chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika anazungumza na Waandishi wa habari muda huu, Makao Makuu ya Chama hicho, Mikocheni Dar es salaam. Fuatilia live mazungumzo yake hapa https://www.youtube.com/live/toK4jk5NCAo?si=heoTafP2I9zGwBWT CHADEMA yatoa tamko la Uchaguzi wa Kitaifa kwa mwaka 2024...
  2. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anaweza kushinda uenyekiti CHADEMA Taifa kwa zaidi ya 75%

    Wajumbe zaidi ya 1000 wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa, watakutana kupiga kura na kumchagua mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa chama hicho Taifa, tarehe muafaka itakayotangazwa na kamati kuu. Kwa hali ya kisiasa ilivyo ndani ya chadema iliyogawanyika, ushawishi wa Freeman Aikaeli Mbowe...
  3. JamiiForums Tanzania Toka Lissu atangaze kugombea nafasi ya uenyekiti, sasa nahitaji kadi ya CHADEMA!

    Usiku wa kiza kwa sasa unataka kuondoka, CHADEMA ya asili ipo njiani kurejea, chadema ya hari, haki, uwajibikaji, umakini, chadema ile isiyofumbia macho ufisadi, chadema isiyo ya uchawa, chadema isiyo ya vikundi vya kujinufaisha ambao ndio hao wameshaanza kupiga kelele, kwa hofu, wameshazoea...
  4. JamiiForums Tanzania Ngurumo: 90% waliohudhuria huo mkutano wa Tundu Lissu alipokuwa akikinanga chama chake, walikuwa ni wana CCM waliovaa sare za CHADEMA bila yeye kujua

    Kweli ccm ni zaidi ya hatari. Ni wabobezi na welevu wa kila mbinu za ku deal na upinzani in a friendly way bila wao kujua. Kumbe waliohudhuria ule mkutano wa Tundu Lisu alipokuwa akikinanga chama chake cha chadema, wengi waliohudhuria mkutano huo, pasipo Tundu Lissu kujua, walikuwa ni wana ccm...
  5. JamiiForums Tanzania Boniface Jacob: Anayetaka kuondoka aende, CHADEMA haiwezi kufa

    " Kuna lugha ukianza kuongea tunajua huyu mbona sio mwenzetu, Chadema tunajuana". " Kuna wengine wanasema liwalo na liwe tupasue mtumbwi tugawane mbao " "Ukianza kuongea mambo yetu ya ndani kwa watu, sisi tunajua wewe sio mwenzetu, Chama hiki hakiwezi kufa kwa sababu ya mtu, anaetaka kuondoka...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA isanuke, Mbowe ni pandikizi la system, kazi yake kubwa ni kuhakikisha Dola inabaki mikononi mwa CCM daima

    2015 ndio ulikuwa mwaka pekee wa upinzani kuingia Ikulu na CCM kuwekwa pembeni huku mafisadi yakisubiri kuburuzwa Mahakamani. Lakini kinyume chake ni kwamba mafisadi walizidi kung'ara na wanaendelea kuitafuna nchi . Mbowe ndiye aliyehakikisha kuwa mwana CCM machachari Mh. Lowasa anapeperusha...
  7. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: CCM wanakusudia kutukatisha tamaa na sisi wakati mwingine tunawehuka na kuanza kukata tamaa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Freeman Mbowe akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa ofisi ya CHADEMA wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Jumapili Desemba 15, 2024. Updates... Mbowe CHADEMA inaoutofauti na vyama vingine vya upinzani kwa sababu...
  8. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere na wenzake wenye Mashaka na Lissu waende kwenye Kaburi la JPM halafu wamuulize Tundu Lissu ni Nani? Maana huenda hawamjui vizuri

    Kwema Wakuu! Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake. Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu. Yaani Mabeki wa Barcelona hawawezi uelewa uwezo wa Messi uwanjani kuliko Mabeki wa timu zingine kama Real...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA yafanya Uteuzi wa Viongozi wa Kanda ya Kaskazini na Kati

    Kamati Kuu ya CHADEMA, katika kikao chake kilichofanyika tarehe 14 Desemba 2024 jijini Dar es Salaam, ilitangaza uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kwa Kanda ya Kaskazini na Kati. Uteuzi huo umefanywa kwa mujibu wa Katiba ya chama, ibara ya 7.7.16(s), ambayo inatoa jukumu kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Chadema mnamachaguo mawili: Unite or Die

    Tundu Lissu alipewa nafasi ya kugombea Urais wa JMT! kuna nafasi kubwa kama hiyo ndani ya nchi? Then Unaponiambia kuwa Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama ambacho hakina hata wanachama 3M active countrywide, chama ambacho hakina hata 1/3 ya wabunge wa bunge zima…::ila tulikua tayari awe Rais...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Bilionea Mbowe, amewekeza Bei Gani sisizo na maandishi CHADEMA?

    Hellow! Nimewahi kumsikiza Mh Mbowe akisema kuwa amewekeza pesa nyingi ndani ya chama, Nimesoma pia utetezi wa Yeriko Nyerere kumhusu Mkt Mbowe kuwa bila utajiri wa Mbowe na msimamo wake, CHADEMA ingeshajifia chini ya utawala wa Magu. Swali: Ikiwa tunataka mrithi wa Mbowe Kwa nafasi ya Mkt...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Serikali na CCM wamejua mambo mengi sana kwa muda mfupi tu kuhusu yanayoendelea ndani ya Chadema

    Kwanza imebainika kuwa Mbowe ndio anatafuta hela, anakozitafuta wapi hatujui, serikali ifuatilie Pili, Chadema inalalamika uchaguzi nchini sio huru na wa haki, tutaona ndani ya chadema kama Tundu Lissu hataibiwa kura zake ama nyani haoni kundule na hapa mkiibiana kura tusisikie tena mkilalamika...
  13. JamiiForums Tanzania Ni tahira pekee atakemea udikteta wa serikali juu ya wapinzani huku akiona ni sawa tu Mbowe kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20

    Kila siku wapinzani hasa wana CHADEMA huchukizwa pale viongozi wake wanapowekwa selo kwa makosa madogo madogo au kwa makosa ya kusingiziwa. Lakini si mara nyingi tukiona wapinzani wakilaani udikteta wa Mbowe kukaa kwenye kiti kwa zaidi ya miaka 20. Ina maana hakuna mtu mwingine mwenye maono au...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

    KWANINI NI MBOWE NA SIO LISSU NA KWANINI CHADEMA HAIFI? Mchakato wa Uchaguzi wa Chama Taifa umeanza, na tayari Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Ndugu Tundu Lissu amejitokeza kutangaza nia nia ya kuwania Uenyekiti Taifa, Ninakubaliana kwamba Tundu Lissu ni kiongozi mzuri mwenye misimamo...
  15. JamiiForums Tanzania Kongole Chadema! Kiongozi ni yule anayejua njia, anaonyesha njia, kutengeneza njia pale hakuna njia!

    Uongozi, hufafanuliwa kama uwezo wa mtu binafsi, kikundi, au shirika wa kushawishi njia mbadala na si kufuata tu njia aliyoikuta hata kama njia hiyo inaelekea kuzimu. Hatua ya Mbowe naye kutangaza kutetea nafasi yake, mimi naipongeza kwani itakiwezesha Chadema kuitafsiri falsafa yake ya...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Katibu Mkuu CHADEMA: Bila mabadiliko, 2025 hakutafanyika Uchaguzi wowote

    Wakuu, Akiongea hivi karibuni katika mdahalo maalum ulioandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Benson Kigaila ambaye ni Naibu Katibu Mkuu CHADEMA amesema kuwa sio kwamba CHADEMA itasusia uchaguzi ujao bali uchaguzi huo unaweza usifanyike kabisa, Kigaila amesema kuwa bila mabadiliko ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Yanayotokea CHADEMA, ni wazi CCM inayo miaka mingine 100 ya kutawala

    Moja ya agenda kuu ya Msomi Lissu ni kuhakiksha chama kinaendeshwa kama taasisi badala ya chama kutegemea mtu mmoja ambae kimsingi ni huyu Mwenyekiti wa sasa Mzee Mbowe. Kinachosikitisha ni matusi na kejeli toka kwa mchawa wanaomuunga mkono mzee Mbowe kuonyesha sura halisi ya kuwa huyu mzee...
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe anaungwa mkono na Wajumbe wapiga kura wengi ndani ya CHADEMA, Lissu anaungwa mkono na umati mkubwa wa wapiga kelele

    Friends, ladies and gentlemen. Kwa kifupi kabisa, ukipima kwa jicho la rohoni kabisa, numbers of votes zinamfavor chairman Mbowe, huku useless mass popularity ikimfavor vice chairman Lisu, ikiwa uchaguzi wa ndani wa chadema utafanyika mwaka huu 2024 au 2025. There is no way Lissu can beat...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: CHADEMA ipo nusu kaputi, Mbowe hataki kupambana na Samia

    MAHOJIANO YA LISSU NA VOICE OF AMERICA (VOA) VOA: Nini kimetokea na uongozi wa sasa? Lissu: Umekuwa madarakani kwa miaka 20 na muafaka tunatakiwa kufanya mabadiliko ya lazima ili tuweze kupeleka chama mbele. VOA: Plani yako nini kama ukiwa M’kti, unapeleka chama vipi? Lissu: Hapa tulipo...
  20. JamiiForums Tanzania Kwenye Uchaguzi Huu CHADEMA hatuna cha kujifunza kutoka CCM

    Chadema inacheza katika kiwanja cha Demokrasia kiwanja ambacho CCM haiwezi kuingiza team uwanjani, Chadema imeshikilia kurasa zote za mbele za vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi juu ya uenyekiti wa chama. CCM ni wageni wa mashindano haya ya Demokrasia ukiona wanashangilia usiwashangae...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…