Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Aliekuwa DC.wa wilaya ya Longido miezi kadhaa iliyopita, aliweka wazi kuhusu hujuma zinazofanywa kwenye chaguzi zetu na alilenga kilichotokea kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019.
Japo tulimshambulia sana,ila alichosema kilikuwa ni kweli na teyari tumeanza kuona mwelekeo wa nini...
Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha, ambao walidaiwa kuzua vurugu wakati wa uchaguzi ndani ya chama, wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kwamba taarifa zilizotolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho Kanda ya Kaskazini na Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema...
Wakuu,
Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limelaani vikali hatua ya kuenguliwa kwa wagombea wa CHADEMA katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vijiji unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu.
Kaimu Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa, Sharifa Suleiman, alitoa kauli...
Naomba nitoe ushauri Kwa chama changu Cha CHADEMA, kwamba imefika wakati tuondokane na Business as usual. Kuna Afisa mmoja wa CHADEMA anaitwa John Mrema ambaye kwa ujumla anahusika na uenezi wa chama. Huyu jamaa kusema ukweli amepwaya Sana. Yani hiyo nafasi ni kama haimfai na ni kama...
Kwakua mmekubali kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa na kujiingiza kwenye mtego wa kuhalalisha haramu ya CCM, basi nawashauri tumieni mbinu zote halali kudai haki yenu.
Nendeni mahakani mkaiombe mahakama mambo yafuatayo.
1. Uchaguzi usimamishwe mpaka kasoro kubwa zilizojitokeza zitatuliwe...
Wagombea wa chadema makumi kwa maelfu wameenguliwa nchi nzima kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu. Sioni sababu ya kwanini chadema iendelee kushiriki uchafuzi huu ambao Askofu Bagonza ameubatiza jina la "mashindano ya kujaza fomu".
Kupata mijadala ya mikoa yote kuhusu uchaguzi wa Serikali za...
Uko Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, nimeona kupitia Global TV Online, zaidi ya Wagombea wetu wa CHADEMA rufaa zao zimegonga mwamba, hivyo wameenguliwa wasigombee nafasi yeyote uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024.
Waombea takribani 240 wa nafasi mbalimbali, wameenguliwa kugombea katika uchaguzi...
Wakuu
Kumeanza kuchangamka huko Arusha
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Godbless Lema, ameagiza wanachama wote waliofanya fujo wakati wa zoezi la uchaguzi wa ndani wa chama hicho uliofanyika mkoani humo kufukuzwa uwanachama.
Kuna Raia wajinga sana Taifa hili, kutwa nzima utasikia ohoo Mbowe kanunuliwa, Mara Chadema haina mvuto tena mara sijui Lisu ikapanda ikashuka.
Je Upinzani sio Ideology kwa Tanzania ila ni ideology kwa mataifa mengine?
Kule Kenya kuna watu wanaendesha Movement na hawana vyama wala offisi...
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoani Simiyu kuepuka kugawanywa kwa itikadi za vyama na badala yake kudumisha Amani na mashikamano baina ya Watanzania.
Kihongosi ametoa rai hiyo alipozungumza na viongozi wa Chama hicho...
Viongozi wa CHADEMA wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wakieleza jinsi rufaa zao za majimbo ya Moshi vijijini, Moshi mjini na Vunjo 'zilivyogonga mwamba' chini ya Mwenyekiti wa kamati ya rufaa ya uchaguzi ngazi ya wilaya ambaye ni Katibu Tawala wa wilaya hiyo, ambapo maamuzi hayo yalifanyika...
Unadhani ni nani kati ya viongozi waandamizi wa Chadema ndiyo hasa chimbuko la ombwe la uongozi lililopo na matatizo mengine makubwa ya kinidhamu na ubinafsi, yanaoonekana bayana kabisa hivi sasa na yanayochochea migawanyiko na kutoheshimiana miongoni mwao?
Je, ujuaji mwingi, ujeuri na ubinafsi...
Kwamba wanasababisha fujo, ikumbukwe kwamba Wagombea wa uchaguzi wa serikali za Mitaa wa Chama hicho wapo kwenye ofisi za Halmashauri kusubiri hatima yao
Ngoja tusubiri namna watakavyopigwa kwa maelekezo ya Mtukufu DC
===============
"DC Ubungo, amewafungia ndani Wagombea wa serikali za mitaa...
Wakuu,
Sidhani kama hizo sehemu nyingine mambo yatakuwa tofauti. Serikali (CCM) itasema mchakato ulikuwa wa huru na haki, wamepokea hata mapingamizi tena wakaongeza na siku za kupokea mapingamizi hayo lakini bado walioweka mapingamizi wamekosa fursa, Demokrasia yetu imekomaa kabisa!
Sasa hivi...
Friends, ladies and gentlemen.
Unadhani nani atakua wa kwanza miongoni mwa viongozi waandamizi CHADEMA wanaozodoana na kulumbana hadharani kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, atashindwa kustahimili mgandamizo wa joto la kisiasa ndani ya chadema na kukimbilia kwingineko?
Unadhani...
Majibu yaliyotolewa na Kamati leo tarehe 15 Novemba, 2024, ambapo hakuna mgombea yeyote aliyeshinda katika majibu hayo ya mapingamizi kwa sababu zilizoambatanishwa ikiwa ni rufaa hizo kutokuambatanishwa na nakala ya maamuzi kutoka kwa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi, majibu ambayo tumeshuhudia...
Madai ya rushwa na matumizi mabaya ya fedha yamekuwa yakitajwa, huku wakosoaji wakimlaumu Mbowe na viongozi wa chama kwa kukosa uwazi na kushindwa kuleta mabadiliko ya kweli.
Swali linalojitokeza ni: Je, CHADEMA bado kina nafasi ya kushinda uchaguzi ujao wa serikali za mitaa? Mgawanyiko huu...