Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Hizi jaza jaza hao watu huwa hawapigi kura , hata mimi kesho ntakuwepo mkutanoni ila sijawahi piga kura Serikali za mitaa uchaguzi mkuu ni mara moja tu
Binafsi ninaweza nisiwe mwanasiasa mzuri lakini nionavyo mimi ni kwamba ACT na CHADEMA wananufaika na uwepo wa CCM, na CCM wananufaika na uwepo wa hawa ACT, CHADEMA.
Sasa kwa mfumo kama huu inamaana CCM itaendelea kuwepo madarakani kwa miaka mingine mingi
Sikatai kama huku CHADEMA na ACT...
Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara na mwanasiasa mashuhuri, amepokelewa kwa shangwe na hamasa kubwa mkoani Mara wakati wa ufunguzi rasmi wa kampeni za uchaguzi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
Unawatangazia wananchi kuwa wakimuona Mkuu wa Mkoa wamzuie, ebo.Mkuu wa Mkoa ambaye ametajwa kikatiba, ametajwa kwenye sheria ya Tawala za Mikoa Na.19 ya mwaka 1997, ametajwa kwenye kanuni za kudumu za utumishi wa umma, mwenyekiti wa kamati ya usalama mkoa, wananchi wazingire gari lake...
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema migogoro inayoendelea kwenye chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni dalili za kuvunjika kwa chama hicho.
Vyama vyote vya Siasa vikikaribia kufa au kufutika kwenye ramani wananza kupigana wenyewe kwa wenyewe.
Nape ameyasema hayo Mkoa Rukwa...
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ACT Wazalendo,ndug. Abdul Nondo amemnadi Mgombea wa CHADEMA Kijiji cha Matanda, kata ya Kigwa Wilaya ya Uyui, Jimbo la Igalula Mkoa wa Tabora, Ndug. James Erick Kabepele ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora.
Kijiji hiki Mgombea wa ACT Wazalendo...
Mchungaji Msigwa, ambaye ni mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa mjini kwa tiketi ya chama cha CHADEMA na kujiunga CCM Juni 30, 2024 amewataka wananchi wawachague wagombea wa CCM kwasababu vyama vya upinzani hazina sifa, hawana uhalali wakuikosoa Serikali ya Chama cha Mapinduzi.
"Nimekaa ndani...
Wakuu,
Mambo moto, ni mwendo wa kujitutumua kwa kwende mbere!
====
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Baada ya kupoteana kwenye...
Katika pitapita zangu huko mtandaoni nimekutana na hii video kuwa Mbowe amekiri kuwa CHADEMA ni chama chake binafsi, kuna uhalisia gani kwenye video hii wakuu?
Jana ilikuwa uzinduzi wa kampeni za CCM sehemu mbalimbali na kwa maajabu makuu hoja kuu yao ni kumzungumzia Mbowe na Lissu kama sera yao.
Wameamua kumuibua hadi yule mpiga kelele wa goli la mkono toka makaburini kuja kuwatia nguvu wakati Makonda juzi kwenye mkutano wake kadhibitisha kuwa wale...
*Walisema chadema wqnachelesha maendeleo. Kuanzia Rqis hadi balozi sasa wote ni CCM, Maendeleo yapo wapi?
*Siku ya kupiga kura, piga kura, nenda kale rudi kuweka kambi kwenye kituo. Kanuni haijasema piha kura uende nyumbani ukalsle
*Hatuwezi kukubali muwe mnatuibia kura halafu tupeane maji...
Kwakuwa Watanzania tumeshindwa kupambana dhidi ya kila uovu unaofanywa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA na sasa kwenye kuhujumu wagombea wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu(Nov. 17, 2024); je, haiwezekani ipo siku wahusika wataenda mbali na hata kufikia hatua ya...
KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC ) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi,Siasa na Mafunzo CPA Amos Makala amesema amemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe Akieleza kuwa Chama chake hakina Ilani na wagombea wao watatakiwa kubuni buni Ilani tu.
CPA Makala ameyasema hayo leo Novemba...
Polisi waliotumwa na ccm kama wafanyavyo siku zote, leo wameshindwa kufurukuta baada ya kujaribu kuzuia mkutano halali wa Chadema kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za Mitaa bila mafanikio
Kutoboka kwa mbeleko ya Polisi kulisababishwa na uimara wa wananchi kupinga...
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Mkoa wa Songwe umebahatika kupata Neema ya kuzinduliwa kwa kampeni za Uchaguzi wa serikali za Mitaa na Mwamba Kabisa Freeman Mbowe
Taarifa ya Chama chake iliyosambazwa kote duniani hii hapa
#WATAKE WASITAKE
Wakuu,
Naona besti wa Msigwa kaamua amfuate CCM.
Je, fukuto la CHADEMA litatoa kiongozi mwingine kwenda CCM?
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
Waliokuwa wagombea wa nafasi ya uenyekiti na wajumbe kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Ungalimited jijini Arusha wamelalamikia rufaa zao kutokusikilizwa na kutupiliwa mbali na hiyo ni baada ya kuenguliwa kwa majina ya wenyeviti na wajumbe kwa asilimia 90% huku...
Wakuu,
Kwahiyo lengo la serikali ilikuwa kumsumbua tu na kumhenyesha basi! Job true true!
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, Kombo Mbwana aliyekuwa mahabusu kwa zaidi ya miezi minne baada ya Mahakama ya Wilaya ya Tanga kumnyima dhamana, amerejea uraiani kwa...
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu amewaomba wananchi kuchangia fedha kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni Jimbo la Nyamagana Mwanza.
Chadema wazee wa michango halafu haijulikani inakwenda wapi msimu wa mavuno umeanza chama kinapenda sana michango.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.