chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. chakii

    JamiiForums Tanzania Ushauri : Lisu imetosha kubali yaishe, Jiengue kwenye nafasi ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Wadau ... Nipende kumshauri mpinzani wa kweli na Muumini wa Demokrasia Mh Tundu A. Lisu kuwa ni busara kujiengua mapema kwenye kiini macho kinachosubiriwa cha uchaguzi CDM, watu ambao wanaenda kupiga Kura wanakula , wanalala kwa gharama za Mbowe. Wewe Nani atakupigia Kura japo wanafahamu uwezo...
  2. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Watu wa karibu na Tundu Lissu wamshauri ajiuzulu vyeo vyake vyote ndani ya chadema na kustaafu siasa

    Husika na maada tajwa hapo juu, Kutokana na Press ya Mh. Mbowe Leo imeonyesha kuwa Makam mwenyekiti yupo very irresponsible kwenye kutimiza majukumu yake, hasa kwenye masuala yanayohusu nidhamu ndani ya Chama, kwa heshima ilitakiwa baada ya speech ya Mh. Mwenyekiti, Lissu atangaze kuachia ngazi...
  3. Bams

    JamiiForums Tanzania Watakaogeuka Kuwa Maadui Wakubwa wa Mbowe na CHADEMA, ni Wanachama na Wapenzi wa CHADEMA wa Sasa

    Hakuna aliyetarajia kuwa Mbowe angekosa hekima katika kufikia maamuzi ya ama kugombea au kupumzika, mpaka iliposhuhudiwa leo. 1. Kwa kuzingatia misingi ya demokrasia, Lisu alistahili kushindani katika nafasi anayogombea, lakini mpinzani huyo hakustahili kuwa MBOWE. 2. Mbowe, kiuhalisia, hata...
  4. Gabeji

    JamiiForums Tanzania John Heche amesema atatoa msimamo wake juu ya uchaguzi ndani ya chadema.

    Watu wa mara ni watu strong sana sina wasiwasi nao, heche amesema watanzania wanatakiwa kupata CHAMA mbadala kitakacho pinga Rushwa kwa vitendo. Na amesema ataoa msimamo wake hivi punde. Mungu ibariki chadema chini ya mpigania haki ya kweli ambae ni Lisu. by mwinjilist wenu Gabeji.
  5. Wafuasi wa Rais

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea CHADEMA: Watu wanaanza kutuelewa kwa nini tunawaambia, wasishabikie vyama vya siasa, washabikie Rais wao wa nchi.

    Kila mtu anaona na kusikia yanayotokea chama kikuu cha Upinzani CHADEMA. Wanachama wanaumia sana mioyoni mwao kutokana na mnyukano unaoendelea. Saaafi sana. Sisi, kama Wafuasi wa kujitolea wa Rais tunaamini kitu kimoja hapa Duniani: Nchi ni Rais. Rais ni nchi. Nchi ni wananchi. Wananchi ni...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa kada wa CCM anapata wapi nyaraka za maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA?

    Mmoja wa waandishi wa habari leo ndugu Marwa amesema amewahi kuona maazimo ya kamati kuu ya CHADEMA kama yalivyo yakiwa mezani kwa kada wa CCM Mchungaji Msigwa ili ku preempt hotuba za viongozi wa CHADEMA kuzungumza baadaye. Mbowe ameuliza waandishi habari Msigwa ni rafiki wa nani!
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

    Wanabodi, Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza! Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema! Je, ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuhusu kupokea pesa za Abdul, Mbowe asema Lissu aache kuwapaka matope wenzake

    Mbowe akijibu swali kuhusu tuhuma za pesa za Abdul asema hazina ushahidi wowote na kwamba mwenye ushahidi anatakiwa kuupeleka kama alivyoambiwa. Na kuongeza kuwa Lissu kufanya hivyo ni kuwachafulia watu wengine waliojenga reputation zao kwa muda mrefu. Mbowe amemuasa Lissu. Pia soma: Pre...
  9. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Kama Mbowe atashinda uenyekiti, nitaacha rasmi siku hiyo hiyo ku-support CHADEMA

    Habari ndio hiyo toka kwa mie Kagoshima. Tusichoshane. Japo nimewahi kuwa na kadi ya ccm chuoni kama fashion, Sijawahi kuunga mkono chama kingine zaidi ya chadema.. mwisho wangu itakua siku huyu kinga'nganizi wa Madaraka atakaposhinda uenyekiti. Naacha rasmi
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tusameheni Zitto, Dr. Slaa na wengine wote mliopakaziwa tuhuma za usaliti ndani ya CHADEMA. Mlikuwa mbele ya wakati

    Wahenga walisema ukweli huwa una tabia ya kuchelewa lkn siku ukifika huwa uwongo unakimbia kama giza kwenye mwanga. Waathirika wa kusingiziwa kuwa ni wasaliti ndani ya chadema hatimaye leo wameibuka kidedea na kinara wa kuchafua wenzake ameonekana. Zitto, Prof. Kitila, Dr. Slaa, Msigwa, mzee...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka wa kuachana na CHADEMA ya Mbowe. Mimi najitoa rasmi

    Naomba kutamka rasimu kuwa sina imani tena na Mbowe na ni wakati sahihi wa mimi kuachana na CHADEMA ya Mbowe(labda Lissu ashinde). Sitaraji uchaguzi wa haki katika kwa nafasi ya Mwenyekiti na ninaona kila dalili ya Mbowe kuwa mamlulki wa CCM kwenye hiyo nafasi. No wonder tunasoma mitandaoni...
  12. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Mbowe kwa msimamo wa kubaki CHADEMA. Tambua kuwa mpango wa kukuondoa ulikuwa kuua Chama. Nashkuru umegundua hilo

    Hongera sana Mh Mbowe kwa msimamo wa kiume wa kubaki CHADEMA, tambua kua mpango wa kukuondoa wewe ilikuwa kuua chama nashkuru umegundua hilo. Mh Mbowe hongera sana ufahamu wako umefunguka kama nilivyokuombea. Mh Mbowe mpango wa kukuondoa CHADEMA ilikua kuua chama kwasababu Lissu ni mharibifu...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Mimi sijachoka, ukomo wa madaraka ni watu wanaokutaka au kukukataa

    Wakuu, Mbowe anasema wanaosema aachie madaraka wakome, hajachoka, bado ana nguvu za kutosha na kuweza kufanya mikutano 8 kwa siku bila kula, kama kuna mtu ana nguvu kama yeye ajitokeze. Mbowe asema ukomo wa madaraka ni watu wanaokutaka au kukukataa, na huu ndio ukomo halisi wa demokrasia...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mgeni akiingia Tanzania kwa sasa atajua Chadema ni Chama Tawala na Tundu Lissu ndiye Rais

    Takribani hii miezi mitatu mfululizo Chadema imekuwa hot sana. Mitaani kote habari ni Lissu na chadema. Baadhi ya Watoto ukiwauliza nani Rais wa Tanzania wanasema ni Tundu Lissu😅 Facebook, Twitter, Insta, Jamii Forums na Youtube Channels zote ni kuhusu Lissu tu. Kampeni zote zina reflect...
  15. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mbowe ukishinda tafadhali mteue Halima Mdee kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA

    Katika kukiunganisha chama na kuondoa tofauti zetu, tafadhali sana Mh. Freeman Mbowe, mara baada ya kushinda kwa kishindo katika nafasi ya uenyekiti, mteue ndugu Halima Mdee kuwa katibu mkuu wa chama. Mbali na kukiunganisha chama, utakuwa umezingatia genda. Pia itaonesha kuwa wewe ni mlezi...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mdude: Mbowe pumzika tunamhitaji Lissu kwa sasa

    Wakuu, "Kwahiyo ukisoma Biblia yote na imeandikwa kabisa, hakuna nabii mkubwa kuliko Mussa lakini Mungu alimpumzisha akampa Joshua akamalizie kazi, kwahiyo hata sasa tunaye Freeman Mbowe amefanya kazi kubwa sana, ni kama Mussa amewatoa wana wa Israel sasa tuko jangwani, tunataka kutoka hapa...
  17. Bezecky

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

    Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa. Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo. Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Iringa wamkana Mwenyekiti Mungai kauli ya kumuunga mkono Mbowe

    Wakuu, Badamu batachuruzika safari hii! ===== Wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA kutoka Mkoa wa Iringa wakiongozwa na makatibu kutoka jimbo la Kilolo, Iringa mjini na wilaya ya Iringa pamoja na viongozi wengine wameibuka kupinga kauli ya mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Iringa, William Mungai...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Propaganda ya Mbowe na Lissu imeongeza umaarufu wa CHADEMA kuelekea uchaguzi Kwa haraka sana!

    Hellow! Naona CHADEMA imeamua kutumia njia hii ya propaganda Ili kusababisha iteke tena mijadala yote kisiasa na vinywa vya watz baada ya kuepuka kifo Awamu ya Magu. CHADEMA imefanikiwa Kwa wiki hizi chache kurudisha umaarufu wao haraka kuelekea uchaguzi. Na propaganda hii inaenda...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Mwanza: Ni vyema Mbowe apumzike kwa heshima, amuachie nafasi Tundu Lissu

    Wakuu, Baada ya Shinyanga kutangaza kuwa wanamuunga mkono Tundu Lissu naona na Mwanza nao wameunga mkono juhudi ========================================================== Wajumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mkoa wa Mwanza wamemuomba Mwenyekiti wa Chama hicho...
Back
Top Bottom