chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Wanaosema No Reform No Election hawana fedha za kufanya Uchaguzi

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho kinaendelea kujipanga kwa uchaguzi ujao, huku akibeza kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inayosema hawatoingia kwenye uchaguzi pasipo kuwa na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA amsheni watu kwa kauli za kina Chalamila kwa mjamzito kwamba kama hatoi Shs 50,000 arudi nyumbani mume wake amkate kwa kisu na mkasi ajifungue

    Jambo moja nililoona kuhusu Chadema ni kwamba mnashindwa kutumia matukio ya kila siku kuwafunua macho wananchi kwa nini serikali ya CCM haipo madarakani kwa faida yao. Hii ni pamoja na matumizi ya kifahari ya fedha ya hivi karibuni ya Mkutano Mkuu wa CCM na kadhalika. Lakini pale ambapo...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni mijadala ya kurejeshwa kwa Covid 19, Msigwa au Slaa. Hao sio wenzenu, ni wasaliti, hawahitajiki popote, wanasaka fursa tu.

    Nimekuwa nikishangaa mnoo mara kwa mara kusikia mijadala ya kujadili namna ya kuwarejesha au kuwakataa wabunge wa Covid 19, Mchungaji Msigwa na Dr. Slaa. Hizi hoja zilishika kasi kipindi cha uchaguzi wa mwenyekiti ndani Chadema na zinaendelezwa hadi sasa huku upande wa wapambe wa Mbowe ukipiga...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jiunge na Harakati za Mabadiliko: CHADEMA Inakuhitaji Leo!

    🇹🇿 CHADEMA ni chachu ya mabadiliko tunayoyahitaji! Ni muda wa kujiunga na harakati kwa vitendo. Jiunge sasa kupitia kadi za wanachama zenye hadhi tofauti: Tanzanite, Diamond, Platinum, Gold, Silver, na Bronze. Kwa nini ujiunge? 🗳️ ✅ Kuwa sehemu ya uamuzi wa kitaifa ✅ Changia harakati za...
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Maria Sarungi aitabiria CHADEMA kifo

  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mbowe asema baada ya kushauriana na familia yake, atawasilisha rufaa yake makao makuu ya CHADEMA

    Wakuu salama? Nimekutana na hii kwamba Mbowe ameshauriana na familia yake na ameahidi kukata rufaa, je ina ukweli wowote hii?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tundu Lussu ilikuwa tamaa tu ya madaraka ataendesha siasa sawa na za Mbowe vinginevyo hatoboi

    Huyu Tundu Lissu ni mwanasiasa mwenye uchu sana na madaraka na ninawasi wasi na jinsi alivyomtuhumu Mbowe kuendesha siasa za maridhiano kama kweli ilitoka moyoni au alitaka kupata uungwaji wa mkono na watu wa aina ya mdude ambao wengi wamo CHADEMA. Mimi si mwanachadema ila kuna wakati...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nshala alitishiwa maisha sababu ya kupinga Mkataba wa DP World. Uteuzi wake CHADEMA unamaanisha nini kwenye Siasa za Tanzania?

    Wakuu, Januari 21 ulifanyika Uchaguzi Mkuu CHADEMA kwenye nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Wenyeviti kwa Bara na Zanzibar, ambako Lissu alitangazwa kuwa Mwenyekiti mpya CHADEMA, siku hiyo pia ulifanyika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama na Lissu akafanya uteuzi wa viongozi, na kati ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msigwa ataongea nini baada ya Mbowe kuondoka CHADEMA na kuingia Lissu aliyekuwa anamsifu?

    Huyu mfa maji aliwekeza siasa zake katika kumshambulia Mbowe binafsi kupunguza maumivu yake badala ya kunadi sera za Chama chake.CCM walifurahia sana mambo hayo kiasi cha kuambatana nae katika Mikutano yao kwa ajili ya kufurahisha tu wafuasi wao kwa Matusi yake kwa Mbowe. Sasa Mbowe kaondoka...
  10. JamiiForums Tanzania Chadema na ACT wakiungana ni wazi watapata mafanikio Uchaguzi ujao

    Nawaza na kushauli pia, Lissu na Zitto waunganishe nguvu kwa maslahi mapana ya Nchi ili pamoja na mambo mengine, waikabili CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao. Mfano, Chadema wakubali kumuunga mkono Zitto awe Mgombea wa nafasi ya Rais. Vilevile wakubaliane kuachiana Majimbo kulingana na uungwaji wa...
  11. JamiiForums Tanzania Ili Chadema iwe rahisi zaidi kwao kushinda uchaguzi, basi mtu mwenye nguvu na ushawishi CCM ahamie Chadema kumchallange Samia

    Kama itatokea mtu mwenye nguvu na ushawishi ndani ya CCM na akaamua kuhamia Chadema kumchallange Mh Samia, itakuwa rahisi zaidi kwa Chadema kuchukua nchi kuliko kumsimamisha Tundu Lisu . Huyu mtu kwanza ataondoka na idadi kubwa ya wanachama wa CCM ukijumlisha na wale wa Chadema ushindani...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kazi muhimu ya Tundu Lissu ni kujenga Umoja na mshikamano ndani ya Chadema. Nini kifanyike?

    Ni ukweli ndani ya chadema wanachama wamegawanyika mapande ya kiuchaguzi na kampeni. Ninatoa ushauri rahisi wa kutibu majeraha bila nguvu kubwa kama ifuatavyo: 1. Kushughulikia saikolojia ya kushindwa na kushinda kwa wanachama kwa kuonyesha wazi kuwa ushindi ni wa chadema yote na yeye Lissu ni...
  13. JamiiForums Tanzania Team Mbowe, sasa tuingie msituni kuhakikisha Lissu anakwama kuongoza chadema na hapati urais

    Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa. Hii Vita haijaisha mpaka iishe
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ili kuleta changamoto mpya chadema, Tundu lisu asigombee urais amuombe mwabukusi agombee

    Kwa namna ninavyo mfahamu Boniface mwabukusi itapendeza sana kama akawa mgombea urais wa chadema. Aina ya misimamo yake na ujasiri wake wakiwa jukwaa Moja wanaweza kumachi vizuri sana na Tundu lisu. Lakini pia hii inaweza kuiongezea chadema kura za nyanda za juu kusini.
  15. JamiiForums Tanzania Kamati kuu CHADEMA ina wajumbe wangapi? Wa Lissu na Wa Mbowe wangapi?

    Nimeuliza ili swali nipime utendaji kazi wa Lissu utakuwaje. Pia apart from idadi ya wajumbe wa kamati kuu ya chama. Je, kamati kuu ina nguvu gani kwenye chama? Naomba nifamishwe maana nilimsikia kwa Kikeke TAL anasema kuhusu reconciliation ameambiwa afanye hivyo na atafanya ila yeye anaamini...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wa kuiondoa CCM madarakani ni wananchi na siyo CHADEMA

    Wakuu salama, Baada ya CHADEMA kupata mwenyekiti mpya watu wamekuwa na imani kuwa huenda chadema wataitoa madarakani CCM, lakini uhalisia ni kwamba kama wananchi hawatoungana kwa pamoja CCM haiwezi kubanduka pale ikulu. Lissu mwenyewe amekiri licha ya kampeni ya 'No reforms no election'...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kaskazini tukubali ukweli kuwa Mbowe ameshastaafu na Sasa Chama ni cha Taifa zima, tumpe ushirikiano Tundu Lisu!

    Ndugu zangu wa Kaskazini kununa hakutusaidii chochote maji ndio yameshamwagika Tushukuru Mungu Lema bado yuko Kwenye game anawakilisha Mlale unono 😀
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hasara na Maumivu kwa CHADEMA Katika Msimamo wa "No Reform" No Election" October 2025!

    Kampeni ya "No Reform No Election" ya CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo) ina malengo mazuri ya kudai mabadiliko ya kisiasa na uchaguzi huru. Hata hivyo, ikiwa CCM (Chama Cha Mapinduzi) itashiriki uchaguzi wa 2025 bila kufanyia marekebisho mifumo ya uchaguzi, CHADEMA inaweza...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: CHADEMA haitakwama kwa kukosa pesa za Mbowe

    Amesema chama ni mali ya wanachama, inabidi wachange. Amesema wakae kama chama wajue huyu mtoto wanamleaje. Vema kabisa na si vema kama ulivyosema kutegemea fedha za Mbowe. LAKINI Kumbuka: 1. Hakuna wa kuchanga , linapokuja suala la kuchanga watanzania ni wagumu/watu ni wagumu generally...
  20. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Athari zitakazo jitokeza endapo CHADEMA (chama kikuu cha upinzani) haitashiriki uchaguzi Mkuu 2025

    Kukosekana kwa chama kikuu cha upinzani kushiriki uchaguzi mkuu katika nchi kunaweza kuwa na athari kadhaa za kisiasa, kijamii, na kiuchumi. Hizi ni baadhi ya athari zinazoweza kutokea: 1. Kudhoofika kwa Demokrasia Ushiriki wa vyama vya upinzani ni muhimu kwa kuhakikisha uwazi na uwajibikaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…