chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchukuaji wa fomu Serikali za Mitaa/ Vijiji maeneo mbalimbali nchini kwa upande wa CHADEMA

    Habari wakuu, Tunaelekea kwenye zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa/vijiji ambapo watanzania maeneo mbalimbali nchini watapata fursa ya kuwachagua viongozi ambao wanaamini watawasadia kuleta mabadiliko ya kimaendeleo katika maeneo yao. Leo tarehe 26/10/2024 mpaka tarehe 1/11/2024 ni zoezi la...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Chadema acheni maisha ya kifahari chama bado ni Maskini sana

    Chadema jaribuni kupunguza matumizi ya anasa ili mjenge chama; 1: Mikutano ya kamati kuu inafanyika kwenye hotel zenye hadhi ya nyota tano. 2: Viongozi wakuu kutembelea magari ya anasa. 3: Kipngozi mkuu kuomba michango watanzania ili anunue gari ya anasa 4:Viongozi wa chama kukesho mitandaoni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kinachowaponza CHADEMA ni hiki!

    Kwenye kipande hiki cha video, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Benson Kigaila, anafichua udhaifu wa chama chake kwa jinsi walivyojaa vitisho visivyo na msingi na msimamo usio thabiti kuhusu chaguzi za Tanzania. Kigaila anatoa vitisho vya wazi, akisisitiza kwa sauti ya kiburi kwamba uchaguzi wa...
  4. G

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA yakanusha kujitoa kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Mwaka 2024

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimesema hakijajitoa na wala hakina mpango wa kujitoa kwa Sasa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Mwaka 2024. Kimewahimiza wanachama wake walioteuliwa nchi nzima kuanzis tarehe 26 Oktoba, 2024 wajitokeze mapema kwenda kuchukua fomu za Serikali za kugombea...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Chadema mteueni Lema awe mwenezi au msemaji wenu maana kila siku yuko mtandaoni

    Inaonekana Godbles Lema hawaamini akina Mnyika wala yule mkurugenzi wao yeye akiwa na hoja anaita press anaongea t, tena anaongea as if chama chake hakina wasemaji. Ukiwa na chama cha namna hii ni hatari sana, kesho john Mrema ataongea, kesho Mnyika ataongea, keshokutwa Lissu, keshokutwa yake...
  6. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA Simiyu: Hatutaruhusu majina yaliyoongezwa katika Daftari la Wapiga Kura yapige kura na hatutasusa

    Juzi zoezi la andikishaji wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, limehitimishwa kwa serikali kujipa kongele kubwa kuwa wananchi wengi wamejiandikisha. Sasa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Simiyu kimesema kuwa katika zoezi hilo wamegundua uwepo wa hujuma...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM inavidharau Vyama Vyote vya Upinzani isipokuwa CHADEMA tu?

    Mfano mzuri ni huu Uchaguzi wa Serikali za mitaa huwezi kukuta CCM au hata Chawa wake akina Lucas, Choicevariable na Mchungaji Msigwa wakivizungumzia Vyama vingine zaidi ya CHADEMA Tumeambiwa na Daktari Slaa kuwa CHADEMA iko ICU lakini mbona CCM bado inahangaika nao usiku na Mchana CCM...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA, vijana wengi wamejiandikisha tokeni maofisini nendeni mitaani mkawahamasishe wapige kura

    Kwa takwimu za Mchengerwa watu wote wenye umri wa kupiga kura 98% wameandikishwa ambao wengi wao ni vijana. CHADEMA huwa mnajinadi kuwa chama chenu kina hazina kubwa ya vijana mnataka Mungu awape nini zaidi awaletee kipande cha dhahabu kwenye sinia. Mnatakiwa mjue kuwa kila jambo huletwa na...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo mbona hawaonekani kwenye uboreshaji daftari?

    Naomba kuuliza kwenye huu uandikishaji wa daftari la wapiga kura ACT Wazalendo mbona hawaonekani kabisa? Naona vita kubwa kati ya CHADEMA na CCM tuu? Nimetembelea mikoa ya Geita, Kagera, Mwanza, Shinyanga, kwenye vituo vya uandikishaji vyote nimekutana na mawakala wa CCM na CHADEMA pekee. Je...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Freeman Mbowe ni Kiongozi gani mwingine wa Upinzani ana Kipawa, Kipaji na Karama ya Uongozi wa Siasa?!

    Kimsingi Binadamu hafundishwi Uongozi bali anafundishwa jinsi ya Kutawala na Kusimamia Uongozi ni Kipawa, Kipaji na Karama ambayo imewekwa ndani ya roho na Ubongo wa Watu wachache sana tuseme Wateule wa Mungu wa Mbinguni Nimeona Kipawa Kipaji na Karama ndani ya Freeman Mbowe pekee katika...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: CCM wapiga kura za maoni kuchagua Wagombea, CHADEMA watoa fomu kimyakimya, ACT na wengine mmh

    Baada ya zoezi la uandikishaji kukamilika na waziri wa Tamisemi kutangaza kuwa walijitokeza kujianidkisha katika taftari la kupiga kura la wakazi, na Dodoma ikitajiwa kuwa na idadi kubwa ya waliojiandikisha ambapo kwa mujibu wa waziri wa Tamisemi Mohamed Mchengelwa amesema kuwa Dodoma...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuendelea "kusinyaa" kwa CHADEMA nani alaumiwe?

    Watanzania wameshuhudia matamshi ya aliekuwa mtendaji mkuu wa chama wa zamani na msomi Dr Silaa akilalamika hadharani kuwa CHADEMA aliyotegemea ni tofauti na uhalisia kwa maana imepoteza mfano na uwepo wa UTOTO mwingi sana ndani ya CHAMA. Je, Watanzania wenzangu chanzo halisi cha hiki chama...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siasa zaingia michezoni, baada ya CCM kuja na T-shirt za 'Watoto wa Mama' CHADEMA wamekuja na T-shirt za 'Watoto wa Baba'.

    Dawa ya moto ni moto, hii inaitwa Ubaya Ubwela.
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti CHADEMA (Siha - Kilimanjaro) adai kuna Watu 200 wameandikishwa ambao sio wakazi wa kitongoji chake

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Jimbo la Siha Mkoani Kilimanjaro, Imma Saro anadai katika ziara ya kuangalia majina yaliobandikwa aliyofanya amekuta Kitongoji chenye Makazi 101 kimeandikishwa Watu zaidi ya 375 ambao Watu 200 sio wa Kitongoji cha Ekunywa Kata ya Makiwaru.
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Morris Makoi alisambaratisha ngome ya CHADEMA Old Moshi

    Morris Makoi, Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi Vijijini amefanya kile kilichowashinda wengi baada ya kufanikiwq kuisambaratisha ngome ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kuung'oa mbuyu ulioshindikana. Makoi ambaye ni Diwani wa Kata ya Okaoni (CCM), amemng'oa kada...
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Amos Makalla: CHADEMA imegawanyika, kuna upande wa Lissu na upande wa Mbowe

    Mwenezi wa CCM, Amos Makala akiongea na waandishi wa habari leo kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa amesema kuwa kwa upande wa CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa unaosababisha wasisomane. Ametaja kuwa mgawanyiko huo unahusisha pande mbili ambazo zinawaunga mkono kati ya Makamu Mwenyekiti bara...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Amos Makalla: Tundu Lissu hana haki ya kupiga Kura katika nchi hii

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla, ameeleza kupata ukakasi mkubwa kuhusu hatua ya kiongozi ambaye ni mwanasheria na anayejua haki na demokrasia, lakini anakataa kutumia haki yake ya kupiga kura. Hili limejitokeza baada ya Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, kutotimiza...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA Bwuaanaah!

  19. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Hizi damu zinazomwagika za viongozi wa CHADEMA zinatoa picha mbaya na nzuri huko tuendako

    Wasalaam ndugu wana JF! Nisikuchoshe, usinichoshe, tusichoshane. Twende kwenye mada yetu moja kwa moja Kwa wale waumini wa dini karibu zote duniani yaani ukristo, uislam, Uyahudi, Wabuddha, Wahindu, Washinto na ata hizi dini za Mababu zetu zote zinaamini kwenye kutoa sadaka/Zakkah...
  20. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, acheni kulalamika kila muda, chukueni hatua

    Viongozi na wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wahanga wakubwa sana kwa manyanyaso na kila aina ya dhuluma. Mara tu wanapofanyiwa hayo wamekuwa wakijitokeza kwenye Vyombo vya habari na kulalamikia vitendo hivyo. Mimi nafikiri kwa sasa tutoke kwenye kulalamika na twende kwenye kuchukua hatua kali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…