa na kupambwa na vyama vya upinzani nchini Tanzania na hususani wafuasi wa chadema dhidi ya hayati...
  14. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania Mch Msigwa asema matumaini yapo CHADEMA akihutubia mkutano wa CCM

    Hata hivyo haijajulikana mara moja kama alimaanisha au alitaka kusema Tumaini lipo ndani ya CCM. bado hakuweza kupataikana kutoa ufafanuzi juu ya kauli yake hiyo Alikuwa akiongea katika mkutano mmoja mkoani Kagera. Hotuba yake nzima unaweza kuitazama katika link hapa chini...
  15. Bams

    JamiiForums Tanzania Intelijensia ya CHADEMA ilishindwaje kubaini mipango ya Msigwa kabla hajatoka?

    Ni dhahiri, Msigwa alipojiunga CHADEMA, kama ilivyo kwa wengi waliokuja kukengeuka baadaye na kuamua kuwa mapandikizi, alikuwa ni mwanachama halisi aliyekuwa ameamua kuwa CHADEMA. Lakini wakati wa uongozi wa Magufuli, bila shaka, kwa hulka yake ya tamaa ya cheo, alishindwa kuhimili kuishi bila...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ubalozi wa Marekani watoa tamko baada ya Viongozi wa CHADEMA na waandishi kuachiwa. Je, ndio walioshinikiza kuachiwa?

    Tumepokea vyema taarifa za kuachiliwa kwa viongozi wa vyama vya siasa, vijana, waandishi wa habari, na mawakili waliokamatwa walipokuwa wakitaka kutekeleza haki yao ya kikatiba ya uhuru wa kukusanyika kwa amani. Pia soma: Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA, mtalia mpaka lini?

    Ndugu zangu wa CHADEMA na Watanzania wote, kumekuwa na hujuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikifanywa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Hujuma hizo ni pamoja na uchaguzi na kuwakandamiza wapinzani. Haya yote yamekuwa yakifanyika miaka yote. Mara zote wapinzani wamekuwa wakiishia kuitisha...
  18. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kilichowaponza CHADEMA ni kauli na hamasa ya vurugu

    Kilichowaponza CHADEMA ni kauli na hamasa ya vurugu Na Mwandishi Wetu MWAKA 1994 hauwezi kufutika katika historia ya dunia baada ya watu zaidi ya 800,000 kupoteza maisha kwa mauaji ya wenyewe kwa wenyewe nchini Rwanda. Wengine zaidi ya 2,000,000 walikimbia nchi na kwenda maeneo mbalimbali...
  19. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Kama Kijana nimeamua rasmi kuikumbatia CHADEMA

    Nimuda sasa umepita na niwakati wa kuamua na kuifata ndoto yangu ya kuikomboa tanzania kutoka kwenye matatizo zungu nzima Sasa nimeamua rasmi nitatafuta kadi ya CHADEMA na kuanza kupaza sauti si kwa matusi ila kwa kuonesha kwamba we need development Hii ji baada ya kukwazika kwa vijana wengi...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Chadema hawawezi kuwa kama Gen Z kwa sababu hawana Mtandao wa Falsafa za Teknolojia, bado wanakusanyika kama enzi za Yesu

    Ni kweli Kabisa Chadema wanaweza kuleta vurugu na uvunjifu wa Amani lakini tusiwape kichwa kwamba wanaweza kufanya kama Gen Z Fikiria Chadema wanasafiri kwa Mabasi na Malori kwenda mkutanoni Mbeya lakini Gen Z wanakutana bila kuonana USO kwa Mwili Chadema wanatangaza kila watakachofanya kabla...
Back
Top Bottom