chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Rhoda Kunchela mwenyekiti wa Mkoa pekee mwanamke wa CHADEMA Tanzania anatoa tamko zito muda huu

    Rhoda Kunchela mwenyekiti wa Mkoa pekee mwanamke wa CHADEMA Tanzania anatoa tamko zito muda huu, Msikilize mpaka Mwisho https://www.youtube.com/live/A6NBwKj3O4g?si=pmrIb6j38qFb--3k
  2. JamiiForums Tanzania Wakati CCM wanashangilia mabasi, CHADEMA wanatafakari nani anafaa kuwa kiongozi wao!!

    Utofauti wa fikra na jinsi ya matumizi sahihi ya akili kati ya Wana CCM na CHADEMA, unazidi kudhihirika kadri siku zinavyozidi kwenda. Wakati CHADEMA nchi nzima wako kwenye mijadala mizito ya nani anafaa kuwa kiongozi wao, CCM wamezama kwenye kushangilia mabasi yaliyobandikwa Stika za chama...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA inakuwa EXPOSED sana uchaguzi huu, Yajayo yanahuzunisha

    Ni rahisi sana KUIHUBIRI Demokrasia lakini ni ngumu sana kuiishi Kuna watu ndani ya CDM ni WAZURI sana wakiwa WANAONEWA kidemokrasia lakini ni wa HOVYO sana wanapotakiwa kui PRACTICE demokrasia Nahakika Malisa tunayemjua akikutana na Malisa aliyefanya press watashikana mashati Kibaya zaidi ni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vyama rafiki vinasemaje uchaguzi ndani ya CHADEMA? Msiwe kimya

    Wasalaam, Ee ni vyama rafiki ndiyo. ACT, Cuf, Chauma, Nccr mageuzi na vingine. Unaelewa kuwa huko chadema moto unawaka? Mbona hawajotokezi hata kutoa fursa za kuwapokea wanachama wapya watakao kumbwa na kadhia ya uchaguzi. Lipumba, Zitto, sipunda, Mbatia msiwe kimya toeni maoni yenu yanaweza...
  5. JamiiForums Tanzania Wasifu wa Godbless Jonathan Lema

    Amani iwe kwenu Great thinkers Kwa kweli wote tumeona ushujaa uliooneshwa na Mbunge wa Chadema Arusha mjini katika kudai uchaguzi huru wa meya na naibu wake. Katika harakati hizo ilipelekea yeye kupigwa kionevu na polisi hadi kulazwa hospitali. Still hakukata tamaa, na akaanda maandamano...
  6. JamiiForums Tanzania Uhasama wa kisiasa, kugawanyika na kusambaratika kwa CHADEMA kutaimarisha vyama vingine vya siasa nchini

    Ni wazi matokeo yoyote ya ushindani, minyukano na uhasama wa kisiasa baina ya viongozi wanao gombea nafasi ya uenyekiti wa Chadema Taifa, kutaidhoofisha chadema yenyewe na kuimarisha vyama vingine vya siasa nchini, ikiwa ni pamoja na chama tawala. Hakuna atakaeshinda uongozi wa chadema Taifa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM wanataka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti CHADEMA?

    Wanataka Mbowe ambaye amekuwa siku hizi kama hangati aendelee kwasababu ameshaonekana kuchoka na kujisahau 1. Wanataka waendelee kuiba kura 2. Watataka Wenje aendelee kuhonga wanaharakati wote wa chini 3. Wanaogopa ushindani 4. Hawataki katiba mpya 5. Wanataka wabunge fake 19 waendelee kuwepo...
  8. JamiiForums Tanzania Rhoda Kunchela Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi kuongea na wanahabari katika Hoteli ya Safina Makumbusho Dar

    === Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimaye Mhe Rhoda Kunchela Mbunge pekee mstaafu wa kike wa CHADEMA aliyechaguliwa kuongoza chama ngazi ya mkoa ataongea na wanahabari kesho katika Hoteli ya Safina. Waandishi wa habari wote mnakaribushwa
  9. JamiiForums Tanzania Kulikoni vyombo vya habari kuwapa viongozi wa CHADEMA nafasi yani airtime kubwa hivi kipindi hiki?

    Imekuaje vyombo vya habari ambavyo vilikuwa havirushi habari za viongozi wakubwa wa CHADEMA sasa ghafla vimekuwa havikauki kuwahoji viongozi waandamazi wa CHADEMA na havikosekani katika press conferences za Lissu, Mbowe, Mnyika, Lema na viongozi wengine wengi wa CHADEMA?! Miezi kadhaa hapo...
  10. JamiiForums Tanzania Team Lissu tukishanyakua Uwenyekiti wa CHADEMA

    Jamani tujiandae 😂😂😂😂😂 Tunajipumzisha kidogo kisha tunaanza kumpelekea moto mama
  11. JamiiForums Tanzania Angalia fujo za CCM barabarani. CHADEMA mtakoma Mwaka huu

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM wanaendelea kuonesha Makali. Walianza na Baiskeli, wakaja Pikipiki sasa ni Magari. Matamanio yangu ni kuona Makali ya CHADEMA. Je, Mbowe akishindwa, atampa Chopa Lissu apepeee? Tunasubiri Makali ya UKAWA. SAMIA 3 -0 UKAWA
  12. JamiiForums Tanzania Tofauti ya CCM na CHADEMA: CCM wanatumia Show Off ya Magari, mabango na Wasanii kutangaza Mkutano wao,Chadema wanatumia midahalo yenye hoja nzito!

    Mwenye macho haambiwi tazama. Kuna mikutano miwili. Wa CCM Dodoma na hii ya uchaguzi wa CHADEMA wakipanga safu yao ya uongozi. Kwa upande wa CCM tunaona hakuna hoja za msingi kuufanya mkutano wao uwe na mvuto zaidi ya show off ya mabasi, mabango kila sehemu huko Dodoma na matumizi ya wasanii...
  13. JamiiForums Tanzania Nimeguswa na mambo 2 katika mchakato wa BAVICHA

    Binafsi si mwanachadema ila kipindi hiki nimefuatilia michakato ya chadema kuliko wakati mwingine wowote. Moja ya suala lililonifikirisha ni jinsi gani hawa vijana wadogo wanavyokuwa damaged na mambo yanayotokea hasa kijana Deogratius Mahinyila alipotaja kuwa alikuwa mwanasheria wa Deusdedith...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: Ukichoshwa na CHADEMA karibu sana ACT, tutakuwa chama cha ajabu tukisema hatutawapokea

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akizungumza na wanahabari leo Januari 15 Makao Makuu ya chama hicho Magomeni Dar Es Salaam amesema “Wakitokea watu wanataka kujiunga ACT Wazalendo kutokea CHADEMA tutawapokea na tunawakaribisha sana kwa mikono miwili kwa sababu biashara ya chama cha siasa...
  15. JamiiForums Tanzania Wagombea ndani ya CHADEMA kwa sasa inabidi waseme wako timu ipi (Mbowe au Lissu), ili watu wajue!

    Hakuna haja tena ya kusema sana sera zako, wewe tuambie tu uko timu ipi au hauna timu, hiyo inatosha wajumbe kujua unasimama na sera zipi. Ikiwa mko wengi na msimamo wenu wa kitimu unafanana, basi kipimo ni namna unavyoipigania hiyo timu, hakuna maneno mengi. Ikiwa msimamo wako kitimu...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Pesa za jana zilitoka wapi?, alizodakwa nazo mjumbe Uchaguzi wa BAVICHA

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye Kikao amehoji; "Wananisema kuwa sina Pesa, siwezi kuendesha Chama, hebu watueleze pesa za Jana usiku zilitoka kwa nani? Tumeshuhudia vitendo vya rushwa kwenye Uchaguzi wa BAVICHA" Soma, Pia: • Kimeumana! mjumbe adakwa akidaiwa kugawa...
  17. JamiiForums Tanzania Huenda Tundu Lissu akawajibishwa kwa kukiuka katiba, sheria na kanuni za uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya Taifa

    Bado haijabainika wala haijawekwa wazi kwamba ni sehemu gani ya katiba, sheria au kanuni za uchaguzi zilizokiukwa, lakini tayari mchakato wa kumuita na kumpeleka mbele ya kamati mahususi juu ya mambo haya umekamilika. Hofu kubwa imetanda kwenye kambi yake na wanasheria wamejipanga vilivyo...
  18. JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na mada za Mbowe vs Lissu

    CHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha. N.b. MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM haimhofii kiongozi yeyote wa upinzani nchi hii, wala msipoteze muda wenu

    Chama cha Mapinduzi ni chama chenye mikakati, nguvu, uwezo na mipango mingi mnooo, kama kuna mtu anajidanganya kuwa fulani akishinda uenyekiti ndani ya CHADEMA mtakuja kushika dola, ni ujinga wa kiwango cha kimataifa. Tena mimi natamani sana Lissu, Heche na Lema ndio wawe viongozi wake ili...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe hii Simba jike ya CHADEMA ni Simba kweli kweli, Pengo la Halima Mdee sasa limepata mzibaji

    https://youtu.be/3F8yBt6lrOY?si=stTHOPf0ioqfr114 Huyu dada ndio mtu pekee anaweza kuziba pengo la Halima Mdee pale BAWACHA. CHADEMA itumieni vizuri hii tunu mliyopewa na Mungu, Dada anaujasiri kama wa Simba na amenyooka kama Lissu Tofauti ya Mdee na Simba ni majina tu hakika CHADEMA inahazina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…