chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA, Dar: Henry Kilewo: Tunamhitaji Mbowe, Lissu Tunamjua na Mbowe Tunamjua

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam, Henry Kilewo, amesema kuwa wanamuhitaji Freeman Mbowe kuendelea na uongozi ndani ya chama hicho. "Mimi ni miongoni mwa wenyeviti wa CHADEMA waliomuomba Mbowe agombee. Moja ya jibu nalotegemea kutoka kwake katika saa 48 alizotoa ni kwamba atagombea"...
  2. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Leo nimeamini kuwa chadema ni CHAMA cha Mbowe.

    Uchaguzi ndani ya chadema umeonyesha sura halisi ya Mbowe na wafuasi wake, nimeshanga sana kusikia Mbowe anasema" eti akiona CHAMA kinazamishwa anaingia mzigoni" wewe kama nani? Mwenye hati miliki ya CHAMA? Wewe kama mwanzilishi wa CHAMA? Wewe kama nani mfadhili wa CHAMA? Daaa zamani nilikuwa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nape Nnauye amtabiri mshindi wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa bila goli la mkono

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ambaye ameshika nafasi mbalimbali ndani ya CCM na serikali kuanzia ukuu wa wilaya,Mwenezi wa CCM Taifa pamoja na UWaziri . Ameibuka kibabe na kutoa uchambuzi wake mfupi na tathmini yake fupi juu ya nani anakwenda kuibuka kidedea katika...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Vyama katika demokrasia imara kote duniani haviweki ukomo wa uongozi, CHADEMA haijakosea katika hili.

    Zambia, Hakainde Hichilema amekuwa Rais wa chama cha UPND kwa miaka 18 Kenya, Raila Odinga amekuwa Kiongozi mkuu wa ODM kwa miaka 20, ameachia uongozi kugombea nafasi ya uongozi AU. Uhuru Kenyata bado ni Kiongozi mkuu wa chama cha Jubilee tangu mwaka 2016. Zimbabwe, Morgan Tsvangirai alikuwa...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni aidha Wenje au Lissu waenguliwe CHADEMA kama chama kipo Makini, vinginevyo ni utapeli

    Kwema Wakuu! Chama hakipaswi kuchekea mambo ya Rushwa au wanaotoa tuhuma kwa wenzao kwamba wanakula Rushwa. Lazima chama kichukue hatua ikiwezekana kuwavukuza uanachama Rushwa kwa vyama Makini ni kosa kubwa Sana ambalo linatosha kumfukuzisha mtu uanachama. Rushwa ni Jinai kwa upande wa Sheria...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kumalizika Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA Lissu Atahama na kuondoka Zake

    Ndugu zangu Watanzania, Hifadhini sana huu uzi,shikeni sana haya maneno yangu,kaeni na hili andiko katika kumbukumbu zenu,kaeni na jiandaeni kwa jambo hilo na tambueni ya kuwa Baada ya uchaguzi wa CHADEMA kumalizika ngazi ya Taifa hapo Mapema Mwakani .mtashuhudia Lissu akihama na kuondoka...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya chadema, Nawashauri wenye busara wamuombe mbowe kwa hekima akinusuru chama asigombee

    Naamini mzee mbowe ni mzee mwenye maono makubwa sana. Kwa busara zake nashauri apate ushauri mwingine kutoka kwa wazee asigombee amuunge mkono Tundu lissu kama baba mlezi wa chama! Chadema ni mtoto aliyezaliwa na mgumba na kutelekezwa matunzo; Mbowe ni mama mzazi wa mtoto na Tundu lissu ni...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mbowe hajawahi kung'ang'ania madarakani CHADEMA, madai ya hivi ni upotoshaji wa kisiasa tu.

    Mbowe anaweza kulaumiwa kwa mambo yote lakini jambo moja kubwa ambalo hawezi kulaumiwa nalo ni kung'ang'ania au kukaa madarakani muda mrefu. Lissu mwenyewe ambaye ndiye mpinzani mkuu wa Mbowe katika nafasi ya mwenyeketi kwa sasa na anayetaka ukomo wa kushika madaraka ndani ya CHADEMA uwekwe...
  9. chakii

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imetajirisha wengi huku Lisu akizidi kuwa maskini akipigania misingi ya chama

    Wakuu.... Kati ya watu waliopata hasara pale CHADEMA Lisu anaongoza , Kwanza alihatarisha maisha yake kwa kupigania misingi ya Chama. Kuna pesa chafu zinazoingia CHADEMA Ili kuwaziba mdomo watu kama kina Lisu lakini Lisu yeye pesa hizo hazitaki na hazijawahi kuingia mfukoni kwake, mwisho wa...
  10. Crimea

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea CHADEMA, na suala la Abdul bado mnaamini saini kwenye barua ya kuwaidhinisha kina Mdee ilifojiwa?

    Pascal Mayalla aliwahi kuleta uzi humu kwamba CHADEMA kuna kirusi kinawatafuna na kipo ndani kabisa kwenye chombo chao cha maamuzi. Ukiangalia haya yanayotokea hapo chadema kwa Mbowe kung'ang'ania madarakani ukijumlisha na suala la Abdul kuambatana na kiongozi mkubwa ndani ya chadema kupeleka...
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haina heshima kwa viongozi wake, inataka kumwondoa Mbowe kihuni bila kujali mchango wake, Mbowe alitakiwa kustaafishwa kwa heshima kubwa

    Chama cha Chadema hakina heshima kwa viongozi wake, kinataka kumwondoa Mh Mbowe kihuni bila kujali mchango wake mkubwa ndani ya Chama hiki, Mbowe alitakiwa kustaafishwa kwa heshima kubwa Mh Mbowe amejenga Chama kwa gharama kubwa ya fedha na Wanachama kwa zaidi ya miaka 30 historia hii ni kubwa...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli kuwa CHADEMA bila Mbowe haiwezi kwenda, basi chama bado kina safari ndefu sana

    Kuna baadhi ya wanachama wamenza kuwa na wasiwasi kuwa Lisu anakipoteza Chama bora uongozi wa Mhe. Mbowe ulikuwa imara na madhubuti
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa tamaa na Uchu wa Madaraka Lissu amejidhulumu nafasi ya Uongozi, Pia amejikosesha fursa ya wazi kugombea Urais kupitia CHADEMA

    Kwa heka heka za uchaguzi wa chadema iliyogawanyika ngazi ya taifa zinazoendelea, wasomi vijana na wadau wa siasa nchini, wanapata fursa na nafasi muhimu sana ya kujifunza, kuelewa na kufahamu umuhimu wa kua na subra na kutathmini mambo kwa kina na umakini mkubwa kabla ya kufanya maamuzi na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Zijue sababu za kuahirisha uchaguzi wa wenyeviti wa Chadema Kanda ya Kati na Kaskazini

    Uchaguzi wa wenyeviti wa chadema Kanda ya kati na kaskazini uliahirishwa. Ndiyo juzi hapa kamati kuu ya chadema ilikutana kupitisha majina ya wagombea. Unazijua sababu za uchaguzi huo kuahirishwa? Sababu ni kwamba;- wagombea wa Mbowe ktk Kanda hizo walikuwa hawakubaliki. Kanda ya kaskazini...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe alitoka CCM akajiunga Chadema na Tundu Lisu alitoka NCCR Mageuzi akajiunga Chadema, Katiba ya kwanza ya Chadema walikopi ya NCCR Mageuzi!

    Mimeona niwakumbushe ndugu zangu Wahenga huko Chadema kwamba Tundu Lisu alishakuwepo Chadema kabla hata hajakabidhiwa KADI Na ukiangalia kifalsafa Tundu Lisu na Mzee Marando ndio walileta Mageuzi makubwa Chadema kabla Mbowe hajamleta aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Ulinzi na Foreign...
  16. blogger

    JamiiForums Tanzania Aliye na Video ya Mdude CHADEMA akilia kwa uchungu baada ya kuachiwa kwa Dhamana naiomba.

    Naskia ameteseka Sana aisee. Sasa Kama mwanaume mpaka Analia kwanini asiachane na hizi harakati. Inasikitisha Sana.
  17. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe acha kuhadaa wanachi ni Aibu

    Leo tumeshihudia Mzee Mbowe akiwahda watanzania kwa kuandaa vijana ili aonekana bado anapendwa ndani ya chama. Watanzania wenzangu tunalo jambo kubwa sana la kujifunza kwa huyu mzee kuwa ni hatari sana kumpa madara mwananchi mwenye elimu duni kama mzee Mbowe ni lazima atangangania madara tu...
  18. G Sam

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nitaenda kwa Mbowe kumshauri aachane na mambo ya uenyekiti safari hii. Bado tunaipenda CHADEMA tusingependa kuvuka mwaka vibaya

    Nitaenda kwa Mbowe ndani ya siku mbili hizi kumshauri asifanye dhambi kutufanya wafuasi wake tukafarakana kwa kipindi hiki muhimu kuliko nyakati zozote zile. Nitamsihi kuiona mbele ya CHADEMA. Mimi nikiri wazi kuwa nimehuzunishwa sana na mambo ambayo baadhi ya wafuasi wa Mbowe ambao kiukweli...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Masaa 48 ya Mbowe kuamua hatma na uelekeo wa chadema kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Ni wazi kauli ya mbowe inayosubiriwa kwa hamu na gamu kubwa sana na wana chadema na taifa kwa ujumla, atakayoitoa mbele ya waandishi wa habari, ndani ya masaa 48 yajayo, itaamua mustakabali, uelekeo na myukano wa kisiasa wa aina ya kitofauti mno ndani ya chadema kuelekea uchaguzi wa ndani ya...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, sheikh Kadogoo asema Lissu ni mropokaji: je, kama taifa, tuanze kumtathmini Lissu katika lolote asemalo?

    Kama ndani ya chama wamemvumilia wamemchoka, wanamuita mropokaji na muongo, je kama taifa tunabidi tukae chini na kuanza kumtathmini Lissu upya? Kama ana nafasi ndogo tu katika taifa anaropoka maneno hovyo hovyo, huyu anapaswa kuongoza taasisi kama kiongozi mkuu? Kama chadema ina uozo, he si...
Back
Top Bottom